Azimio la Bogota kuhusu Haki za Ushuru kwa Haki za ... · kufanikisha shughuli za usawa wa kijinsia...

6
1 Azimio la Bogota kuhusu Haki za Ushuru kwa Haki za Wanawake 2017 * Mashirika yanakaribishwa kutia saini ili kuunga mkono Azimio hili : http://bit.ly/2AtpYE2 Sisi, washiriki wa kikao cha kwanza cha kimataifa kuhusu haki za ushuru kwa haki za wanawake kutoka tarehe 13-15 Juni, mwaka 2017 jijini Bogota, nchini Colombia, tulikutanika pamoja kama jamii ya kimataifa ya wanawake– mawakili na wahamasishaji, wanasheria na mahakimu, wasomi na wajasiriamali, na wanavyama vya wafanyakazi vya umma- kama sauti ya pamoja ya kutetea haki za ushuru tukiwa na nia ya kuanzisha na kuthibitisha misimamo imara na ya pamoja ya kuunga mkono juhudi za pamoja zinazolenga kubadilisha imani kuhusu haki za ushuru kwa haki za wanawake katika miaka ijayo. Tunatambua na kujitolea kuimarisha suluhu zinazoangazia unyimwaji wa haki za kibinadamu za wanawake kupitia uungwaji mkono wa mifumo ya kiushuru inayorudisha nyuma hali hii na kusababisha ongezeko la umaskini na utengwaji wa wanawake katika uchumi wa ulimwengu. Tunatoa shukran zetu za dhati kwa Wakfu wa Friedrich Ebert (FES), Mwungano wa Haki za Ushuru Ulimwenguni (GATJ), Mtandao wa Haki za Ushuru (TJN), Ushirika wa Kimataifa wa huduma kwa Umma (PSI), na wabia wetu wa Colombia kwa kuwa wenyeji wa kikao cha kwanza ulimwenguni kuhusu haki za ushuru kwa haki za wanawake kwa kutupa msaada wote uliohitajika. Tunashukuru na kutambua jukumu na mchango wa jamii ya kimataifa ya wanawake katika kufaulisha kongamano hili, ikiwa ni pamoja na mawasilisho tofauti tofauti, upeperushaji wa habari, mawasiliano kwenye majukwaa ya kijamii na mtandaoni, na ujengaji wa kampeni ya upangaji wa siku za hatua za kimataifa kuhusu haki za ushuru kwa wanawake zilizoendeshwa kwa kushirikiana na Mwungano wa Haki za Ushuru Ulimwenguni (GATJ), Vyama vya wafanyakazi ulimwenguni, na wabia wa mashirika ya kijamii mnamo mwezi Machi 2017. Tunakumbuka kujitolea kwa viongozi wa ulimwengu, ikiwa ni pamoja na utimizaji wa Ajenda ya 2030 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), Mahitimisho yaliyoafikiwa ya Umoja wa Mataifa ya Halmashauri ya Hadhi ya Mwanamke kikao cha 61 (CSW61), Ajenda ya Addis Ababa ya Hatua za Kufadhilia Maendeleo 69/313, ambayo inajukumisha serikali kuchukua hatua za kutenga rasilimali ya kufanikisha shughuli za usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana. Ahadi hizi zinaenda sambamba na Kifungu cha 2.1 cha Agano la Kimataifa kuhusu Haki za Kiuchumi, Kijamii na Kitamaduni la 1976 (ICESCR 1976), ambalo linahitaji kila taifa liendelee kufanikisha haki hizi kwa kuzidi kuongeza rasilimali hadi kufikia upeo unaowezekana. Pia tumefahamu ya kuwa Azimio la Haki za Kibinadamu kwa Wote (UDHR) linatangaza kuwa ‘kila mtu anafaa kupata (…) haki zote na uhuru wote unaotolewa katika Azimio hili (Kifungu cha 28), bila kubaguliwa kwa misingi ya kijinsia.’ na kuwa Mapatano ya Uondoaji wa kila aina ya Dhuluma dhidi ya Wanawake (CEDAW) yanatambua ‘haki sawa za wanaume na wanawake za kufurahia haki za kiuchumi,

Transcript of Azimio la Bogota kuhusu Haki za Ushuru kwa Haki za ... · kufanikisha shughuli za usawa wa kijinsia...

1

AzimiolaBogotakuhusuHakizaUshurukwaHakizaWanawake

2017*MashirikayanakaribishwakutiasainiilikuungamkonoAzimiohili:http://bit.ly/2AtpYE2Sisi, washiriki wa kikao cha kwanza cha kimataifa kuhusu haki za ushuru kwa haki za wanawakekutokatarehe13-15Juni,mwaka2017jijiniBogota,nchiniColombia,tulikutanikapamojakamajamiiya kimataifa ya wanawake– mawakili na wahamasishaji, wanasheria na mahakimu, wasomi nawajasiriamali, na wanavyama vya wafanyakazi vya umma- kama sauti ya pamoja ya kutetea haki zaushuru tukiwa na nia ya kuanzisha na kuthibitishamisimamo imara na ya pamoja ya kuungamkonojuhudi za pamoja zinazolenga kubadilisha imani kuhusu haki za ushuru kwa haki zawanawake katikamiakaijayo.Tunatambuanakujitoleakuimarishasuluhuzinazoangaziaunyimwajiwahakizakibinadamuza wanawake kupitia uungwaji mkono wa mifumo ya kiushuru inayorudisha nyuma hali hii nakusababishaongezekolaumaskininautengwajiwawanawakekatikauchumiwaulimwengu.Tunatoa shukran zetu za dhati kwaWakfu wa Friedrich Ebert (FES), Mwungano wa Haki za UshuruUlimwenguni(GATJ),MtandaowaHakizaUshuru(TJN),UshirikawaKimataifawahudumakwaUmma(PSI),nawabiawetuwaColombiakwakuwawenyejiwakikaochakwanzaulimwengunikuhusuhakizaushurukwahakizawanawakekwakutupamsaadawoteuliohitajika.Tunashukurunakutambua jukumunamchangowa jamiiyakimataifayawanawakekatikakufaulishakongamanohili, ikiwa ni pamoja namawasilisho tofauti tofauti, upeperushajiwa habari,mawasilianokwenyemajukwaa ya kijamii namtandaoni, na ujengajiwa kampeni ya upangajiwa siku za hatua zakimataifa kuhusu haki za ushuru kwawanawake zilizoendeshwa kwa kushirikiana naMwunganowaHaki zaUshuruUlimwenguni (GATJ), Vyama vyawafanyakazi ulimwenguni, nawabiawamashirika yakijamiimnamomweziMachi2017.Tunakumbukakujitoleakwaviongoziwaulimwengu,ikiwanipamojanautimizajiwaAjendaya2030yaMalengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), Mahitimisho yaliyoafikiwa ya Umoja wa Mataifa yaHalmashauri ya Hadhi ya Mwanamke kikao cha 61 (CSW61), Ajenda ya Addis Ababa ya Hatua zaKufadhiliaMaendeleo 69/313, ambayo inajukumisha serikali kuchukua hatua za kutenga rasilimali yakufanikishashughulizausawawakijinsianauwezeshajiwawanawakenawasichana.AhadihizizinaendasambambanaKifungucha2.1chaAganolaKimataifakuhusuHakizaKiuchumi,KijamiinaKitamadunila1976 (ICESCR 1976), ambalo linahitaji kila taifa liendelee kufanikisha haki hizi kwa kuzidi kuongezarasilimalihadikufikiaupeounaowezekana.PiatumefahamuyakuwaAzimio laHakizaKibinadamukwaWote (UDHR) linatangazakuwa‘kilamtuanafaa kupata (…) haki zote na uhuru wote unaotolewa katika Azimio hili (Kifungu cha 28), bilakubaguliwakwamisingiyakijinsia.’nakuwaMapatanoyaUondoajiwakilaainayaDhulumadhidiyaWanawake(CEDAW)yanatambua‘hakisawazawanaumenawanawakezakufurahiahakizakiuchumi,

2

kijamii, kitamaduni, za kiraiana za kisiasa’ (utangulizi) naAzimio laBeijingna Jukwaa laHatua (1995)linalotoamwitowauandaajiwarasilimalikatikaviwangovyakitaifanakimataifakufanikishamaendeleoyawanawake.Tunatakamarejeleokamilinayawazikwaserahizinakwawajibuhuuwakisheriakatikamajukumuyakitaifa na kimataifa ya kuandaamapato yanayotosha kufikiamalengohaya, na kuandaamapatohayokwakupitiasheriataratibuzaushuruambazozinatambuanakuboreshahakizawanawakenakutumiamapatohayokwanjia zinazoondoamifumosuguna iliyokitayakutokuwanausawakati yamumenamke, kupitia kwa upatikanaji wa huduma za umma katika elimu, afya, uangalizi, maji, usafi, usafiri,usalamawakijamiikwawote,nabainayawaliotengwakisiasanawenyemamlaka,namiongonimwamataifakatikaviwangotofautivyamaendeleonauendelevuwakiuchumi.Tunatambua changamoto zinazowakumba wanawake katika hali za rasilimali haba ya kugharamiautekelezajiwaMalengoyaMaendeleoEndelevunautoajiwahudumakwaumma.Maranyingi,sautizawanawakehasisikikikatikamijadalakuhususerailiyotawaliwanamtajiwaulimwengu.Hukuserikalizakitaifazinaridhiamsukumowamashirikayakibiasharakuhusukupewanafuukatikaulipajiushuru,hakizakupataardhi,maji,naruzukuyaserikali,hukuwakiyapuuzamatakwayawanawakekuwamashirikaya kibiashara yatozwe ushuru kwa njia sawa,mahitaji yawanawake nawatuwotewanaohusiana naustawiwajamiizakibinadamuyanazidikupuuzwa.Tunafahamukuwakaulimbioya‘kutozaushurukwamaendeleo’imepigiwaupatunaBenki yaDunia, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Shirika laUshirikianowaKiuchuminaMaendeleo(OECD), naMwunganowaUlaya (EU) katika kutoamapendekezo sawa ya kifedha kwamataifa yenyemapatoyachininapiayenyemapatoyajuu.Mapendekezoyaoyaserazaushuruyaliyolengaumahsusiwataifahusikayameegemezwakatikahalizataifahusika,ilafomulaya‘kutozaushurukwamaendeleo’imekuwa ni ile ile kila mahali: yaani kuwatoza ushuru watu binafsi na mashirika ya kibiasharayanaoendelea;kupatamapatozaidikutokananaviwangovyajuu‘sawia’vyaushuruwamatumizikamavile ushuru kandamizi wa VAT na wa bidhaa; kutoa nafuu ya ushuru kwa mapato yatokanayo nauwekezaji, akiba,mapato kutokana namtaji, na kutozamifumo ya shughuli za kijamii ili kupunguzabajetizaserikali.Katikamataifayenyemapatoyajuu,matokeoyamekuwanikushukakwausawiawaviwangovyaushuru(mapato ya ushuru kama sehemu yaMapato jumla ya Nchi yaani GDP). Hili limechangia kuendeleakupunguza bajeti za serikali zinazogharamia huduma namipango za serikali, mipango ya kudumu yaserikaliyakupunguzagharamaambazowanadhaniasiomuhimusana.Katikamataifayenyemapatoyachini, hata yaliyo na uwiano wa ushuru unaoongezeka,matokeo yamekuwa ni kuongezea utegemezikatika jinsianaushurukandamiziwaVATkwamapatonaushuruwabidhaaambaonimzigomkubwakwa wasio na usalama wa kiuchumi, na upunguzaji wa utumiaji wa ushuru unaokatwa pole polekutokana na mapato ya watu binafsi na mashirika ya kibiashara ambao unapaswa kutumiwa ilikuongezeamapatoyaserikalikutokananawalionamapatoyajuu.Tunatambua kuwa matokeo ya tawala za ‘kutoza ushuru kwa maendeleo’ yamekuwa ni kuongezeaurundikajiwamapatonautajirikwawatuwachachewaliomatajirisananakwakampunikubwakubwa.Upanukajiwamwanyawa kimapato kati yaulimwenguwaKaskazini nawaKusini, kati yamatajiri nawatuwengine,nakati yawanawakenawanaume imefikiaviwangovyakuwamgogorokatikamataifahusikakatikakilakiwangochamaendeleo.

3

Tunakiri kuwamataifa yanayoendeshwa kidemokrasia daima yamekuwa yakitegemeamapato kutokakwaushurukamachanzokikuuchaufadhiliwakukidhiamahitajinahakizotezawananchi.Tunawasiwasikuwa:

1. Mgawanyowaushurukwamisingiyauwezowakulipaushuru,nakwamisingiyaushuruwajuuunaotozwapolepolekwawalionamapatomakubwa,umezidikupuuzwahukuviwangovyajuuvyaushuruwamatumizi (ushuruwanyongezaya thamaniyaaniVATauushuruwabidhaanahuduma yaani GST) vimetumika kuchukua nafasi ya viwango vya ushuru vilivyopangwa kwadarajavinavyotozwamapatoyajuuyamatajirinamashirikayakibiashara.

2. Serikalihazijihusishisananakufadhiliahudumazaelimu,afyanamajikwawote,nahudumazauangalizi,kutoaruzukuyaserikalikwaummanamalipoyauzeeni,nakulindahakizakimsingizakiuchuminakijamiizawanawakewote.

3. Kwamsingiwa fasili yamashirika ya kibiashara kama ‘watu’waliotambulika kisheriawalio nahaki zote za kisheria za binadamu asili, serikali za kitaifa na taasisi za kifedha za kimataifazinaruhusumashirikayakibiasharakuzururaulimwengumzimakwarahazaohukuwakijihodhiakilahisazaardhizinazoongezekathamani,maliyaasili,mapato,namitajiyakifedha.

4. Sasa kuna mashirika mengi ya kibiashara kuliko mataifa huru miongoni mwa mia moja borayenye mapato ya juu kwa mwaka kufikia (2015), na mashirika haya yana mapato bora zaidikuliko nchi nyingi isipokuwa tu zile chache zilizo tajiri zaidi. Hii ni changamoto ya kweli, kwasababu, huku wanawake bado wanang’ang’ana kutumia sheria za kikatiba, za haki zakibinadamu, na za kimataifa za haki za kibinadamu ili kupatahaki za kupiga kurananafasi zakuchaguliwakatikaserikali zakitaifa,badowanawakewananafasikidogosanakatikamasualayauongoziserikalini.

5. Wanawake wana uwakilishwaji wa chini zaidi katika umiliki na uongozi wa mashirika yakibiashara, na huwani sheria chache sana za kikatiba, za haki za kibinadamu, na za kimataifazinazohakikisha kuwa kuna uwakilishwaji sawa katika maendeleo, uwekezaji, na maamuzi yaulipaji wa ushuru yanayofanywa na kampuni kubwa za kimataifa zinazotengeneza bidhaa,zinatoa malighafi, na mashirika ya kifedha. Huku mitazamo ya mashirika ya kibiashara ikizidikuathiri uongozi ulimwenguni, nafasi ya wanawake katika ushawishi wa sera inadidimia nakusakamwazaidinawakatihuohuomaendeleoyaoyanazidi kutegemeamaamuzi yauongoziwamashirikayakibiashara.

6. Sera za ushuru ambazo zinalenga kikamilifu kuimarisha ukuaji wa kiuchumi zimewezesha nakuzawadia mashirika ya kibiashara yaliyotawaliwa na wanaume, zimewezesha maeneo yaushuru kuandaa sehemu zisizotozwa ushuru kwa wamiliki matajiri na kwa mashirika yakibiashara, na kutoa nafasi ya kisheria kwamashirika haya kujengamfuatanowaugavi katikaulegezajiwa ushuru, vifuta jasho vya ushuruwa kibiashara,maeneomaalum ya kiuchumi, namataifayatozayoushuruwachini.Wakatihuohuo,serazakiushuruzinazowaathiriwanawake,ikiwanipamojanaviwangovyajuuvyaushuruwaVAT/GSTkwawanawakewenyemapatoyachinihutoaufadhilihabakwahudumazaummazinazohitajikakwamaendeleoyakibinadamu,lakinizinaendeleakuungamkonokupunguzaushuruunaolipwanawatuwenyemapatomanononabiashara.Tunaaminikuwa

1. Bilamabadilikomuhimukwenyemifumoyautozajiushurukuinuahatuazinazoongezausawanauendelevuwamifumoyakifedha inayoafikiananamasilahiyawanawake,kupunguakwaidadiya serikali zinazowajibikia raia wake na kuchipuka kwa mashirika ya kibiashara yanayojalimaslahiyaowenyewekutaendeleabilapingamiziyoyote.

4

2. Nimuhimusanakwamashirikayakimataifanawatumatajirikulipasehemuyaoyaushuru,nakwamataifayotekukutanikakatikamezayakuamuaserazakimataifakuhusuushuru.

3. Bilaserazaushuruunaotozwahatuakwahatua,serikalizetuhaziwezikutimizamajukumuyakeya haki za kibinadamu kwa raia wake, na ni wanawake na watoto wanaoumia zaidiwanaponyimwahudumaborazaummazinazofaakatikaelimu,afya,nyumba,kufikiamfumowamahakamaunaofanyakazi,rasilmalizakuzuiafujokwawanawake,kupatamajisafi,nachoo,namapatoyakutosha.

KwahivyoTunahuishakujitoleakwetukushirikiananamashirikayenyewashirikawengipamojana,ilasitu,UmojawaMataifa–UN,wadauwaserikalinawasiowakiserikali,napiawadauwotemuhimukatikarubaazakitaifa,kimaeneonakiulimwengu,ilikuimarishahakizaushurukwahakizawanwake;TunakubalikuanzishavuguvugulakimataifalahakizaushurukwahakizawanawakelikifanyapamojanaMwungano wa Haki za Ushuru Ulimwenguni (GATJ) na mashirika na mitandao yetu mbali mbalikuimarishamfumo sawiawa kifedhaulimwenguni unaoteteahaki za ushuru,maendeleoendelevunaukuajiwauchumikwawote.Kujitolea kuhudhuria vikao vya mara kwa mara vya kimataifa kuhusu haki za ushuru kwa haki zawanawake ili kuunda mikakati pamoja, kutathmini hatua zilizopigwa na kuangazia changamoto ilikufahamumipangoyaharakatizamustakabalini.Kutoamwitokwaserikaliiliwahakikishekuwa

1. Athari zote hasi za kijinsia zilizopo katika aina zote za ushuru, matumizi ya fedha, sera zakimataifa,nasherianyinginezozakifedhazinafaakurekebishwakwadharura.

2. Hakunamamlakayakisheriayanayofaakupitishasheriampyazozotezaushuruauzamatumizi,mipango,aumatendoyanayoongezamapengoyakijinsiayamapato.

3. Rasilimali zote zinazopatikana zinatumika vyema kuwekeza katika huduma bora za umma nazinazoafikiananamahitajiyajinsiazote,uchumiwahudumazauangalizi,naruzukukwakijamii.‘Kutoaushurukwahakizawanawake’nimwitowakuzalishamapatoyanayotoshailikuongezeauwekezaji wa serikali katika huduma kwa umma kwenye nyanja za elimu, afya, huduma zauangalizi,usafiri,usalamawachakula,nanyumba ilikupunguzamgaowakazibilamalipokwawanawakenakuongezamapatoyasoko,mapatobaadayaushurunamamlakayakisiasa.

4. Kila kiwango cha serikali huwa kinapanga bajeti zake kulingana na jinsia ili wasiwadhulumuwanawake, kuhakikisha wanawake wana nafasi kushiriki kwa uamuzi wa jinsi pesa za ummazinavyotumika.

5. Mapatoyoteyaserikalikutokananaushuruyanapatikanakupitiakwanjiazakuongezekahatuakwa hatua iwezekanavyo- kupitia kwa kutoza ushurumoja kwamoja kwamapato, utajiri, nawatu binafsi wenye mali nyingi- na kuhakikisha kuwa mashirika ya kibiashara ya kimataifayanalipa mgao wao wa ushuru. Malipo ya chini ya kiwango kimoja na viwango vya chinivilivyopangwakwadarajavyamapatoyawatubinafsinayamashirikayakibiasharanaushuruwamtajivinafaamaramojakugeuzwanakuwamifumoyaushuruwamapatoiliyonaviwangovilivyopangiliwakidaraja-ambaonimfumowakweliwaushuru‘unaotozwapolepole’–ambaomsingiwakewakutozaushuruniuwezowakulipakwawalionamapatoyachininawalionamalipoyajuu.

1. Kutathminiathari zaushuruhuwakunafanywamarakwamara-hasautathminiwaatharihizokwawanawakemaskini.

5

2. Sera za kitaifa na kimaeneo kuhusu ushuru na siri za kifedha huwa hazichangii kwa kiwangokikubwadhuluma za kiushurukatikamataifamenginenahuwahaziegemei kwamataifa tajiri,mashirikayakibiashara,auwatuwalionamapatoyajuu.

3. Serikali zakitaifapamojanamashirikayakimaeneowanaungamkonouundwajiwaKamisheniya Umoja wa Mataifa kuhusu Ushuru Ulimwenguni ambayo itakuwa shirikishi na yenyeuanachamawaserikalizamataifamengi,ambaponchizote,siyotuzilezaG20,zitakuwanavitisawakatikamezahiyomojanasautisawakatikauamuziwaserazaushuruwakimataifa.

1. Mifumoyoteyamapatoya‘ushurukwausawawakijinsia’iwenasifazifuatazo:i. Ushuruwa kukatwapole pole kutoka kwamapato yawatu binafsi na ya

mashirikayakibiasharayazalisheangalauasilimia60%yamapatoyoteyanchi;ii. Marupurupuyaziadayatolewekwawatuwotewaliokatikakazizakulipwa

wanaopatakiwangochachiniyamapato-yaliyo-juuyaviwangovyaumaskini;iii.Nyongezazamapatohuimarishasiyotukazizavibaruaauzisizozakudumu,

ilapiakazinzurinakudumuzenyemshahara;iv.Msamahawaushuruhuhakikishakuwahakunaushuruwamapatoauushuru

unaochangia huduma za kijamii unaoweza kuwatoza watu ushuru hadiwakabakiamaskini;

v. Viwango vya ushuru unaotozwa kwamapato huwa vinawezesha serikalikusambaza upyamapato yamasoko kutoka kwawalio namapato ya juu hadikwawalionayakadirinayachinikabisa;

vi. Halizagharamayamaishahuwazinafanyaviwangovyaushuruunaotozwapole pole kutokana namapato kuwa sambamba ba hali halisi ya gharama zamaisha;

vii.Msamahawaushuruhuwaniwajuukiasichakuwahakunaanayejipiaushuru

wamapatoaumakatoyaushuruwakuchangiahudumazaummaiwapomapatoyaonichiniyaviwangovyawenyemapatoyachini,nahudumazaummakamachakula, nyumba, elimu, usafiri, na marupurupu ya mapato yanayoweka kilammojajuuyaviwangovyaumaskini;

viii.Watuwazimawotewanatozwaushurukamamtubinafsinakuhakikishakuwamanufaa ya ushuru, manufaa ya pesa, na aina yoyote ya huduma za serikalihutolewakwawanawakekamawatubinafsiilikulindauhuruwaowakifedha;

ix.Marupurupuyasiyotozwaushuruyametolewakwawatotowanaomtegemeamlipaushurukwamiakayaoyoteyamasomoshuleni;

x.Halizotezinazoletamanufaayaushurubadalayamsaadakwaummaaukwamtu binafsi ziondolewe (yaani kuondoa gharama zote za ushuru, ambazo kwajumlahaziwafikiiwalionamapatoyachini).

xi. Ushuruwote,pesa zote,namanufaayote yanayotolewakamamsaada ilikutoa ruzuku kwa kazi isiyolipwa kwawanawake na hivyo kuleta vikwazo vyaushurukwakaziyakulipwayawanawakelazimauangaliweupya;

xii. Mifumo isiyolegea ya kiushuru (kama ushuru wa kutazamiwa nakushutumiwa) na ushuru usio rasmi na ushuru haramu (kama kodi aumalipoyanayodaiwa na wahusika wasiofahamika) yaliyolengwa kwa biashara ndogondogo,zapembeninaambazosi rasmi, iondolewenanafasiyakekuchukuliwanaushuruwachinikwafaidahalisi,namiradiyaserikaliyakuwapauwezowakifedhawafanyabiasharadogodogo.

6

xiii. Hasa katikamataifa yaliyo namapato ya chini, upangaji upyamikakati yausalamawamapatokamamifumoyamchangowamojakwamojailiyofadhiliwakwa kiwango kikubwa na waajiri pamoja na serikali kwa wote wasiowezakujiwekeaakibayamtajiwakutoshawakuwapausalamawakimapatomaishanimwao;

xiv. Kuwazawadiawafanyakazinabiasharazinazoingiakwenyesektayauchumirasmikwamsaadawakutegemeka, lakiniwazuiematumiziyasheriazautozajiushuruzinazowaadhibunapiahatuakandamizizauthibiti.

MashirikayanakaribishwakutiasainiilikuungamkonoAzimiohili:http://bit.ly/2AtpYE2