CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6...

36
1 CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA MWONGOZO WA MWANAFUNZI Mwongozo huu wa Mwanafunzi umetayarishwa kwa ushirikiano kati ya Ofisiya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ORTAMISEMI), Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), uliopo Dar es Salaam, Tanzania © Chuo cha Serikali za Mitaa, 2018 ,Toleo la Kwanza ,(Elimu Masafa), 2018 . Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili au kutoa kwa njia yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Chuo cha Serikali za Mitaa.

Transcript of CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6...

Page 1: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

1

CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

MWONGOZO WA MWANAFUNZI

Mwongozo huu wa Mwanafunzi umetayarishwa kwa ushirikiano kati ya Ofisiya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ORTAMISEMI), Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), uliopo Dar es Salaam, Tanzania © Chuo cha Serikali za Mitaa, 2018 ,Toleo la Kwanza ,(Elimu Masafa), 2018 . Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili au kutoa kwa njia yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Chuo cha Serikali za Mitaa.

Page 2: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

2

Yaliyomo 1.0 Mpangilio wa mfumo ................................................................................................................... 3

2.0 Programu nyingine ...................................................................................................................... 3

3.0 Upatikanaji wa Mfumo ................................................................................................................ 3

4.0 Kuingia katika Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa ............... 3

5.0 Ukurasa wa mwanzo .................................................................................................................... 4

6.0 Kisanduku cha kutafuta kozi....................................................................................................... 5

7.0 Mwonekano wa kozi .................................................................................................................... 6

8.0 Kalenda ........................................................................................................................................ 8

9.0 Taarifa Binafsi ........................................................................................................................... 10

9.1 Wasifu Wangu ......................................................................................................................... 10

9.2 Hariri picha ya mtumiaji........................................................................................................... 12

10.0 Badilisha Nywila ...................................................................................................................... 13

11.0 Washiriki .................................................................................................................................. 14

12.0 Kutuma jumbe ......................................................................................................................... 16

13.0 Zoezi ................................................................................................................................... 19

13.1 Matini inayoandikwa mtandaoni ............................................................................................. 19

13.2 Ukusanyaji wa faili ................................................................................................................ 21

13.3 Kufuta faili lililoambatishwa .................................................................................................. 22

14.0 Zoezi la papo kwa papo ...................................................................................................... 24

15.0 Alama ....................................................................................................................................... 27

16.0 Jukwaa la majadiliano ...................................................................................................... 28

17.0 Soga ..................................................................................................................................... 31

18.0 Faharasa ................................................................................................................................... 32

19.0 Tathmini ya Kozi ..................................................................................................................... 33

20.0 Kupakua Mwongozo wa Mwanafunzi ..................................................................................... 35

21.0 Kutoka nje ya mfumo .............................................................................................................. 35

22.0 Msaada wa kiufundi na Kimaudhui ........................................................................................ 36

Page 3: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

3

1.0 Mpangilio wa mfumo Kivinjari:Kabla ya kuingia kwenye mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa, unatakiwa kuhakikisha kwamba una moja kati yavivinjari vilivyopendekezwa hapo chini.

• Google Chrome • Firefox Internet explorer Microsoft Edge Opera-mini Web

2.0 Programu nyingine Ili kutazama baadhi ya mafaili, media au vitu vingine vinavyoweza kupatikana katika mfumo huu, unaweza kuhitaji baadhi ya programu zifuatazo:

• Adobe Flash

• Windows Media Player

• Adobe Reader

3.0 Upatikanaji wa Mfumo Mfumo unaweza kupatikana kwa kutumia vifaa mbalimbali kama vile kompyuta ya mezani, tabiti na simu janja.

4.0 Kuingia katika Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa Anuani ya Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa ni http://elms.lgti.ac.tz .Wakati ukurasa unafunguka, utakupeleka kwenye ukurasa wa ‘kuingia’ kama unavyoonekana hapa chini;

Bofya huu mshale kuangalia Video inayoelezea Umuhimu wa Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki

Page 4: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

4

Kisha utatakiwa kuingiza jina lako la mtumiaji pamoja na nywila yako:

Jina la mtumiaji: (kwa mfano: Jina la kwanza. Jina la ukoo)

Nywila: kama uliyopewa na msimamizi wa MUKI/mfanyakazi aliyeidhinishwa

5.0 Ukurasa wa mwanzo Baada ya kufanikiwa kuingia katika mfumo wa ujifunzaji kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa “Ukurasa wa kwanza”utafunguka,Ukurasa huu utakupa uwezo wa kuzipata/kuzifikia kozi na huduma zingine zinazotolewa na Mfumo wa Ujifunzaji Kielekroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa.

Ingia kwenye kozi yako kwa kutumia eneo hili

Page 5: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

5

6.0 Kisanduku cha kutafuta kozi

Unaweza kuifikia kozi yako kwa kuandika jina la kozi hapa

Msimbo wa kozi

Bofya hapa kutafuta kozi

Bofya hapa kuona maudhui ya kozi

Hawa ni wawezeshaji wa kozi uliyoitafuta

Page 6: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

6

7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa itaonekana katika mtazamo wa safu ya 3 . Safu pana ya katikati ni mahali ambapo vifaa na shughuli nyingi za kozi zimewekwa, zimepangiliwa kwa kuzingatia mada, majuma au moduli. Hii Safu ya maudhui imegawanywa katika miraba mingi , au "sehemu," na inaweza kuhusisha shughuli mbalimbali za aina tofauti tofauti , rasilimali, na viungo vinavyowekwa na mwalimu wako

Eneo la juu ya Kozi likionyesha Msimbo na jina la Kozi, Maelezo na Malengo ya kozi Pamoja na Maelezo ya kina ya Kozi

Page 7: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

7

Vifaa,nyenzo na Shughuli za kozi

Sehemu ya Chini ya Kozi inaonyesha Faharasa ,Marejeo na Tathmini ya Kozi

Page 8: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

8

8.0 Kalenda Ili kuifikia kalenda tafadhali fuata mwongozo huu,

Baada ya kubofya neno kalenda ukurasa ufuatao utafunguka,

Bofya hapa kuifikia kalenda

Nukta hii inaonyesha kuna tukio katika tarehe hii

Ingiza tukio jipya Chagua kategoria unayotaka kuingiza

tukio

Bofya hapa kuona tukio

Page 9: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

9

Bofya hapa kwenda kwenye kazi

Page 10: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

10

9.0 Taarifa Binafsi 9.1 Wasifu Wangu Unaweza kutengeneza maelezo mafupi ya wasifu wako na baadhi ya mipangilio ya Mfumo wa ujifunzaji kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa kwa kutumia Mipangilio yakundi hili la taarifa.

Hatua ya 1: katika kona ya juu zaidi ya kushoto bofya pale unapoona jina lako ->alama ya mshalealama wa chini ->Maelezo mafupi ya wasifu

Hatua ya 2: Dirisha la taarifa za Mtumiaji litajitokeza kama ilivyooneshwa hapa chini

Mshale wa Alama wa chini

Page 11: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

11

Hatua ya 3: Kisha dirisha linaloonesha taarifa zako binafsi litaonekana

Unaweza kuhariri taarifa zako binafsi hapa

Bofya hapa kuhariri wasifu wa mtumiaji

Page 12: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

12

9.2 Hariri picha ya mtumiaji

Bofya hapa kusasisha taarifa zako

Unaweza kupakia picha yako kwa kutumia kisanduku hiki. Unaweza kukokota faili na kuliingiza kwenye kisanduku chenye alama ya mshale wa wa bluu, au bofya kitufe cha weka ili kulitafuta faili na kulipakia.

Weka majina yako mengine hapa

Pia unaweza kuhariri vitu unavyopendelea na taarifa zingine

Kitufe cha kuweka

Page 13: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

13

10.0 Badilisha Nywila Unaweza kubadilisha nywila yako kwa kutumia mipangilio ya kundi la taarifa.

Hatua ya 1: Kwenye kona ya juu zaidi kulia bofya pale unapoona jina lako ->mshale wa alama chini->uteuzi.

Kisha dirisha la chaguzi litaonekana, katika chaguzi ulizopewa, bofya badili nywila

Mshale wa Alama chini

Bofya hapa kubadili nywila

Page 14: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

14

Katika “badili nywila” kipengele kilichowekwa rangi nyekundu kinahitajika. Nywila lazima iwe na tarakimu zisizopungua 6.

11.0 Washiriki Hatua ya 1: Katika mwonekano wa kozi, bofya hapa ili kuwaona washiriki wa kozi hii ni akina nani.

Angalia washiriki hapa

Mara utakapokuwa tayari, bofya hapa

kuhifadhi mabadiliko

Page 15: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

15

Hatua ya 2: Baada ya dirisha la washirki kufunguka, tumia kichujio kuchagua majukumu ya washiriki (Mwalimu, mwanafunzi )

Bofya mshale wa alama kuchagua

kundi la washiriki

Page 16: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

16

12.0 Kutuma jumbe Kipengele hiki kinakusaidia kuwasiliana na washiriki (mwalimu, mwanafunzi,mratibu n.k) kwa kutumia ujumbe mfupi.

Katika orodha ya washiriki, Bofya washiriki unaotaka kuwatumia ujumbe

Chagua jukumu la mshiriki hapa

Page 17: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

17

Bofya hapa kutuma ujumbe kwa Francis

Mashalla

Bofya hapa kufungua kisanduku cha ujumbe

Page 18: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

18

Mara baada ya ujumbe kutumwa, utakuwa na chaguo la kuona kikasha chako na ujumbe uliotumwa.

Ili kuona ujumbe wako ona skrini hapa chini

Baada ya kubofya jumbe dirisha lifuatalo litafunguka

Andika ujumbe wako

hapa

Mara upokuwa tayari, bofya hapa kutuma ujumbe

Mshale wa alama chini

Page 19: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

19

13.0 Zoezi

Mwalimu wako atakutaka upakie maudhui ya kidigitali na/ ama majibu ya mtandaoni kwa ajili ya kupewa alama/ kusahihishwa. Kwa mfano, insha, jedwali, mawasilisho, kurasa za tovuti, picha, video sauti au majibu ya aya zilizochapwa yanaweza kutakiwa.

Kuna njia mbili za kukusanya kazi;

Matini inayoandikwa mtandaoni Ukusanyaji wa faili (Mwanafunzi anatakiwa kukusanya faili kwa ajili ya kupewa alama)

13.1 Matini inayoandikwa mtandaoni Kukusanya Matini inayoandikwa mtandaoni, mwanafunzi anahitaji kukamilisha hatua zifuatazo:

Bofya kitufe cha ‘weka wasilisho’ ili kupata ukurasa wa mhariri wa matini inayoandikiwa mtandaoni :

Bofya hapa kuingia kwenye Zoezi Assignment

ujumbe uliotuma na uliotumiwa utaonekana hapa

Bofya hapa kutuma ujumbe

Bofya hapa kujibu ujumbe

Page 20: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

20

Chapa matini inayohusika katika mhariri wa HTML, ama nakili kutoka katika faili lililokwisha andikwa kisha Bofya ‘Hifadhi mabadiliko’.

Weka matini yako hapa

Bofya hapa kuanza kufanya zoezi

Page 21: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

21

Bofya ‘hifadhi mabadiliko’

13.2 Ukusanyaji wa faili Ili kukusanya faili, kamilisha hatua zifuatazo:

1. Bofya kitufe cha ‘Weka wasilisho’ ili kupata ukurasa wa kupakia faili.

2. Bofya katika ‘weka’ na chagua faili/mafaili yako kutoka katika kompyuta. Unaweza pia kuvuta na kutupia faili/ mafaili kwenye kisanduku cha uwasilishaji. Kisha bofya ‘hifadhi mabadiliko’

Vuta na tupia faili lako hapa

Matini yako itaonekana hapa

Weka faili

Page 22: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

22

13.3 Kufuta faili lililoambatishwa Kama unataka kulifuta faili lililoambatishwa, unatakiwa kubofya mara mbili kwenye faili hilo .

Hili ni faili lililowekwa

Bofya mara mbili kwenye faili ili

kulifungua

Page 23: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

23

Baada ya kutuma zoezi lako, hadihi ya uwasilsihaji itaonekana kama inavyoonekana katika ukurasa ufuatao .

Bofya hapa kufuta

Hii inaonyesha kuwa zoezi lako limekusanywa

Pia unaweza kuhariri wasilisho lako kabla ya tarehe ya makataa

Page 24: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

24

14.0 Zoezi la papo kwa papo

Mara utakapoingiza zoezi la papo kwa papo, utaona maelekezo yaliyotolewa na mwalimu wako, kujibu maswali kunaruhusiwa, tarehe na wakati zoezi la papo kwa papo linapopatikana, na wakati zoezi la papo kw apapo litafungwa. Ili kuanza zoezi la papo kwa papo, chagua kitufe cha kuanza kufanya zoezi la papo sasa.

Ikiwa zoezi linaruhusu kufanyika kwa kurudiwa mara nyingi na umefanya, kitufe kitasomeka jaribu tena kufanya zoezi la papo kwa papo. Ikiwa zoezi la papo kwa papo inaruhusu kufanyika mara moja tu, dirisha litajitookeza likikuuliza endapo ungependa kendelea.

Bofya hapa kuingia kwenye zoezi la papo kwa papo

Page 25: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

25

Mara unapoanza kufanya zoezi la papo kwa papo, hakikisha unalisoma kila swali kwa umakini. Unaweza kuyawekea alama maswali ambayo unataka kuyaruka na / au kuyahakiki baadaye.

Ubofyaji wa kitufe cha "maliza kufanya maswali" utakuhitimishia kujibu maswali. Papohapo itakuhitaji kuthibitisha. Mara itakapokubalika kuthibitisha haiwezi kurudishwa nyuma.

Page 26: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

26

Wakati wa kumaliza zoezi la papo kwa papo, muhtasari wa kujibu maswali utatolewa kwa mwanafunzi na mfumo wa ujifunzaji Kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa kwa mawanafunzi.

NB: Jaribio jipya la kufanya zoezi linawezekana endapo tu MUDA haujaisha.

Page 27: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

27

15.0 Alama Ikiwa mwalimu wako anatumia kipengele cha Kitabu cha Alama, utaweza kuziona alama zako kwa kuchagua Alama, zilizowekwa kwenye mfumo.

Bofya hapa kuona alama

Page 28: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

28

16.0 Jukwaa la majadiliano Tuma- ujumbe wowote kwenye jukwaa la majadiliano ikiwa ni pamoja na mada za mjadala na majibu yoyote.

Mada– Mada ya wasilisho .

Ujumbe – inaweza kuwa mawazo ya mwanafunzi, maoni au majibu ya mada ya mjadala.

Kiambatisho – Mwanafunzi anaweza kuambatisha rasilimali mbalimbali ambazo zinahusiana na mada ya mjadala.

Mfululizo –Mfuatano wa majibu (au majibu ya jibu) kwenye wasilisho asilia.

Mada – Mada ya wasilisho asilia la mfululizo wa mawasilisho.

Mada mpya ya mjadala imewekwa

Kushiriki katika jukwaa la mjadala la jibu langu bofya hapa

Mada ya mjadala iliyowekwa

Bofya hapa kuingia kwenye jukwaa la majadiliano

Hapa unaweza kuweka mada kwa ajili ya mjadala

Page 29: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

29

Bofya hapa kuingia kwenye jukwaa la majadiliano

Andika jibu lako hapa

Page 30: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

30

Kuangalia jibu lako na jibu la watu wengine, tafadhali angalia skrini hapa chini

vuta na tupia faili lako hapa

Mara utakapokuwa tayari kukusanya, bofya ‘Tuma kwenye jukwaa la majadiliano ’

Bofya hapa kuona Majibu yako na ya washiriki wengine ’

Page 31: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

31

17.0 Soga Moduli ya shughuli za mazungumzo inawawezesha washiriki kuwa na majadiliano ya maandishi ya ana kwa ana.

Gumzo inaweza kuwa shughuli ya wakati mmoja au inaweza kurudiwa kwa wakati mmoja kila siku au kila wiki. Vikao vya mazungumzo vinahifadhiwa na vinaweza kupatikana kwa kila mtu kuona au kuzuiwa kwa watumiaji wenye uwezo wa kuona kumbukumbu za kikao cha mazungumzo.

Kuingia kwenye Gumzo fanya yafuatayo;

Baada ya kuingia kwenye Soga dirisha la Soga litakuwa kama ilivyoonyeshwa hapo chini

Bofya hapa kuingia kwenye Gumzo la Madiwani

Haya ndiyo majibu uliyochangia wewe na washiriki wengine

Page 32: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

32

18.0 Faharasa Moduli wa shughuli za Faharasa huwezesha washiriki kuunda na kudumisha orodha ya ufafanuzi, kama kamusi, au kukusanya na kupanga rasilimali au habari.

Kuweza kupata Faharasa ya kozi, fuata mwongozo hapo chini.

Baada ya kubofya sehemu elekezwa, orodha ya maneno na ufafanuzi wake vitaonekana kama hivo apo chini.

Bofya hapa kuingia kwenye Ufafanuzi wa maneno magumu yaliyotumika kwenye kozi

Page 33: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

33

19.0 Tathmini ya Kozi Moduli ya shughuli za tathmini hutoa mwongozo na kuhamasisha kujifunza katika mazingira ya mtandaoni. Mwalimu anaweza kutumia haya kukusanya Takwimu kutoka kwa wanafunzi wao ambayo itawasaidia kujifunza kuhusu darasa lake na kutafakari juu ya mafundisho yao wenyewe.

Kushiriki kwenye kutathmini kozi, fuata mwongozo hapo chini.

Orodha ya maneno na ufafanuzi wake (Faharasa) vitaonekana hapa

Bofya hapa kushiriki kwenye tathmini ya kozi

Page 34: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

34

Baada ya kubonyeza Tathmini ya Kozi, dirisha la tathmini litakuwa kama ilivyoonyeshwa hapa chini

Ukishamaliza kujaza, Bofya hapa kumaliza kushiriki

Page 35: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

35

20.0 Kupakua Mwongozo wa Mwanafunzi

21.0 Kutoka nje ya mfumo Baada ya ukamilishaji wa kazi yoyote katika Mfumo wa ujifunzaji kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa, mwanafunzi anatakiwa Kutoka nje ya mfumo (Ni muhimu kutokana na taarifa za kiusalama)

Hatua: Kwenye kona ya juu zaidi kushoto Bofya pale ambapo unaona jina lako -> mshale wa alama chini -> toka nje.

Bofya hapa kupakua kiongozi cha

Page 36: CHUO CHA SERIKALI ZA MITAAmuki.lgti.ac.tz/documents/LGTI_Mwanafunzi_Mwongozo... · 2018-10-23 · 6 7.0 Mwonekano wa kozi Kozi yako katika Mfumo wa ujifunzaji kielekroniki wa Chuo

36

22.0 Msaada wa kiufundi na Kimaudhui Endapo utapata tatizo lolote wakati unatumia Mfumo wa Ujifunzaji wa Kielektroniki wa Chuo cha Serikali za Mitaa (muki.lgti.ac.tz), tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia taarifa za mawasiliano zifuatazo,

Simu: (255)262961101

Barua Pepe: [email protected]

Barua Pepe: [email protected]

Tovuti: www.lgti.ac.tz

Bofya hapa kutoka nje ya mfumo

Mshale wa alama chini