31 - Shujaaz.FM - Chapta 31
-
Upload
well-told-story -
Category
Documents
-
view
322 -
download
25
description
Transcript of 31 - Shujaaz.FM - Chapta 31
Manlike kupanga
..nicheki
Leo nitawashalafu n sourc
Hivi ndio kulienda
...Kumbukeni ku-votia Bi Amani ju yeye ni
leader mpoa.
Wiki mbili kabla registration.
Inakaa Bi Amani anapendwa na vijana
sana?
Huyu musician ndio anawaleta.
Kazi ni kupoteza huyo kijana. Sawa?
Sawa mkubwa.
Niaje Manlike! Manze ngoma zako
ziko juu.
Mzito amesema anakutaka u-perform kwa concert. Utaweza?
Siwezi kataa dow. Naanza practice
leo.
Manlike aanza kupanga lyrics.
...Dj B na Shujaaz.fm hapa! Voter registration imeanza! Kumbuka kura
ni haki yako.
Aii! Wale wasee wacha...
..nicheki ni....Manliiike! Come
niku-show kitu gwan.Siku ya concert
Leo nitawashika,alafu nikue source.
Haiya! Wapi mafans. Si hapa ndio concert
inafaa kuwa?
Aloo! Mko wapi?
Nashikisha base.
Na je concert? We fala hakuna
concert.
Ati?
Ilikuwa ya kukufunga macho ndio usiende campaign za Bi Amani.
oteza . Sawa?
alarm...ni asubuhi
tayari? niamke nipikie bryo...
...chai...
hapa niwapi?
niko wapi?
ni room ya mine. lakini hizo
walls zimejengwa na mawe na
zime-paint-iwa poa!
hiyo ni switch ya stima?
haya! niko na stima!
niko na maji!
huku nje...ni mtaa yetu,
lakini...
ni ku-neat! kuna barabara poa, kuna maji! kunakaa kupoa!
hata hewa ni safi!
mimi!
usishtuke, maria kim. umepanua
mdomo! inafaa ujione... hehehe!!
lakini si saa hizi uko unajiona?
unajiona kwa world yenye
unaweza kuwa nayo in future. Wewe na watu wa mtaa yako mkiamua kumulika chapaa ya budget,
kuna prioities zenu zitamulikwa.
Lakini nitamulika aje na mimi sina say?
Peleka views zenu kwa public
participation meetings zile zina-organiziwa
na treasury na uta-make change
mkiweza kuongea juu ya vitu mnataka.
ngoja maria kim!!
husband wangu... wako... wangu... eeh... wetu...
ni nani? maria kim! maria kim!