Sera Poa… Lakini Utekelezaji? -...

54
3 Sera Poa… Lakini Utekelezaji? Great Policies… but Implementation?

Transcript of Sera Poa… Lakini Utekelezaji? -...

Page 1: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

3

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

Great Policies… but Implementation?

Page 2: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?Great Policies… but Implementation?

Page 3: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Msanii/ArtistMarco Tibasima

Timu ya Wahariri/Editorial TeamRakesh RajaniZainab BakilanaGodfrey Telli Lilian Kallaghe

Mchapishaji/Publisher© HakiElimu, 2005PO Box 79401, Dar es Salaam, [email protected]

Unaruhusiwa kunakili sehemu yoyote ya kijitabu hiki kwa minajili isiyo ya kibiashara. Unachotakiwa kufanya ni kunukuu chanzo cha sehemu iliyonukuliwa na kutuma nakala mbili za chapisho kwa HakiElimu.

Any part of this book may be reproduced for non commercial purposes, provided attribution is made to the source and two copies of the publication are sent to HakiElimu.

ISBN 9987-423-15-9

Page 4: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

UtanguliziSera za Serikali ni muhimu sana, kwa sababu hutoa njia. Lakini ubora wa sera hujionyesha pale tu zinavyotumika. Njia ya kweli ya kupima maendeleo imo katika kuangalia jinsi sera zinavyojidhihirisha katika maisha ya watu wa kawaida nchini kote.

Inasemekana kwamba Tanzania inazo sera nzuri, aidha kumekuwepo na mafanikio mengi. Lakini taarifa za Serikali, tafiti binafsi na sauti za umma nchini kote zinaonyesha kwamba kiwango cha ubora wa maisha ya wananchi masikini, hususan waishio vijijini bado hakitoshelezi. Ustawi na utu wa walio wengi bado huendelea kukiukwa kila siku.

Kuna njia nyingi za kuelimisha, kupeana taarifa, kuhakiki au kuburudisha. Mkusanyiko huu wa katuni, ambazo ni za tatu katika mfululizo wa katuni zinazochapishwa na HakiElimu, unalenga kwenye mapengo yaliyopo kati ya sera na utekelezaji wake. Unatilia mkazo mgongano uliopo katika masuala ya maendeleo, kwa njia ya ucheshi. Lengo si kukosoa bali ni kutambua, kutoa changamoto na juu ya yote ni kuamsha fikra na kuibua mjadala.

Kwa kutekeleza masuala mazito hivi, changamoto ni jambo la kawaida. Njia muafaka ni kutambua matatizo na vikwazo, na kuyatathmini kwa uwazi na ukweli kama hatua ya kwanza ya kuyashughulikia. Katuni moja ina uwezo wa kuwasilisha hoja kwa nguvu zaidi kuliko maneno elfu. Katuni ina uwezo wa kutoa utambuzi wa kina na kwa kusisimua. Katuni inaweza kusaidia kusema mambo ambayo ni nyeti kabisa.

Katuni zinaweza kuzungumza na sisi sote, kila mmoja peke yake au kwa pamoja. Je sisi kama raia wema, majukumu yetu ni yapi? Tutaisaidiaje Serikali? Utafanyaje ili Serikali ikusaidie? Mabadiliko sharti yaanzie kwako na kwangu, na sio kesho bali leo!

Tafakari! Uliza maswali. Jadili na marafiki, familia na majirani. Zungumza na viongozi katika jumuia yako. Andika maoni na mapendekezo yako halafu uyatume kwa viongozi wako na kwa Afisa Elimu wa Wilaya au kwa Katibu Mtendaji. Uliza maswali mengi kadri uwezavyo, hakikisha unaelewa. Hiyo ni haki yako. Na kama ukipenda, tuma nakala kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Utamaduni, SLP 9121, Dar es Salaam; Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, SLP 1923, Dodoma na kwetu kwa HakiElimu, SLP 79401, Dar es Salaam. Au tuma barua fupi kwa mhariri wa gazeti au chombo chochote cha habari (Anwani za vyombo vya habari zimeambatanishwa ukurasa wa iii).

Maoni yako ni muhimu. Nchi yako inahitaji kipaji chako, ubunifu wako, mawazo yako na kujitolea kwako ili kuifanya Tanzania kuwa mahalipa kuvutia.

i

Page 5: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

IntroductionPolicies are very important, because they make the road. But policies are only as good as their becoming real on the ground. The true test of development is how policies come alive in the lives of ordinary people across the country.

Tanzania is said to have good policies. There have also been many achievements. But government reports, independent studies and public voices across the country show that the quality of life of the poor, particularly in the rural areas, is far from adequate. The wellbeing and dignity of many continues to be assaulted every day.

There are many ways to educate, inform, critique and entertain. This cartoon booklet third in the series produced by HakiElimu, this booklet focuses on the gaps between policy and practice. It highlights contradictions in development, using humor. The aim is not to criticize, but to appreciate, to challenge, and above all stimulate thought and debate.

With ambitious undertakings, challenges are normal. The right approach is to identify the problems and bottlenecks, and examine them openly and honestly, as a first step towards dealing with them. A cartoon can communicate a point more powerfully than a thousand words. A cartoon can be insightful and dramatic. It can help to say things that are far too sensitive.

Cartoons can speak to all of us, individually as well as collectively. What is our responsibility as good citizens? How do we support the Government? How do we get the Government to support us? Change should begin with you and me, not tomorrow, but today!

Think! Ask questions. Discuss with friends, family and neighbors. Talk with local leaders. Write down your views and suggestions and send them to your local leaders, the District Education Officer or Ward Executive Officer. Ask more questions; make it your business to know! It is your right! If you want, copy them to the Permanent Secretary, Ministry of Education and Culture (MOEC), PO Box 9121, Dar es Salaam; the Permanent Secretary, President’s Office Regional Administration and Local Government (PO-RALG), PO Box 1923, Dodoma and to us at HakiElimu, PO Box 79401, Dar es Salaam. Or send a short letter to the editor in any media organization (addresses are listed on page iii). Your views matter. Your country needs your talent, your creativity, your ideas and your commitment to make Tanzania wonderful place.

ii

Page 6: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Anwani za baadhi ya vyombo vya habari

Vyombo vya habari Namba ya faksi Namba ya simu Anwani The African 022-2461459 022-2461459 SLP 4793 Dar es SalaamThe Arusha Times 027-2506438 SLP 212 ArushaAlasiri 022-2773582 022-2700735/7 SLP 31042 Dar es SalaamDaily News 022-2112881 022-2110595 SLP 9033 Dar es SalaamDTV/CTN/Ch 10 022-2113112 022-2116342 SLP 14678 Dar es SalaamEast African radio 022-2775915 022-2775916 SLP 21122 Dar es SalaamFinancial Times 022-2773583 022-2700735/7 SLP 31042 Dar es SalaamThe Guardian 022-2773582 022-2700735/7 SLP 31042 Dar es SalaamITV / Radio One 022-2775915 022-2775916 SLP 31042 Dar es SalaamMajira 022-2118382 022-2118377 SLP 71439 Dar es SalaamMsanii Afrika 028-2500713 028-2503262 SLP 1732 MwanzaMtanzania 022-2461459 022-2461459 SLP 4793 Dar es SalaamMwananchi 022-2180183 022-2180647 SLP 19754 Dar es SalaamNipashe 022-2700146 022-2700735 SLP 31042 Dar es SalaamRadio Uhuru 022-2182369 022-2181700 SLP 9221 Dar es SalaamRai 022-2461459 022-2461459 SLP 4793 Dar es SalaamRadio Five 027-2506447 SLP 11843 ArushaRadio Tanzania 022-2865569 022-2865563 SLP 9191 Dar es SalaamRadio Free Africa 028-2500713 028-2503262 SLP 1732 MwanzaStar TV 028-2500713 028-2503262 SLP 1732 MwanzaTaifa Letu 022-2773583 022-2700735/7 SLP 31042 Dar es SalaamTvT 022-2772603 022-2700464 SLP 31519 Dar es Salaam

iii

Page 7: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Maoni yanguMy Opinion

Page 8: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

1

Page 9: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?2

© H

akiE

limu

2005

Page 10: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

3

Page 11: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?4

© H

akiE

limu

2005

Page 12: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

5

Page 13: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?6

© H

akiE

limu

2005

Page 14: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

7

Page 15: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?8

© H

akiE

limu

2005

Page 16: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

9

Page 17: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?10

© H

akiE

limu

2005

Page 18: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

11

Page 19: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?12

© H

akiE

limu

2005

Page 20: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

13

Page 21: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?14

© H

akiE

limu

2005

Page 22: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

15

Page 23: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?16

© H

akiE

limu

2005

Page 24: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

17

Page 25: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?18

© H

akiE

limu

2005

Page 26: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

19

Page 27: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?20

© H

akiE

limu

2005

Page 28: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

21

Page 29: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?22

© H

akiE

limu

2005

Page 30: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

23

Page 31: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?24

© H

akiE

limu

2005

Page 32: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

25

Page 33: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?26

© H

akiE

limu

2005

Page 34: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

27

Page 35: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?28

© H

akiE

limu

2005

Page 36: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

29

Page 37: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?30

© H

akiE

limu

2005

Page 38: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

31

Page 39: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?32

© H

akiE

limu

2005

Page 40: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

33

Page 41: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?34

© H

akiE

limu

2005

Page 42: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

35

Page 43: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?36

© H

akiE

limu

2005

Page 44: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

37

Page 45: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?38

© H

akiE

limu

2005

Page 46: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

39

Page 47: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?40

© H

akiE

limu

2005

Page 48: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

41

Page 49: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?42

© H

akiE

limu

2005

Page 50: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

43

Page 51: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?44

© H

akiE

limu

2005

Page 52: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?

© H

akiE

limu

2005

45

Page 53: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Sera Poa… Lakini Utekelezaji?46

© H

akiE

limu

2005

Page 54: Sera Poa… Lakini Utekelezaji? - HakiElimuhakielimu.org/files/publications/document7cb3_sera_poa_bi.pdf · HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki

Kuhusu kitabu hikiSera za Serikali ni muhimu sana, kwa sababu hutoa njia. Lakini ubora wa sera hujionyesha pale tu zinavyotumika. Njia ya kweli ya kupima maendeleo, imo katika kuangalia jinsi sera zinavyojidhihirisha katika maisha ya watu wa kawaida nchini kote.

Kijitabu hiki cha tatu katika mfululizo unaochapishwa na HakiElimu, unalenga kwenye mapengo yaliyopo kati ya sera na utekelezaji wake. Unatilia mkazo mgongano uliopo katika masuala ya maendeleo, kwa hali ya ucheshi. Lengo ni kutambua, kutoa changamoto na juu ya yote ni kuamsha fi kra na kuibua mjadala.

About this bookPolicies are very important, because they make the road. But policies are only as good as their becoming real on the ground. The true test of development is how policies come alive in the lives of ordinary people across the country.

HakiElimu ni shirika la hiari linalolenga kufi kia usawa, ubora, haki na demokrasia katika elimu na jamii. Tunafanya hivyo kwa kuwezesha jamii kupata habari, kubadili shule na mfumo wa uundaji wa sera; kuchochea ubunifu wa mijadala ya umma; kufanya utafi ti yakinifu, uchambuzi wa sera na utetezi na kushirikiana na wadau ili kuendeleza manufaa ya pamoja na kuzingatia haki za jamii.

HakiElimu is an independent civil society organization which seeks to realise equity, quality, human rights and democracy in education and society. We facilitate communities to access information, transform schools and infl uence policy making, stimulating imaginative public dialogue and organising for change, conducting critical research, policy analysis and advocacy and collaborate with partners to advance common interest and social justice.

S.L.P 79401 • Dar es Salaam • [email protected] • www.hakielimu.orgSimu: +255 22 2151852/3 • Faksi: +255 22 2152449

Third in the series produced by HakiElimu, this booklet focuses on the gaps between policy and practice in Tanzania. It highlights contradictions in development, using humor. The aim is to appreciate, to challenge and above all to stimulate thought and debate.