WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL

8
Jina la Mwanafunzi: ______________________________________________________________ Jina la Mzazi/Mlezi: _____________________________________________________________ Anwani: ________________________________________________________________________ Namba ya simu ya mkononi: _______________ Utaifa:Mtanzania/Si mtanzania__________ Mkoa alikotoka: _______________________________ Wilaya alikotoka: __________________ Mwaka aliomaliza kidato cha nne: __________________________________________________ Shule aliyotoka: __________________________________________________________________ Kituo atakachofanyia interview:____________________________________________________ . A. TAALUMA: 1. PCB 2.PCM 3 .PGM 4.EGM 5.CBG 6. HGE 7.HGL. Weka alama ya tick panapohusika. B. GHARAMA: i. ADA YA FORM FIVE NA FORM SIX: Gharama ya ada ya mwanafunzi wa kidato cha tano na sita (Tuition fee) ni Tsh. 2,400,000/= kwa mwaka TUNAYO MAKTABA ILIYO SHEHENI VITABU VYA MASOMO YOTE HIVYO VITABU VINAPATIKANA SHULENI. LAKINI MWANAFUNZI HAKATAZWI KUJA NA VITABU VYAKE BINAFSI. VITU MUHIMU VYA KUSAJILIWA. 1. Cheti cha kuzaliwa. 2. Taarifa ya afya ya mtoto inayotambuliwa na serikali 3. Risiti ya malipo ya benki ya ada na michango mingine 4. Vifaa vya bweni vinavyohitajika 5. Matokeo ya Kidato cha Nne 6. Picha 3 ( passport size) Gharama ya fomu hii ni Tsh. 20,000/= WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL Mobile:+255 769 218 220 /+255 755 666 677/+255 755 267 549/+255 655 800 052 P.O Box 561 Geita Email: [email protected], [email protected] FOMU YA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO, 2018 PICHA

Transcript of WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL

Mkoa alikotoka: _______________________________ Wilaya alikotoka: __________________
Shule aliyotoka: __________________________________________________________________
Kituo atakachofanyia interview:____________________________________________________
.
A. TAALUMA: 1. PCB 2.PCM 3 .PGM 4.EGM 5.CBG 6. HGE 7.HGL. Weka alama ya tick panapohusika. B. GHARAMA:
i. ADA YA FORM FIVE NA FORM SIX:
Gharama ya ada ya mwanafunzi wa kidato cha tano na sita (Tuition fee) ni Tsh. 2,400,000/= kwa
mwaka
HIVYO VITABU VINAPATIKANA SHULENI. LAKINI MWANAFUNZI
HAKATAZWI KUJA NA VITABU VYAKE BINAFSI.
VITU MUHIMU VYA KUSAJILIWA.
1. Cheti cha kuzaliwa.
2. Taarifa ya afya ya mtoto inayotambuliwa na serikali
3. Risiti ya malipo ya benki ya ada na michango mingine
4. Vifaa vya bweni vinavyohitajika
5. Matokeo ya Kidato cha Nne
6. Picha 3 ( passport size)
Gharama ya fomu hii ni Tsh. 20,000/=
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL Mobile:+255 769 218 220 /+255 755 666 677/+255 755 267 549/+255 655 800 052
P.O Box 561 Geita Email: [email protected], [email protected]
+.
C. MAELEKEZO MENGINE
Kwa kuwa mwanafunzi atakayeruhusiwa kujiunga na masomo ya Kidato cha Tano ni Yule tu
mwenye sifa za ufaulu unaohitajika katika shule ya sekondari ya waja, hivyo basi atatakiwa
kulipia mahitaji na Ada kama ifuatavyo:-
ADA NA MAHITAJI KWA KIDATO CHA TANO NA SITA KWA UJUMLA
Vifaa Muhula wa kwanza Muhula wa pili Kidato cha Sita 2018 Jumla kuu pale
anapoanza
Usajili 50,000/= 50,000/=
Makitaba 40,000/= 40,000/= 80,000/= 80,000/=
Sare ya shule 252,000/= 252,000/=
Kompyuta 20,000/= 20,000/= 40,000/= 40,000/=
Maabara 100,000/= 100,000/= 100,000/=
Malazi 120,000/= 120,000/=
50,000/=
Sahani, Kikombe, Kijiko
Vinywaji 40,000/= 40,000/= 80,000/= 80,000/=
Jumla 2,302,000/= 1,260,000/= 3,010,000/= 3,562,000/=
NB: Kutakuwepo na program Mwezi wa nane 2018 Kwa kidato cha Tano Gharama 200,000/=
MCHANGANUO WA SARE ZA SHULE
Mavazi ya kushindia 80,000
Suruali mbili (2) 40,000
Nguo za mchezo 40,000
MAHITAJI BINAFSI KWA AJILI YA BWENI (BOARDING) 1. Madaftari ya kutosha (counter books) 2. Kalamu za kutosha 3. Viatu vyeusi 4. Raba nyeupe za michezo na soksi nyeupe 5. Track suti ya kijivu na isiwe na kofia 6. Blanket 7. Sabuni ya kufulia, kuoga, mafuta, miswaki, dawa n.k 8. Taulo 9. Open shoes nyeusi 10. Pesa za kujikimu (pocket money) isiyozidi au kupungua elfu hamsini (50,000/=)
itahifadhiwa kwa mhasibu, mwanafunzi haruhusiwi kuwa na pesa bwenini 11. Mashine ya kunyolea (WAHIL) 12. Nguo za kulalia, Night dress/pajama. 13. Kila mwanafunzi anatakiwa kuja na sabuni ya unga (Ndoo ndogo ajapo shuleni, kwa ajili
ya kuoshea vyombo vyake vya chakula kabla ya na baada ya chakula.
D. INTERVIEW *Gharama ya fomu ni sh. 10,000/= Fff
Fomu zinapatikana
2. Geita - Zinapatikana Shule za Waja
3. Dar – es – Salaam: -
- Duka la Waja Buguruni
4. Mbeya - Fomu zinapatikana Ofisi za Waja
5. Dodoma - Fomu zinapatikana Duka la Waja
Interview itafanyikia Shuleni kama ifuatavyo:
1. Waja girls -Geita
Gharama ya fomu hii ni tshs 20,000
E: KURIPOTI i. Wanafunzi wanatakiwa kuripoti tarehe 05/03/2018 na masomo yataanza rasmi
tarehe 08/03/2018.
- CRDB Bank kwenye Akaunti Namba 0150232274800, Jina la Akaunti ni
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL.
- Azania Bank kwenye Akaunti namba 012012133350350001 Jina la Akaunti ni
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL.
- Sare zote za shule zinapatikana shuleni, Mwanafunzi haruhusiwi kuja na sare
toka nyumbani.
NB : Mimi Mzazi wa __________________________________________________________________
Nimekubali kwa hiari yangu mtoto ashiriki masomo ya Kidato cha Tano na
kuendelea na masomo ya Kidato cha Tano na Kidato cha Sita 2018/ 2020.
Sahihi ya Mzazi / Mlezi :______________________________________________________
TO: The Doctor concerned,
RE: MEDICAL EXAMINATION FORM.
Please examine the following student and furnish me her current health status. Requested by school
Authority.
NAME: …………………………………………………………………………………………...............................
ADDRESS:………………………………………………………………………………………………………..
OCCUPATION:…………………………………………………………………………………………….
KIAPO
Shule ya Sekondari ya Wavulana Waja ambayo iko kwenye msingi wa dini ya Kikristo na hasa
ya Kipentekoste. Kwa hiyo tutaendesha ratiba za shule tukiongozwa na taratibu za Biblia
kuwalea wanafunzi wetu kiroho.Mwanafunzi anatakiwa kufuata maelekezo yote ya masomo na
kuabudu.
nitamhudumia mtoto wangu kutekeleza yote.
Sahihi……………….…………….. Tarehe……………………………
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL Mobile:+255 769 218 220 /+255 755 666 677/+255 756 141 522/+255 655 800 052
P.O Box 561 Geita Email: [email protected], [email protected]
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL Mobile:+255 769 218 220 /+255 755 666 677/+255 755 267 549/+255 655 800 052
P.O Box 561 Geita Email: [email protected], [email protected]
SHERIA ZA SHULE.
1. Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki simu, vifaa vya muziki, umeme au silaha ya aina yoyote
ile akipatikana na kosa hilo atarudishwa nyumbani/ kufukuzwa shule.
2. Kila mwanafunzi anatakiwa kufuata ratiba ya shule kwa wakati.
3. Mwanafunzi asipokuwepo shuleni au katika shughuli zozote za shule ni lazima kuwe na
sababu inayoeleweka. Mfano awe na kibali cha mwalimu wa zamu au wa darasa, patron
au nesi.
4. Ruhusa ya kutoka nje ya shule wakati ambao sio sa likizo itatolewa na Mkuu wa shule au
Makamu wake.
5. Mwanafunzi haruhusiwi kuongea na mgeni yoyote yule nje ya shule kupitia kwenye uzio
au kuonekana nje ya geti. Kosa hilo litapelekea kufukuzwa shule.
6. Mwanafunzi akipatikana na kilevi cha aina yoyote ile kama vile: pombe, mihadarati,
(madawa ya kulevya) au akiwa amelewa atarudishwa nyumbani moja kwa moja yaani
(atafukuzwa shule).
7. Mwanafunzi akipatikana na wizi au aina yoyote atafukuzwa / ataondolewa shuleni moja
kwa moja.
8. Mwanafunzi anapaswa awe mahali anapohitajika kwa wakati kama vile mikusanyiko,
wakati wa michezo, wakati was ala .n.k.
9. Mwanafunzi anapaswa kuweka mazingira ya shule, darasa la bweni safi muda wote.
10. Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa namna yoyote ile.Kinyume
na hapo atarudishwa nyumbani au kufukuzwa shule.
11. Mwanafunzi atapaswa kuheshimu bendera ya Taifa inapopandishwa na kushushwa na
wakati wa Kuimba Wimbo wa Taifa.
12. Mwanafunzi anapaswa kuvaa sare ya shule wakati wowote kulingana na ratiba ya shule,
asiifanyie Marekebisho yoyote mfano kuipunguzwa.
13. Mwanafunzi haruhusiwi kuonekana kwenye nyumba za walimu na wafanyakazi wengine
bila ruhusa.
WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL Mobile:+255 769 218 220 /+255 755 666 677/+255 755 267 549/+255 655 800 052
P.O Box 561 Geita Email: [email protected], [email protected]
kucha rangi, Kuweka nywele dawa n.k
15. Mwanafunzi anapaswa kufuata ratiba na mihula ya shule kikamilifu mfano kurudi shuleni
kwa wakati tarehe za kufungua shule.
16. Mwanafunzi ni lazima apime afya kabla ya kuja shuleni na aje na fomu yenye uthibitisho
wa daktari aliyeidhinishwa na serikali.
17. Mwanafunzi anaruhusiwa kutembelewa muda uliopangwa na shule tu.
18. Mwanafunzi anaruhusiwa kutembelewa na mtu anayetambuliwa na shule tu.
19. Mwanafunzi anapaswa kutumia lugha za kiingereza na kifaransa tu pindi awapo shuleni.
20. Mwanafunzi haruhusiwi kugombana, kupigana au kumwonea mwenzake pindi awapo
shuleni.
21. Mwanafunzi anapaswa kufuata sheria na kanuni za shule pamoja na kutimiza wajibu
wake kikamilifu.
22. Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na pesa yeyote awapo shule(pesa za matumizi
zikabidhiwe kwa muhasibu).
NB.
Uongozi wa shule una haki ya kubadili sheria wakati wowote. Iwapo mwanafunzi atarudia
kosa mara kwa mara uongozi wa shule unaweza kumsimamisha masomo moja kwa moja.
Baada ya kuzisoma sheria na kuzielewa tafadhali thibitisha kukubaliana nazo kwa kujaza hapa
chini.