ANNUUR 1112

download ANNUUR 1112

of 16

 • date post

  21-Oct-2015
 • Category

  Documents

 • view

  885
 • download

  1

Embed Size (px)

Transcript of ANNUUR 1112

 • ISSN 0856 - 3861 Na. 1112 RABIUL THAN 1435, IJUMAA , FEBRUARI 14-20, 2014 BEI TShs 500/=, Kshs

  Sauti ya Waislamuwww.annuurpapers.co.tz Facebook:annuurpapers@yahoo.com

  Mauwaji Msikitini: Makubwa yafichukaUsiombe kuingia anga ya polisi wa ugaidiSheikh alingolea macho, sehemu za siriMchezo wa danganya toto jinga waendelea

  JUMUIYA na Taasisi za Kiislamu (T) chini ya H a - y - a t U l a m a a , imewataka Waislamu

  Baraza Kuu, Ulamaakuteuwa Makadhi

  Waislamu wenye taaluma ya Shariah waitwaNa Bakari Mwakangwale

  Profesa Jeffrey-kutoka Ukatoliki hadi Uislamu

  Wizara ya Elimu yatakiwa kuwa na sera ya madrasa

  Wito wa Maalim Seif maulidini AlabamaHazina ya maadili, historia itiliwe mkazo

  w a l i o h i t i m u D i g r i i ya Sharia za Kiislamu, kuwasilisha wasifu wao (CV), ili kuingizwa katika mchakato wa kuwapata Makadhi.

  Akiongea na An nuur, Jumatano wiki hii, Amiri wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Alha j Mussa Yusuph

  Uk. 16

  Inaendelea Uk. 3

  Balozi mdogo wa Marekani nchini Sudan, Joseph D. Stafford (mwenye kilemba cha kijani na picha ndogo chini) akiwa nchini Sudan.

  PROFESA Jeffrey Lang. Soma habari yake Uk. 6.

  DHULKIFLI A. Rogo. Habari Uk. 8

  RAHMA Hassan mke Sheikh Said Mohammed Njiro.

 • 2 AN-NUURRABIUL THAN 1435, IJUMAA FEBRUARI 14-20, 2014AN-NUUR

  S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.

  www.annuurpapers.co.tz E-mail: annuurpapers@yahoo.co.ukOfisi zetu zipo: Manzese Tip Top

  Usangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam

  Tahariri/Makala

  KUTOKANA na tafiti mbalimbali za wataalamu na wanazuoni mahiri na hata kutoka katika ndimi za mabeberu wenyewe, vita dhidi ya ugaidi ni vita bandia. Ni vita ya kupanga iliyolenga kutafuta adui ili kuhalalisha mambo kadhaa.

  Tafiti hizo zinasema k u w a m a k u n d i y a kigaidi yal iundwa na asasi za mabeberu na k w a m b a h a d i s a s a yanasaidiwa na kufanywa yaendeleekuwepo na asasi hizo.

  A i d h a i n a e l e z w a kuwa kundi la Al Qaeda liliundwa na mabeberu hao toka kipindi cha vita ya kiitikadi kati ya Marekani na Urusi na linaendelea kupewa misaada kwa siri.

  'Vita ya kimataifa dhidi ya ugaid i ' inae lezwa kuwa ni mkakati wenye miingi l iano mingi na ya kijasusi na kwamba ni nyenzo ya kueneza ukoloni ambao unaelekeza kuhujumu mataifa huru.

  Makundi ya kigaidi y a k i s h a u n d w a , hutumikishwa kat ika kuleta ghasia na machafuko katika nchi lengwa na hatimaye kuidhoofisha.

  U f u p i w a m a n e n o na kwa lugha nyepesi tunafahamishwa kuwa magaidi ni adui wa kuundwa kuhalal isha utoaji misaada ya kikachero n a k i j e s h i , n a h i v y o kuwezesha nchi kukaliwa kijeshi na mabeberu.

  Nchi ik ishaingizwa katika mchezo huu mchafu, itakuwa ikiandamwa na mashambulizi ya kigaidi kila uchao. Watu wake wakiuliwa na magaidi na polisi/jeshi la nchi nalo likiuwa watu kwa mtizamo wa kupambana na magaidi. H a l i h i i i t a k u wa ya kuendelea ili kuhalalisha wito wa kupewa msaada wa kikachero na hata jeshi.

  Matokeo yake ni kuwa m n a j i k u t a , k w a n z a m n a u wa n a we n ye we kwa wenyewe. Pili, nchi inakuwa katika machafuko, hakuna maendeleo na

  Vita dhidi ya ugaidi:

  Tusijidharaulishe wenyewewala tusilaumu mabeberu

  h a t i m a y e m n a j i k u t a mmekaliwa na mtandao wa kikachero na kijeshi kutoka kwa mabeberu. Hamfanyi jambo mpaka muelekezwe la kufanya. Rasilimali zenu zinaporwa na mnakuwa hamna kauli ila kwa yale mnayoruhusiwa kufanya.

  K wa n c h i z e t u z a A f r i k a M a s h a r i k i , ukiacha Al Qaidah, hivi sasa tumeletewa adui mwingine, Al Shabab. Wote hawa ni katika ule mkakati kwamba adui anahitajiwa kuwezesha agenda ya kijeshi ifaulu a m b a y o i n a k u wa n i kuwafuata Al Qaida na Al Shabab.

  Katika mchezo huu, tunahadaiwa tunaletewa maga id i , wanatuuwa na kuharibu mali. Kisha tunapewa mafunzo (polisi) ya kupambana na magaidi. Tunajazwa ukati l i wa kutuwezesha kumlaza mwananchi mwenzetu kitandani na kumpiga risasi kichwani tukiwa t u m e m f u n g a p i n g u . Tunajazwa mafunzo ya kututoa ubinadamu wetu kuwa baada ya kumuua mwananchi mwenzetu asiye na hatia kwa kumpiga r i s a s i s i t a k i c h wa n i , tunakosa soni bali tunavaa u s o w a k i h a y a w a n i kumsingizia kuwa ni gaidi hatari tuliloliuwa baada ya kutushambulia kwa risasi. Alipotukosa, tukamuwahi.

  H a y a n d i y o y a n a y o w a k u t a wanaotuhumiwa kwa uga id i nch in i Kenya hivi sasa. Haya ndiyo wanayofanya askari wa ATPU Kenya.

  Hatima ya yote haya, ni vurugu na kuuwana Wakenya kwa Wakenya. Analohakikisha beberu ni kuwa watuhumiwa wa ugaidi hawakosekani kila uchao, na askari katili wa ATPU wanazidi kupewa mafunzo na posho zao k u p i t i a m s a a d a w a mamilioni ya dola kutoka kwa mabeberu kila mwaka.

  Ya p o m a m b o m t u unaweza kufanya kwa uj inga. Lakini hi l i la

  v i ta dhidi ya ugaid i lishafanyiwa kazi sana. Hakuna kiongozi wa nchi leo anaweza kuwa na udhuru wa kusema kuwa alikuwa hajui.

  U k i a c h a h a y a yanayoelezwa hivi sasa juu ya Al Qaida na Al Shabab, wanaweza kurejea katika historia waone wenzao walivyofanyiwa katika nchi za Nicaragua, Guaetamala, El Salvador, Chile, Cuba na Panama. Nchi zilivurugwa magaidi wa kuundwa wakifanya mauwaji ya

  kutisha huku vikosi vya serikali navyo vikiuwa. Nchi zikawa taabani huku mabeberu wakipora mali.

  Kwa nini hatujifunzi katika historia hiyo? Hivi kama tunaridhia kutumiwa kijinga na kirahisi namna hii, tunachowaeleza hao wa n a o t u t u m i a n i n i ? Ujumbe gani tunawapa? Kwamba sisi si binadamu kamili na wenye akili kama wao?

  Sisi tunaamini kuwa Mungu katuumba sote katika hali ya usawa kiakili

  na uwezo wa kufikiri. Ndio maana tunao maprofesa wa taaluma mbalimbali walioko Marekani na Ulaya wakisomesha katika vyuo vikuu na hata kutumikia taasisi nyeti na muhimu za nchi hizo. Kama ni kuzidiana, inatokana n a m t u m w e n y e w e anavyoitumia akili yake.

  Hebu tutumie aki l i zetu vizuri tuepukane na mabalaa haya ya kuletwa na binadamu wenzetu kwa tamaa zao za kupora na

  SHUKRANI zote anastahiki Mwenyezi Mungu ambaye amemuumba Binadamu na akamfundisha ubainifu (Uwazi) na akainyanyua mbingu na akaweka mizani.

  Ama baada ya utangulizi huu mfupi, kwa hakika u l i m we n g u u m e u we k a Uislamu kwenye mizani ili wauhukumu lakini mizani i n a t o f a u t i a n a n a k a u l i zinazogongana tunaikuta hukumu juu ya Uislamu ni kinyume na ni kuuludhumu na ni kuvuka mipaka ya haki. Uhakika wa mambo ya Dini ya Kiislamu imeepukana na hayo yote. Kwani dini ya Kiislamu ni Dini ya Amani na Usalama Dini ya upole na utulivu. Dini ya ukati na kati, uwastani na uadilifu (Usawa) na Dini iliyompa kila mtu haki yake na ni Dini ya kimaumbile ya binadamu na Dini nyepesi na tabia njema na mwenendo mzuri. Na wenye kudhibitika na ni Dini ya Elimu na utamaduni na bidii na kufanya kazi na ni Dini ya maendeleo na ni Dini ya ushindi na utukufu na ni dini ya afya na usafi. Nayo ndio Dini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na ni Dini ya kila nabii na mitume (a.s)

  SUALI moja ninajiuliza mimi Mwenyewe, kwanini dini hii tukufu inatuhumiwa kwa tuhuma hizi zote ambazo ni uongo mtupu?

  NA JIBU: Kwa hakika wao sababu na wao kuuweka Uis lamu kat ika mizani mbovu na ya dhuluma kwani baadhi yao wana uhukumu Uislamu kwa kuwatazama baadhi ya Waislamu ambao wanajinasibisha na Dini hii

  Na Dr. Ahmed Abdulatif

  Uislamu katika mizanikatika zama hizi wakawakuta baadhi yao watu wa dhuluma wengine masikini wengine wanatengana na wengine maadui na wengine wanatisha kwa tabia zao za kinyama isipokuwa waliorehemewa ujinga tu walionao kwamba dini yao ya Kiislamu ndio sababu ya hayo yote.

  Ninaapa kwa Mwenyezi Mungu, Uislamu yaliyotajwa katika matusi yao kwa yale wanayoyaona kwa baadhi ya hali ya waumini wake kwani hawa wanakwenda kinyume na mafunzo ya U i s l a m u n a wa m e a c h a vyanzo vya Diini na misingi yake na hawakuyafanyia kazi kwa upande wa maisha yao na muamala wao wengine wanauweka Uislamu katika m i z a n i ya u p a n d e wa ugaidi pale walipowaona wa n a o l i u n g a h i l o k wa ujinga wao upande wa Dini pamoja na kujinasibisha na Dini hiyo kwa ujinga wao wanajiingiza katika kazi ya ugaidi kwa kuwaua wasio na hatia wala makosa. Kwa wanayoyafanya watu hawa makosa watu hawa kwani Uislamu unaamrisha Amani amesema Mwenyezi Mungu Enyi mlioamini ingieni katika sheria za Uislamu zote na wala msifuate nyayo za shetani kwani yeye kwenu ni adui wawazi. Surat Al-Bakarat aya ya (208).

  Na miongoni mwao wapo wanaochuma makosa ya makusudi na kuuzushia Uislamu hayo yote kwa dhuluma na kwa uadui kama kwamba wanataka kuizibia njia ya Mwenyezi Mungu na wakaweka ushahidi juu ya madai yao kwamba Uislamu unahimiza jihadi pale unapofanyiwa uadui kwa kuchukua dalili kauli yake Mwenyezi Mungu Na atakayekufanyieni uadui, basi wafanyieni uadui. Al-bakarat (194)

  Na tunajiuliza na kukaa pembeni ni kujibu uadui? Na ajabu jambo hilo lakini sisi tunajisifu kwa kuwa dini yetu inatuamrisha tulipize Uadui

  vile vile na hii nikuonyesha wazi uadilifu na utukufu wa dini hii amesema Mwenyezi Mungu (na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu wale ambao wanaopigeni nyinyi na wala msivuke mipaka hakika mwenyezi Mungu hawapendi wavukao mipAka). Surat Al-bakarat aya ya (190)

  Jee, hapo kuna ugaidi? Bali wengine wanaotaka kujibu uadui kwa kuuweka Uislamu kwenye ncha ya ugaidi basi mizani yao imegeuka kwani magaidi ni wale ambao wanaovuka mipaka duniani kwa kuzifanyia uadu ardhi nafsi na rasilimali bila ya haki.

  N a m i o n g o n i m wa o wapo wanaoiga ambao wanawasikiliza wanaoutaka Uislamu bila ya kuilazimisha nafsi yake kutafuta uhakika wa Uislamu na wanakiri na kujitambulisha kutokana na