38 - ShujaazFM - Chapta 38

24

description

Elections kuliendaje mtaa ya ma fans wetu?

Transcript of 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Page 1: 38 - ShujaazFM - Chapta 38
Page 2: 38 - ShujaazFM - Chapta 38
Page 3: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

3

Page 4: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Sasawa Dj boyie enyewe umetu-enrich sana sisi mavijanaa n hope hii worksyako ita-grow hadi iwe-international... Big up! Sammy Samchez4

Page 5: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Big up DJ mkali, mnoma, tunaku-congratulate sana kwa kujenga ma-yuts wote Kenya. Ruthy Wanja 5

Page 6: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Si unajua we ndio baba yao thats why u r the best. N a hapy nw ya kwamafanz wa shujaaz. Flickstar Maro6

Page 7: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Thumbs up Boyie I still remain fan wa shujaaz....forever and ever always. Bajaj Pirlo Di Almeida 7

Page 8: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

8

Page 9: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Big up to you DJ B na kila mtu. Happy new year. Jennifer Riley 9

Page 10: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

East Coast Feveriki-affect ng’ombe SMS “shujaaz” to 5024

Produced in collaboration with:USAID, Twaweza, RIU, DFID-UK & Galvmed. Distributed by Nation and Safaricom.ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe BarasaPRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan KamauRADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida NoahFINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko.Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya.Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke.Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withthe use of the information in this publication. 10

Page 11: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

11

Page 12: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

I love the spirit yaku-bring peace to our beautiful nation. Voke Kathiaka12

Page 13: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Am with you Boyie ka gava ingekua na watu ka wewe jo! tungekua morethan mbele. Tuks Brazary Brazaville.13

Page 14: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Nikajua madoki wa hio hosi walikuwa wanaiba dawa wanazipeleka kwa clinic zao hapo nje. Sindano zilikuwa zina-disposiwa vibaya mahali watoi wangezipata. Hakukuwa na ukuta

ya kuzuia dispensary na facilities zilikuwa imbo kabisa.

Manze ilikuwa situation mbaya sana, kitu ya kwanza nilifanya research na nika-get underground

story.

Uliezaje ku-confirm kuna

noma na management ya

hosi?

Nili-mobilize tu mayut tukafika wasee ka forty. Tulikuwa wasee wengi but nilijua kuna wasee wangeitwa

waguzishwe dooh. Lakini wangeguzishwa me enyewe mdomo yangu iko juu, ningewamezeshea. So kila msee

ali-participate kwa demonstration yetu roho moja.

Uko topz kaa nundu ya ngamia...endelea kuchapia mayut izoteachings ni noma. Kim Mbugua 14

Page 15: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Haugopi kuvunjwa juu

ya kuwa radical?

Nikitoka kwa nyumba nikienda nilikuwa najua nikienda nilikuwa najua kuna vitu hazita-work...

Najua hii ni shimo na hii ni njia. Nikijua hivyo naeza hata postpone hadi kuwe

safe kuleta noma. Me hu-postpone mara ka tatu hu-postpone mara ka tatu

but ya nne lazima iingiane.

Facilites zime-change, hakukuwa

na lab but saa hii kuna lab, hakukuwa na H.I.V. testing but hakukuwa na H.I.V. testing but sasa kuna container imekam ya H.I.V. testing, simiti ikapigwa kwa

grounds hadi saa hii inakaa hosi.

Sasa wameweza kujenga wall poa na gate juu ya watoi ku-get access kwa madawa na masindano zile

zimetumiwa.

Man idea zako niza power & kama vijana lazima tu-keep amani natuvotie leaderswa kutenda wala si wakubonga tu. Jackson Sore15

Page 16: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Wazi Mzito! Wewe

ni Shujaa kweli!

Ulikuwa unaget watoi na hizo ma-comic, na me vile napenda ma-comic nikakam

ku-like Shujaaz.

First time yangu kusoma shujaaz niliijua na watoi.

16

Page 17: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

17

Page 18: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Mazee DJB, umetu-help tu sana si mayuts endelea mara dat dat. Eldon OkingoOchieng18

Page 19: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

19

Page 20: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

am sure chuxx yuko

huku...

mzito ameshinda!! tukunywe!!nipe chupa

tatu!

lazima nibonge naye...

chuxx, naweza

kaa hapa?

Ah! Karibu Maria Kim... Pia wewe

unasherehekea? Hehe!

Wacha ku-celebrate ju hizi ni results za round 1 na

hakuna mtu ameshinda ju hakuna mtu atakuwa

amepata kura zinazofaa kushinda!

Haujui, top two

candidates wataenda kwa

election zingine?

hatuna was! kama mzito

alishinda mara ya kwanza,

atashinda tena!

evlybody...

hehehe!!

hihihi!!

hehehe!!

baadaye....

Hi, DJ Boyie unabambisha mbaya nimecheki kwa Nation leo. Nixon Masiar20

Page 21: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

bryo, nini kinaendelea

huko?!

ma-elections tu!

ayayai!sasa nini

hii?

wewe! ni nini tena?

wametuibia!ati

wanasema mzito

ameshindwa! atashindwa

aje? haki yetu!

shhhhh!!ebu funga

hiyo mdomo!

niliku-show aje chuxx? si nili-kushow

kunaeza kuwa hivi?

lakini...lakini...

mzito anafaa ashinde.

hatukubali...wameiba...

Niliku-show si lazima mtu ameshinda 1st round ashinde 2nd

round! Wacha koti i-decide kama zimeibwa!

wewe niambie,

hata mzito akishinda itakusaidia aje, heh?

uta-get nini wewe? niambie!sasa

ona ile chaos

mna-cause!

mwezi moja ikapita...

21

Page 22: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

uliona vile kulienda last time? raia walianza kupiga juu ya

ma-politicians...

...wasee walipoteza bizna zao...

...wamama walipoteza

nyumba zao...

hebu niambie, huyo mzito hata

anakujua? ata-come kwako akuambie

ahsante?

vile kuliharibika last

time, hao wakubwa walipoteza nini?

uliona wakipoteza bizna zao?

je, watoi wao wali-suffer?

Uliona mabibi wao wakikatsiwa

raha?

walitupwa jela?

hapana!

...watoi walipoteza mapero...

...mayuts walitupwa jela...

22

Page 23: 38 - ShujaazFM - Chapta 38

Ina bamba jo! Andika kuhusu ajali za barabarani za hivi punde. Uko juu. Jackson Amos Okinyi 23

Page 24: 38 - ShujaazFM - Chapta 38