ANNUUR 1073.pdf

download ANNUUR 1073.pdf

of 12

 • date post

  03-Apr-2018
 • Category

  Documents

 • view

  579
 • download

  0

Embed Size (px)

Transcript of ANNUUR 1073.pdf

 • 7/28/2019 ANNUUR 1073.pdf

  1/12

  ISSN 0856 - 3861 Na. 1073 RAJAB 1434, IJUMAA MEI 31-JUNI 5, 2013 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=

  Sauti ya Waislamu

  www.annuurpapers.co.tz

  Wajibu wa kwenda Hijja unawahusu

  mwenye uwezo na WENYE UWEZO

  (Qurani, 3:97). Inawezekana

  tukaenda sote Hijja kwa kuchanga

  tukapelekana mmoja mmoja kila

  mwaka katika familia, mtaa, msikiti,

  na kadhalika. Bila shaka Allah

  Atalifurahia hili na Atamimina neema

  kubwa juu yetu. Waislamu, tusisubiri,

  tuchukuwe hatua! Karibuni Ahlu

  Sunna wal Jamaa. Gharama zote

  ni Dola 4,300. Tafadhaliwasiliana

  nasi ifuatavyo: Tanzania Bara:

  0717224437; 0777462022;Unguja:

  0777458075;Pemba: 0776357117

  (16) USHIRIKA WA HIJJA!

  Ni Diamond JumapiliYa NECTA, propaganda kujadiliwa

  Bakwata, Jumuiya waikabili Serikali

  Wahoji USIRI, kuita Wakristo pekeeHali ya Sheikh Ilunga, India kuelezwa

  Mamlaka kamili ndiyo

  malengo ya mapinduziAsema Maalim Seif na kushauriWanaotaka kupumua wasipuuzweMoyo ataka Zbar iwe na Uraia wake

  CHUO Cha KiislamuCha Al-jazeera, cha JiniMwanza, kimelifikishaMahakamani Gazetila Mtanzania, kikidaifidia ya Shilingi BilioniMbili, kufuatia kuripotihabari kuwa Chuo hichokinaendesha mafunzoya Ugaidi.

  Gazeti hilo litokalokila siku, limefunguliwamashitaka na Chuohicho na kwa mara yakwanza limefikishwa

  Mtanzania mahakamanikusingizia Waislam ugaidiNa Bakari Mwakangwale Mahakamani April, 30,

  2013, katika MahakamaKuu ya Jijini Mwanza,k u j i b u m a s h i t a k ay a n a y o l i k a b i l i , n akuahirishwa hadi Julai16, 2013.

  H a t a h i v y o k e s ih i y o i m e d a i w akushindwa kusikilizwan a k u l a z i m i k a J a j ianayesikiliza kesi hiyoMh. Mwangesi, kuiarishakufuatia mwakilishi wagazeti hilo Jini Mwanza,kudai kuwa hakuwa na

  Inaendelea Uk. 2

  Makamo wa Kwanza wa Rais waZanzibar, Maalim Seif SharifHamad.

  MW EN YE KI TI wa ka ma tiya maridhiano Mzee HassanNassor Moyo

  SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu akiwa hospitalini nchini India. Pichandogo juu kushoto ni mke wake akiimuuguza nchini humo.

 • 7/28/2019 ANNUUR 1073.pdf

  2/12

  2AN-NUU

  RAJAB 1434, IJUMAA MEI 31- JUNI 5, 20

  AN-NUURS.L.P. 55105, Simu: +022 2400786

  Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.www.annuurpapers.co.tz E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk

  Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam

  MAONI YETU

  Tahariri/Habari

  Mtanzania mahakamanikusingizia Waislam ugaidi

  Inatoka Uk. 1

  hati ya mashitaka.

  W a k i o n g e a n aMwandishi wa habarihizi, kwa njia ya simukutoka Jijini Mwanza,v i o n g o z i w a C h u ohicho wamesema tayariw a m e s h a l i f u n g u l i amashitaka gazeti hilo,

  b a a d a y a k u k a i d ikukanusha tuhuma dhidiya Chuo chao.

  Mjumbe wa Bodi yaChuo cha Al-Jazeera,Sheikh Jabir Katuraa l i s e m a k w a m b awameshalifikisha gazetihilo katika Mahakama

  Kuu ya Jini Mwanza, nakukutana na mwakalishiwao, aliyedai hakuwaamejiandaa.

  S h e i k h J a b i rKatura, alisema kuwamwakilishi huyo aliyehapo Ji j ini Mwanzaaliieleza Mahakamakuwa walikuwa hawanataarifa rasmi, hivyoshauri hilo lililazimikakuahirishwa.

  Mwenyekiti wa Chuohicho, Alhaj RamadhaniMazige, akizungumziakilichojiri katika kesihiyo, alisema awaliwaliliandikia gazeti hilo,wakiwataka wathibitishey a l e w a l i y o a n d i k ak uhus u Chuo chaok u p i t i a G a z e t i l a ola Mtanzania katikamatoleo matatu, lakinihawakufanya hivyo.

  T u l i w a p a m u d aw a w i k i m b i l i i l iwathibitishe habari zile,wakashindwa kufanyahivyo, na kuwaelezania yetu ya kuwafikishaM a h a k a m a n iwasipofanya hivyo,lakini hawakuonyeshaushirikiano wowote.M p a k a m u d a h u oukaisha. Alisema AlhajiMazige.

  Alhaj Mazige, alisemakesi hiyo iliyo chini ya

  Jaji Mwangesi, imekaakatika sura mbili kwanza,Al-Jazeera inadai fidiay a k uchafu l iwa nakudhalilishwa hivyoilipwe kiasi cha ShilingiBilioni Moja.

  Ama alisema, madai

  ya pili ni ya RamadhaniM a z i g a , a m b a y en i M w e n y e k i t i w aTaasisi ya Al-Jazeera,na ni Diwani wa Kataya Nasio, aliyetajwak wa k udhal i l i s hwakwa kutajwa kwa jinaakidaiwa anawapigamajini viongozi wakubwahivyo kushindwa kwendakushughulikia kadhiaya chuo chake ikiwandiye anawakaribishaAl Shabab na magaidiwengine.

  Kwa kuwa alitajwakwa jina katika gazeti hilo,na yeye naye ametaka

  kuthibitishiwa hayomadai yaliyoandikwa nagazeti hilo la Mtanzania,naye alipwe fidia yaBilioni moja, hivyo jumlagazeti hilo linatakiwalitoe fidia ya ShilingiBilioni mbili kwa misingihiyo. Alisema AlhajMazige.

  Awali Alhaj Mazige,alilieleza gazeti hili kuwa

  , April 30, 2013, walifikaMahakamani, ambapoalijitokeza mwakilishiwao, aliyemkumbukakwa jina moja la Fred,

  a m b a y e m b e l e y aMahakama, alidai kuwani mwakilishi wa Mkoawa Mwanza wa gazetihilo.

  Alisema, mwakilishihuyo, alidai Mahakamanihapo kuwa alipigiwasimu na Makao Makuuya Gazeti hilo Dar esSalaam, kwamba leo(April 30, 2013) ni kesiyao hivyo ahudhurieMahakamani.

  Akiwa Mahakamanihapo, Alhaji Mazige,alidai mwakilishi huyo

  aliieleza Mahakamak u w a h a j a p a t amaelezo ya mashitakayanayowakabili, zaidiya kutakiwa na wakuuwake afike hapo tu.

  Alhaj Mazige, alisemawakili wao aliyemtajakwa jina la Shekh Waziri,alithibitisha kuituma hatihiyo ya mashitaka Dar esSalaam, hata hivyo alidai

  Ja ji anayesikiliza kesihiyo, aliamuru waondokewakakamilishe zoezihilo, na mwakilishi wao

  apatiwe pia.Hakimu alitupa sik

  21, turekebishe utathuo kisha tumpelekemajibu ya pande zotmbili, huku akitupangitarehe ya kusikilizwtena kesi hiyo ambayitakuwa Julai 16, 2013Alisema Alhaji Mazige

  Alhaji Mazige, alisemsiku hiyo hiyo ya Apr30, walishughuliki sualhilo, na kumkabidhmwakilishi wa gazehilo (Fred) akasainn a k u p e l e k a k o pM a h a k a m a n i k a malivyo amuru Jaji, na sasalidai wanasubiri majibkutoka kwa gazeti l

  Mtanzania.Mpaka hivi naongena wewe, (Jumatanwiki hii) hatujayapatmajibu yao toka Apr30, 2013, na tulipewsiku 21, sisi tuandikna wao wajibu, hatujuwatatoa lini majibu yaosisi tuna subiri tarehe ykwenda Mahakamanifike. Alisema AlhaMazige.

  Alhaji Mazige, alisemkwa mara ya kwanzzilipotoka habari hizwalivuta subira, lakin

  katika toleo l inginlilofuata waliendelena habari hizo, ambazaliziita ni za uzushzenye lengo la kuupakmatope Uislamu nWaislamu nchini, jambambalo liliwapa mshtukmkubwa.

  Alisema, iliwalazimwawaandikie barua ykuwataka wasitishhabari zao kwa kuwhazina ukweli na nza uchochezi , hukwakiwatahadharishk u w a e n d a p

  w a t a e n d e l ewatawachukulia hatuza kisheria.

  Hata hivyo al idawalipuuza, nakutoa tenkwa mara ya tatu habahizo zikiwa na uzushuleule.

  Alhaji Mazige, alisemgazeti hilo liliandikhabari hizo katika matoleyake tofauti tofauti kwkupamba vichwa vyhabari vikisema, Hofya Alqaida nchini, Njifupi ya Mwanza hadi A

  Jazeera.

  INATARAJIWA kuwaWaislamu watafanyakongamano kubwakatika ukumbi waD i a m o n d J u b i l e ejijini Dar es SalaamJ u m a p i l i i j a y o .Katika kongamanoh i l o i n a t a r a j i w ak u w a p a m o j a n am a m b o m e n g i n e ,k u t a z u n g u m z i w auamuzi wa Serikalikujitoa kutahini somo

  la dini katika mitihaniya kitaifa.

  H a b a r i z a a w a l izinafahamisha kuwa,katika kufikia uamuzihuo, Serikali ilikutana nawadau wa elimu kutokataasisi za Kikriso pekee

  bil a kuw as hirik ish aW a i s l a m u . H a t aB A K W A T Ainayojulikana kamakipenzi cha Serikalina inayotambuliwa naSerikali kama msemajin a m w a k i l i s h i w aWaislamu, haikualikwakatika kikao hicho chamajadiliano.

  BAKWATA walipewatu taarifa baada yaSerikali kukubalianan a W a k r i s t o , t e n aikaambiwa kuwa taarifahiyo iwe siri (wasiambiweWaislamu?).

  Kama ilivyoelezwak at ik a habar i y etui n a y o o n g o z a ,B A K W A T Aw a m e s h a i a n d i k i aS e r i k a l i k u p i n g auamuzi huo na kusajili

  malalamiko yao kwambainakuwaje Serikali kukaana upande mmoja tu wa

  jamii kupitisha maamuzimakubwa yenye atharikwa watu wote bilay a k uwas hi r ik i s haWaislamu.

  K w a u p a n d emwingine, taarifa zauhakika ni kuwa japosuala la mitihani yakidato cha nne na sitani la muungano, hataSerikali ya Zanzibarh a i k u a r i f i w a w a l a

  Huu ndio Mfumokristokushirikishwa katikakupitisha uamuzi huu.Na mpaka BAKWATAna Islamic EducationPanel wanawasilishamalalamiko yao Wizaraya Elimu na Mafunzoya Ufundi, bado Serikaliya Zanzibar ilikuwahaapewa taarifa rasmi.

  S i s i t u n a j a r i b ukufikiri: Kama Zanzibaringekuwa kama ilivyoRombo au Kibosho,

  kwa maana ya kuwa naidadi kubwa ya Wakristokiasi cha asilimia 90 yaWazanzibari wote, je,

  bado Serik ali ingekaabi la ya kuis hi ri ki sh aZanzibar katika kujadilina kupitisha maamuzimakubwa kama hayoyanayohitaji ridhaa yapande zote mbili zamuungano?

  Hali kama hizi nautendaji kama huu, ndioaliowahi kusema Dkt.

  John Sivalon kwambainakuwa tabu mtu kujua

  kwamba je, hili ni laSerikali au ni la Kanisa.Kwa upande mwingine,u tenda j i k am a huundani ya Serikali, ndiounapelekea Waislamukusema kuwa kunamfumokristo usio rasmikikatiba na kisheriaunaoendesha mambo.Na ndio wanaoupiga vitakwa sababu unawabaguan a k u w a d h u l u m uWaislamu.

  S i s i t u n a s e m akuwa kuwashutumu,kuwakemea na kutishia

  kuwachukulia hatuawanaodai kuwa kuna m f u m o k r i s t o , s i ou f u m b u z i n a w a l ahak uwezi k uondoamalalamiko na madaiy a W a i s l a m u . N akama inadaiwa kuwamadai haya yatavurugaamani, basi kuwakemeahakutaleta amani.

  Amani ya kweli naya kudumu italetwakwa kuyatambua nakuyashughulikia madaiya wanaolalamika.

 • 7/28/2019 ANNUUR 1073.pdf

  3/12

  3