African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – African clawless
LIKARANGALA LIKOLONGU LIKIJIVU(Aonyx capensis) – LIKABILIWA NA HATARI JAKUHOBA PANE PUNDEMA (IUCN Red List)
Likarangara likolongu la pa Afrika
libii likolongu, umutu na hyega jake
jikaribia wastani wa meta jimu, nkela
50cm, na uzito wakiwe gubii 10-
20kg.Sehemu ja kuusana ja hyega
jake jibii na langi inyilu jejuje ngaseji
humiki kileu Saki, mashavu na
likolomela na piki fua saki kwote
kubii kuhuu, indeu ilasugingi gabii
langi huu ambagu guunzangatii
kutafuta kilebi sake ambaso ni linzegi
ambalo alikamu kukutumi maboku
gaki gabeli gabii imara bila yobu
katika maeneo gamasi mahimu mara
jingi likarangara likula linzegi
lelitama mmasi na kwa muda gongi
insoku likula manyotu homba na
nsimu wi idudu jamii ji peremende,
likarangara lijoma masi guhyega
kujinyaga nukugalabuka mwamanyai
au muusangi mulutengu juundosi au
mwamalibu gasoma katika maeneo
gingi ambago gatumika kugalabuka
sehemu jukulundika imai
jimanyikana nukutumi marajingi
kama sehemu jukugalabuka.Wakati
golitunda piugarangara liyongolota
ako na naako wakati hogu
kongoliatua imai gagabi ipandi ijipi
na kona yaki ye ngakupondeka koha.
Imai mabei gakuba na langi inyilu
jankuhuma sana imae gabadilika na
kuba langi ja maziwa pagakuba
gajomiki na kwa kawaida kahiki
liduara la 25mm, kabe kati ja 22-
30mm.
Lwajiyunu upana 60-90mm. Lwaji
lwili Likarangara linalomi likolongu
kuliku likimbomba
African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – African clawless
Imai mabei giliduara la 20-32mm hasa je ni mabaki gatokini ni linzegi na homba, nga imbegu
wala majunzu
Imai gilingusi luundosi
Imai gilikarangala mabei (kushoto) gazamani
pai hapa
Imai gilikarangala nilingusi inumasi
gahangagini pamoja(kulia) imai
gilingusi gabikidogo gumduara wa 15-
22mm na mabaki gilinzegi inyoma isoku
isoku majunzu giijuni.
Bandu buuntandao gogusuguliki
kutunza likarangala bapaafrika apala
sana habali ju kuhobanganya
likarangala kama analibonekana
mboha taarifa kupiti; William Mgomo,
S.L.P 65-Mbinga, Pori la Akiba
Liparamba, Namba ya simu-0765-519212.
Kwa, muda boli,namba jake,na taarifa
jenji ja kubonekana.Kabe tukaribisa
pisa ja likarangala.
Top Related