TAFSIRI YA BIBLIA - eclea. · PDF fileTAFSIRI YA BIBLIA Mwandishi Jonathan M. Menn B.A., ......

download TAFSIRI YA BIBLIA - eclea. · PDF fileTAFSIRI YA BIBLIA Mwandishi Jonathan M. Menn B.A., ... ya kidini, likizo, na matukio mengine yalikuwa na misingi inayofanana na kueleweka vema

If you can't read please download the document

Transcript of TAFSIRI YA BIBLIA - eclea. · PDF fileTAFSIRI YA BIBLIA Mwandishi Jonathan M. Menn B.A., ......

  • Hakimiliki 2008-2017 na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa

    TAFSIRI YA BIBLIA

    Mwandishi

    Jonathan M. Menn

    B.A., University of Wisconsin-Madison, 1974

    J.D., Cornell Law School, 1977

    M.Div., Trinity Evangelical Divinity School, 2007

    Equipping Church Leaders-East Africa

    3701 N. Gillett St., Appleton, WI 54914

    (920) 731-5523

    [email protected]

    www.eclea.net

    Januari 2008, toleo la Mei 2013; toleo la Julai 2014; toleo la Machi, 2015; toleo la Septemba 2015; toleo la

    Septemba 2016; na toleo la Machi 2017

    Maelezo na ufafanuzi wa kanuni za namna ya kuelewa Biblia na kutafsiri kwa usahihi na ukweli. Ikihusisha asili ya Biblia, nadharia ya tafsiri za Biblia, fafanuzi za tanzu kuu za Biblia, kanuni za hamenutiki na

    eksejesia, na tukilenga juu ya matumizi ya kifungu cha Biblia leo. Mifano ya kanuni za tafsiri na matumizi yametolewa kwa wazi.

  • Hakimiliki 2008-2017 na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa

    1

    YALIYOMO

    I. Biblia na Hitaji la Kutafsiriwa. ....3

    A. Biblia Takatifu ni ufunuo maalum wa Mungu kwa mwanadamu...................................................................3

    B. Ulivyo mtazamo wa Mtu kuhusu Biblia ndivyo ulivyo kuhusu Yesu...............................................................3

    C. Mambo kadhaa yanayoshurutisha uwepo wa kanuni za kuelewa na kutafsiri Biblia........3

    II. Maana, Matakwa, na Makusudi ya Tafsiri Biblia.................4

    A. Muundo na maana.................4

    B. Uhusiano uliopo kati ya muundo na maana katika tafsiri ya Biblia...............................4

    C. Tafsiri ya Biblia ya halisi kimsingi dhidi ya ulinganifu mtambuka ...5

    D. Hemenutiki na eksejesia........................................................................................................................5

    E. Kusudi la kutafsiri Biblia ni kulelewa Biblia na kutii mamlaka yake na kufanya maagizo yake..................6

    III. Kanuni kuu za Hamenutiki za kuelewa Biblia.............................................................6

    A. Biblia yenyewe ni mamlaka kuu kwa ajili ya imani na maisha.......6

    B. Biblia inajitafsiri yenyewe......................................................................6

    C. Muktadha ni ufunguo wa kuelewa na kutafsiri kifungu chochote cha Biblia....................................8

    D. Maelezo dhidi ya maelekezo.................................................................................................................11

    E. Kanuni zilizopo hapo juu zinaonyesha umuhimu wa kuelewa maandiko kwa usahihi ...........13

    IV. Tanzu za fasihi katika Biblia........................................................................................................................13

    A. Simulizi.............................................................................................................................................................14

    B. Mashairi............................................................................................................................................................15

    C. Vitabu vya Hekima...........................................................................................................................................16

    D. Unabii na Maandiko kuhusu Siku za mwisho............................................................................................17

    E. Mifano na mafumbo.........................................................................................................................................25

    F. Nyaraka.............................................................................................................................................................27

    V. Kanuni za eksejesia za kutafsiri kifungu cha Biblia....................................................................................27

    A. Mambo ya msingi ya kuzingatia katika mchakato wa eksejesia....................................................................27

    B. Eksejesia sahihi na uelewa wa kifungu chochote cha Biblia unazingatia vipengele vitatu

    uchunguzi; tafsiri; na matumizi .....................................27

    C. Kuelewa muktadha...............................................................................................................................28

    D. Andika dondoo za kitabu, sehemu na kifungu cha maandiko ..........30

    E. Soma kwa njia ya kujiuliza maswali............................................................................................31

    F. Zingatia maelezo ya kina ya kihistoria na ya kitamaduni ..............................................................................31

    G. Zingatia mambo halisi yaliyopo kwenye kifungu............................................................................................31

    H. Angalia kwa makini matumizi ya lugha .34

    VI. Maana ya Maneno na Aina za Semi.............................................................................................................36

    A. Tafsiri maneno kulingana na muda na muktadha.........................................................................................36

    B. Tafsiri maneno kulingana na nahau au aina za semi ...................................................................................37

    VII. Matumizi ya Kifungu...................................................................................................................................41

    A. Matumizi ya Biblia kimsingi yanahusiana na uelewa wake...........................................................................41

    B. Matumizi hatimaye yameweka mizizi yake katikalengo la kufanana na Kristo.............................................41

    C. Matumizi sahihi yanatokana na hemenutiki sahihi na eksejesia ..42

    D. Matumizi yasiyo sahihi yanatokana na hemenutiki isiyo sahihi na eksejesia.......42

    E. Maadili, mafundisho, na mifano ya kibiblia................43

    F. Sheria, amri, na masharti ya kibiblia.. ........44

    G. Kuna umahususi na pengo la jambo kati ya jambo ambalo linaelezwa na Biblia na lile

    tunalokutana nalo, kwani Biblia haiongelei moja kwa moja au kimahususi kila jambo

    ambalo tunaweza kukutana nalo... .....................................................................................................47

    H. Kuna pengo la kitamaduni kati ya utamaduni wa Biblia ikihusishasheria, amri, na sheria

    kulingana na tamaduni hizona tamaduni tofauti za siku tunazoishi leo ..................47

  • Hakimiliki 2008-2017 na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa

    2

    I. Sababu zinazotusaidia kuelewa vifungu vya Biblia vilivyofungwa katika utamaduni fulani na vile

    vya tamaduni zote ...........................................................................50

    J. Hatua tano za kuweka daraja kuziba pengo la kitamaduni ili KUWEZA kutumia sharia, amri,

    na masharti ya kibiblia katika mazingira ya sasa..............................54

    K. Kutumia hamenutiki ya mchakato wa ukombozi/nia ya ukombozi kuziba pengo la jambo na la

    kitamaduni pale amri za kiblia, sheria na masharti yanapokuwa HAYAWEZI kutumika kama

    yalivyo kwa kuwa hayakuwa maagizo makamilifu ya Mungu kwa watu wote na tamaduni zote...56

    REJEA ZILIZOTUMIKA..........60

    MWANDISHI..63

    NYONGEZA A: Gregory Koukl, Kamwe Usisome Mstari wa Biblia...................63

    NYONGEZA B: Mahubiri ya Kibiblia kwa Njia ya Kujifunza kwa Maswali .........67

    NYONGEZA C: J. Daniel Hays, Kutumia Sheria za Agano la Kale Leo..........69

    NYONGEZA D: T. Wayne, Dye, Utamaduni na Dhamiri: Kweli za Biblia na Tofauti za

    Tamaduni..77

    NYONGEZA E: Chimbua Utambue Kanuni za Hamenutiki: Kanuni za Msingi............87

  • Hakimiliki 2008-2017 na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa

    3

    TAFSIRI YA BIBLIA

    I. Biblia na Hitaji la Kutafsiriwa

    A. Biblia Takatifu ni ufunuo mahususi wa Mungu kwa wanadamu 1. Waandishi wa Maandiko hudhihirisha kwamba Biblia ni ufunuo maalumu wa Mungu ambao waliutoa na kuuandika(tazama, mfano, Kutoka 17:14; 20:1; 24:4, 7:34:27, Neh 9:13-14; Yer 1:4, 9; Luka 3:2-4; 1 Wakor 7:10, 11:21; 1 Wath 2:2-9; 2 Tim 3:16-17; 2 Pet 1:20-21; 3:14-16). 2. Baraza la Kimataifa la Mwandani mwa Biblia (ICBI) katika tamko lake la Chicago kuhusu mwandani mwa Biblia (1978: n.p.) walitoa muhutasari kuhusu asili ya Biblia, kama ifuatavyo:

    1. Mungu ambaye ni Kweli na kwamba husema yaliyo kweli tu, ameyavuvia maandiko Matakatifu ili kwa hayo ajifunue kwa mwanadamu aliyepotea kwa njia ya Yesu Kristo kama Muumbaji na Bwana, Mkombozi na Hakimu. . . .

    2. Maandiko Matakatifu, ambayo ni Neno lake Mungu, lililoandikwa na watu walioandaliwa na kuvuviwa na Roho wake, ni mamlaka halisi ya kiungu isiyo na makosa kwa kila eneo ambalo linagusa: linapasa kuaminiwa, kama Maelekezo ya Mungu, kwa yote inayofafanua: kutiiwa, kama amri ya Mungu, kwa yale inayohitaji kutekelezwa, kushilikiliwa kwa matarajio; kama nadhiri za Mungu kwa yote inayoahidi. . . . 4. Likiwa kamili na limetolewa katika kinywa cha Mungu, maandiko hayana makosa wala mapungufu katika mafundisho yake, hayajapungua neno lolote katika kueleza matendo ya Mungu katika uumbaji, matukio katika historia ya uumbaji wa dunia, na chanzo chake kiujuzi chini ya mamlaka yake Mungu, na katika ushahidi wake wa Neema ya Mungu iookoayo kwa maisha ya mtu binafsi.

    B. Ulivyo mtazamo wa Mtu kuhusu Biblia ndivyo ulivyo kuhusu Kristo Kutokuiamini Biblia husababisha kutomwamini Yesu. Kushindwa kuamini kwa usahihi Biblia kunasababisha kushindwa kumwamini Kri