UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa...
Transcript of UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa...
![Page 1: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/1.jpg)
UPONYAJI.Balialijeruhiwakwamakosayetu,Alichubuliwakwamaovuyetu;Adhabuyaamaniyetuilikuajuuyake,Nakwakupigwakwakesisitumepona.(Isaya53:5,)
Kunamengisanasikuhizi.Watukuteseka,wenginewanakanza,wenginemagonjwayamoyo,arthiritis,shongonamaumivuyamgongo,kichwanamatatizoyafigo,pumu,mishipa,ugonjwawamifupakuzidikuendeleanakadhalika.
Piawatuwanatesekakwanjiazenginezokamauhabawapesa,chakula,baadhiyaokusumbuliwanawenginekuwachiniyakujitegemea.Kunawaleambaohukataliwakatikamaduarayamarafikinawanauelewautofautiwaimaniyaokulikowenginewaimaninyingine.
Elimuikionekanakuwajuu,matokeoni,wanawezakuwekwachiniyakudhulumiwanafamilia,marafikinamamlakaaumahalipakazi.Hawakubaliwijinsiwalivyo,wanatamanikuwahurunakufurahialakinimazingirahayawaruhusu.Wenginewamekuaweziauwasanii,dhamirambayanawanakubaliwa.Je!jamiiinafanyaninikwamatesohaya.Wagangahutoaudanganyifuwenyedawazasumu,dawahizihuingizamaumivu,unyongonyevunamagonjwamengi.Piahupunguzamasomoyaonavidongevibayasanavyakudhuru.Wenginewengiwemefungwa.Ikiwawatuhawawezikujitegemeamahalipaajiraaumamlaka,labdabasikuonekanakamawatuwasiowezanakaribunihiviwanajikuta
![Page 2: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/2.jpg)
kwenyejangalamagonjwayaakiliaukwendakatikaulemavukablayawakati.
Mwizinamsaniiwanahukumiwakifungogerezani.Walakinidawa,sindano,ulemavuauhukumuzajelahuyatatuahizotatizo?Je!Watuhupatamazurikwatibayaainahii?
Tunaishikatikajamiibandianayenyemikazo,mavutano,usingizinawengiwanatambuakwambalazimatujitokelezekatikajamiihiibandianakwauasilia.Tunawezakurejeshaafyazetukulekwenyemsaadawatibarahisizaasilikama,HEWASAFI,JUA,KUWAnaKIASI,PUMZIKO,ZOEZI,CHAKULAchaAFYA,MAJInaKUMWANINMUNGU.Hizindizotibazakwelizauponyajiwauzima.
Hatahivyokunaugonjwammojaambaodawazaasilihaziwezikuponya,naonidhambi.MuumbaametuwekeasheriazakekumirahisiilisisikwakuzifuatatuwenauhusianomzurikwaMungunawenzetu.Tunafanyadhambikwakuzivunjaamrihizi.Bibiliainasemakuwa‘’dhambiniuasiwasheria”nakwamba‘’mshaharawadhambinimauti”(1Yohana3:4,Warumi6:23).Bibliainasema‘’kilaatendayedhambinimtumwawadhambi.”(Yohana8:34)
Sisitukochiniyalaanayasheriatunapoitendadhambi“kwasababuwotewamefanyadhambi,nakupungukiwanautukufuwaMungu.’’(Warumi3:23)
Yesualikujakutuokoakutokakwalaanayasheria.Alifanyakilakituilituwezekuwahurunawenyefuraha;ambayeyeyemwanzoalikuwayunanamnayaMungu;balialijifanyakuwa
![Page 3: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/3.jpg)
hanautukufu,akajinyenyekeshaakawaanamfanowawanadamunaakajakwaumbokamamwanadamuilikutuokoanalaanayadhambi.’’Basi,kwakuwawatotowameshirikidamunamwili,yeyenayevivyohivyoalishirikiyayohayo.’’(Waebrania2:14)
AnapaswakupataushindiambapoAdamunaHawawalianguka.Yesualifanyahivyobibiliainavyosema.Kwahivyo,kwakilakitualikuwaamefanywakufananananduguzakeiliawemkuuwahurumanamwaminifukatikamamboyanayohusuMungu,akafanyaupatanishokwaajiliyadhambizawatu.Kwakuwayeyemwenyeweamejaribiwa,anawezakuwasaidiawalewanaojaribiwa(Waebrania2:17,18)lakiniYesualikuwakatikavituvyotekamasisilakinibiladhambi(Waebrania4:15)
YesuniMwokoziwetukwasababualijaribiwakatikamamboyotekamasisilakinibiladhambinaakatoamaishayakekwaajiliyetu.Basihebutujekwaujasirikwenyekitichaenzichaneema,ilituwezekupatarehemananeemayakusaidiawakatiwamahitaji(Waebrania4:16)TayaritunaonakwambaYesundiyejibukwakupitiakwaketunawezakuponywakutokakatikadhambi.NabiiIsayaanaelezeauponyajihuukwanjiahii.
Hakikayeyeamebebamajerahayetu,akachukuahuzunizetu,hatahivyotunamuonayeyealipigwa,piaalijeruhiwakwamakosayetu,alisulubiwakwamakosayetu,adhabuyaAmaniyetuilikuajuuyake,naKwakupigwakwaketunapona.
Sasaswalini!Tunakubaliuponyajihuu?Nizawadiyabure,Je,tukotayarikuikubalihiizawadi?Uhusisheuponyaji
![Page 4: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/4.jpg)
waMungunanguvuzawokovu.TukiimarishwananukuuzifuatazokutokakwanenolaMungu;kwahiimaana‘’Mungualiupendaulimwengu,hataakamutoamwanawewapekee,ilikilaamwaminiyeasipotee,baliawenauzimawamilele.”(Yohana3:16)
Hilindilopendo,sikwambasisitulimpendaMungu,balikwambayeyealitupendasisi,akamtumaMwanawekuwakipatanishokwadhambizetu.’(1Yohana4:10)Yesuakainukajuuasimwonemtu,ilayulemwanamke,akamwambia,Mama,wakowapiwashitakiwako?’Je!Hakunaaliyekuhukumu,kuwanahatia?Akasema,Hakuna,Bwana.Yesuakamwambia,Walamimisikuhukumu.Enendazako;walausitendedhambitena.’
(Yohana8:10,11).‘’YeyealiyenayeMwanaanaohuouzima;asiyenayeMwanawamunguhanahuouzima.”(1Yohana5:12).PetronaYohanawakamwambia‘’BasinyumbayoteyaIsiraelinawajueyakiniyakwambaMunguamemfanyaYesuhuyomliyemsulubishakuwaBwananaKristo.Walipoyasikiahayawakachomwamioyoyao,wakamwambiaPetronamitumewengine,‘Tutendeje,nduguzetu?’Petroakamwambia,‘TubunimkabatizwekilammojakwajinalakeYesuKristo,mpateondoleoladhambizenunanyimtapokeakipawachaRohoMtakatifu.’’(Matendo2:36-38)
‘’Tubunibasi,mrejee,ilidhambizenuzifutwe,zipatekujanyakatizakuburudishwakwakuwakokwakeBwana.’’(Matendo3:19)‘’Ikiwawatuwangu,walioitwakwajinalangu,watajinyenyekesha,kuomba,nakunitafutausowangu,nakuziachanjiazaombaya,basi,nitasikiatokambinguni,na
![Page 5: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/5.jpg)
kuwasamehedhambiyao,nakuponyanchiyao.’’(2MamboyaNyakati7:14).‘’Eenafsiyangu,umhimidiBwana.Naam,vyotevilivyondaniyanguvilihimidijinalaketakatifu.Eenafsiyangu,umhimidiBwana,Akusamehemaovuyakoyote,Akuponyamagonjwayakoyote.’’(Zaburi103:1-3)
HuundioushinditoshanawakwelikwambatunapokeauponyajitukimwendeaYesunamizigoyetuyoteyadhambi.Inatupasakujinyenyekeza,kukiridhambizetunakutubu,nayeatatusamehemaovuyetunakututakasakutokakwaudhalimuwote.BasisisiniwenyehakikatikayeyenaneemakwaImani.
UponyajiNakukubalikaNaMungu
KutokananamaelezorahisiyaBibilia,jinsiYesualivyowaponyawagonjwa,tunawezakujifunzajambofulanijuuyakumwaminiyeyenakupokeamsamahawadhambi.HebutuigeukiehadithiyamtummojaaliyepoozahukoBethsaida.Maskinimtuhuyuhakuwanamsaada;hakuwanawakumtwaamiguuyakekwamiakathelathininaminane.Lakini,Yesuakamwambia,‘Simama,jitwikegodorolako,uendezako.’
Huendamgonjwahuyuangelisema,‘Bwanaikiwaumenifanyanipateuponyaji,nitalitiinenolako,baliyeyealiliamininenolaKristo.Aliaminikwambaalikuaamefungwanaakafanyajuhudimaramoja.Alipendaatembeenayeakatembea.
AlifanyahivyokwanenolaKristonaMunguakalitianguvuneonhilo.Inawezekanamwenyedhambikwahalihii.
![Page 6: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/6.jpg)
Wawezakuzikiridhambizakozazamani,nakubadilimoyowakonakujitakasamwenyewe.MunguanaahidikufanyahayoyotekwaajiliyakokupitiaKristo.
Aminiahadihii.Utakubalidhambizako,nakujitoakwaMungunakumtumikia?Ikiwautafanyahivi;Munguatatimizanenolakekwako.Kamaumeaminiahadihii--aminikwambaumesamehewanakutakaswa.Je?Umefungwa?JinsiKristoalivyompayulemtualiyepoozauwezowakutembeapundetu,aliaminikwambaameponywa.Ukiaminini,hilinihakika.Usingojempakaujihisiumekamilika,lakinisema,”Ninaaminihivyo,siokwasababunirahisitu,lakinikwasababuMunguameahidi.
Yesuanasema,‘‘Yoyotemyaombayomkisali,amininiyakwambamtayapokea,nayoyatakuwayenu.”(Mariko11:24)Kunanjiayaahadihii-kwamba,tuombekulingananamapenziyaMungu.KwahivyonimapenziyaMungukututakasakutokakwadhambi,kutufanyawatotowakenakutuwezeshakuishimaishamatakatifu.Basitunawezakuombabarakahizi,nakuaminiyakwambatunazipokea,nakumshukuruMunguyakuwatumezipokea.NiwajibuwetukumwendeaYesunakutakaswa,nakusimamambeleyasheriabilaaibuaumajuto.”Basi,hakunahukumuyaadhabujuuyaowaliokatikaKristoYesu,ambaohawaenendikwakuufuatamwili,...balimamboyaroho.”(Warumi8:1,4)Kwahio.”Nanyimfahamukwambamlikombolewasikwavituviharibikavyo,kamavilefedhaaudhahabu,balikwadamuyathamani,kamayamwana-kondooasiyenahila,asiyenawaa,yaani,yaKristo.”(1Petero1:18,19.)Kupitiatendohili
![Page 7: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/7.jpg)
rahisilakumuaminiMungu,RohoMtakatifuamezaliwamaishamapyamoyonimwako.WewenikamamtotoaliyezaliwakatikafamiliayaMungu,nayeanakupendakamaampendavyoMwanawe.
KwakuwasasaumejitoakwaYesu,usirudiukatangambalinaye,ilasikubaadayasikuusemehivi,”MiminiwaKristonanimejitoakwake.”naumuombeakujalierohowakenakukuhifadhikwaneemayake.KamanikwakujitoakwakokwaMungu,nakumuaminiuwemtotowake,basiyakupasakuishindaniyake.MtumePauloanasema“BasikamamlivyompokeaKristoYesu,Bwana,enendenivivyohivyokatikayeye.”Wakolosai2:6.WenginehuonekanakuhisikuwawanapaswakuthibitishiaBwanakuwawaohurekebikahatakablayakudaiMibarakayake.Kamahuwezikupingamaovu,RohowaKristohusaidiaudhahifuwawatu.Yesuanatupenda,njookwakekamasisiwenyedhambiwasionamsaadawakutegemea.
Tunawezakujanaudhaifuwetuwote,upumbavuwetunadhambizetukwakuangukamiguunipakekatikauongofu.Nikwautukufuwakeanatuzungukakatikasilahayaupendowakenakutufungamajerahayetu,kututakasakutokananauchafuwote.Hapandipomaelifuhushindwa,hawaaminikwambaYesuhusamehenafsi,mmojammoja.HawatumikiiMungukatikanenolake.
Nifursayawotekuzingatiamashartiyakujuawenyewekwambamsamahahupatikanakwakuwahurunakiladhambi.PiakuondoatuhumakwambaahadizaMungusiozamaanakwako.Hayanikwawahalifuwotewanaotubu.Nguvu
![Page 8: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/8.jpg)
naneemazimetolewakwanjiayaKristokutuleteamalaikawahudumukwakilanafsiyakuamini.Hatahivyonikwaajiliyadhambihawawezikupatanguvu,usafinauadhilifukatikaYesuambayealikufakwaajiliyao.Anasubirikuwavuanguozaozilizowasababishakuchafuliwanadhambi,nakuvikwamavazimeupeyahakiawaagizayoiliwaishi.
Munguhatutendeisisikamaalivyowatendeawanaumewalewamwisho.Mawazoyakenimawazoyahurumanaupendo.Kwahurumanyingianasema,”Mtumbayanaaiachenjiayake,namtuasiyehakiaachemawazoyake,NaamrudieBwana,nayeatamrehemu;naarejeekwaMunguwetu,nayeatamsamehekabisa.’‘Nimeyafutamakosayakokamawinguzito,nadhambizakokamawingu”(Isaya55:7,44:22)”Maanamimisifurahiikufakwakeyeyeafaye,asemaBwanaMUNGU;basighairini,mkaishi,”(Ezekiel18:32)ShetaniyutayarikuibaahadizaMunguzenyeheri.Anatakakuchukuakilamwangawatumaininakilamwangawamiangakutokamoyoni,lakinisilazimatumruhusuafanyehivyo.Usisikilizemnenaji,lakinianasema,”Yesuamekufailinipatekuishi.Ananipenda,walahakutakanipotee…NinaBabawambingunimwenyehuruma,naingawabarakaalizonipazimeharibiwa,nitaondokanitakwendekwababayangunakumwambia,Baba,nimekosajuuyambingunambeleyako;sistahilikuitwamwanawako.Nifanyekamammojawawatumishiwako.’Nakwambia!jinsiMwanampotevualivyopokelewa,“Alipokuwaangalimbali,babayakealimwona,akamwoneahurumaakaendambioakamwangukiashingoniakambususana.’’(Luka15:18-20)
![Page 9: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/9.jpg)
Lichayamfanohuu,haujafikiriahurumanamgusokamahuuulivyo;hurumaisiyokuwanamwishoyaBabawaMbinguni.Babaasemahivikupitianabiiwake,”Naamnimekupendakwaupendowamilele,ndiyomaananimekuvutakwafadhilizangu.”(Yeremia31:3)WakatimwanampotevualitangambalinanyumbaniyaBabayake,akaharibumaliyakekatikanchiyambali,moyowababaungalinaupendo;nakilatamaaikaamukanafsinimwakeiliamrudieMungu,aliomba,RohomtakatifuakimsihiamchocheerohowaupendowaBaba.MbeleyakokukiwanaahadinyingizaBibilia,unawezakutoanafsiyenyeshaka?Je!unawezakuaminikwamba,mwenyedhambiapendapokurejea,nakutamanikuondokakwenyedhambizake;Bwanahumzuiakabisakurudimiguunipakekwatoba.Lahasha!
Ondoawazokamahilikabisa.HakunajambokamahililinalowezakuizuiarohoyakomwenyewedhidiyamamboyakuvutiakamahayoyaBabayetuwaMbinguni.
Yeyeanachukiadhambilakiniwenyedhambianawapenda.Kristoalijitoamwenyewekamamtuwawoteambaowangewezakuokolewawawekielelezochaufalmewautukufu.NilughaganizaidiauBarakakatikazaburiingewezakutumiwakulikoaliyoichaguakuonyeshaupendowakekwetu?Asema”Jemwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,hataasimuhurumiemwanawatumbolake?Naamwanawezakusahau,lakinimimisitakusahauwewe”(Isaya49:15)
AngalianinyimlionamashakanakutetemekakwamaanaYesuanaishikutuombea.AsanteMungukwaajiliyazawadi
![Page 10: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/10.jpg)
yamwanaompendwa.Rohoanakualikahivileo“njookwakeYesukwamoyowakowote’’naunawezakudaiBarakazake.Unaposomaahadihiikumbukanimfanowaupendousionashakanawahuruma.Moyomzuriwaupendousionamwishounavutiwakwamwenyedhambinahurumaisiyonamipaka.“Katikayeyehuyo,kwadamuyake,tunaoukomboziwetu,msamahawadhambi.’’(Waefeso1:7)HilindilotumainikwambaMungundiyemsaidiziwako.Anatakakurejeshamabadilikoyaumbolakekwamwanadamu.Ukimkaribishakwakuungamanakutubuatakukaribiakwarehemanamsamaha.“Watotowanguwadogo,ninawaandikiahayailikwambamsitendedhambi.MtuakitendadhambitunayeMwombezikwaBaba,YesuKristomwenyehaki.Nayekipatanishokwadhambizetu;walasikwazetutu,balinakwadhambizaulimwenguwote.Nakatikahilitwajuayakuwatumemjuayeye,ikiwatunashikaamrizake.Yeyeasemaye,Nimemjua,walahazishikiamrizake,nimwongo,walakwelihaimondaniyake.Lakiniyeyealishikayenenolake,katikahuyoupendowaMunguumekamilikakwelikweli.Katikahilitwajuayakuwatumondaniyake.Yeyeasemayeyakuwaanakaandaniyake,imempasakuenendamwenyewevilevilekamayeyealivyoenenda.’’(1yohana2:1-6).
HatuwezikuzitunzasheriazaMungukwanguvuzetuwenyewe.TunapomkubaliYesunakumpokea,Rohomtakatifukatikamaishayetu,basitunaouwezowakusimamadhidiyamajaribuyapepowachafu.
Haleluyah!Bwanaahimidiwe!Jaribuhalikuwapataninyi,isipokuwalililokawaidayawanadamu;ilaMunguni
![Page 11: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/11.jpg)
mwaminifu;ambayehatawaachamjaribiwekupitamwezavyo;lakinipamojanalilejaribuatafanyanamlangowakutokea,ilimwezekustahimili.’’(1Wakoritho10:13)Nasasawatotowadogo,kaenindaniyake,ilikusudi,atakapofunuliwa,mwenaujasiri,walamsiaibikembelezakekatikakujakwake.Kamamkijuayakuwayeyenimwenyehaki,jueniyakuwakilaatendayehakiamezaliwanayeye.’’(1Yohana2:28-29)Watotowadogo,mtunaasiwadanganye;atendayehakiyunahaki,kamayeyealivyonahaki.’’(1Yohana3:7).
“KilamtualiyezaliwanaMunguhatendidhambi,kwasababuuzaowakewakaandaniyake;walahawezikutendadhambi.KwasababuamezaliwakutokananaMungu.’’(1yohana3:9).
TunapatanguvuyakufanyahakiwakatiRohomtakatifuanakujakatikamaishayetu.Piakwamanenomengine,kwanza“kupokeahakiyake’’,pili“kukubaliwananeemakupitiaImani,nabaadayahaponguvuzakufanyahaki,Kwanjiahiitunawezakuwamashahidiwakewakuzaamatundayarohokatikamaishayetu.Hatahivyokulingananaahadiyake,tunatazamianambingumpyaambayohakiyakeinakaahumo.Kwahiyowapenziwangu,kwasababumnatazamiamambohayo,jitienimkapatikanekwaAmanikamilifu(2petro3:13-14)
KanunizaBibiliazaUponyajiKwawaleambaowanaorejeshaaukuifadhiafyazao,kunafundishokatikanenotakatifu,‘’Tenamsilewekwamvinyo,ambamomnauzinifu;balimjazweroho.”Waefeso
![Page 12: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/12.jpg)
5:18.Siokwamsisimkoauusahaulifuuletwaonaupotovuauvichokoovisivyonaafya;siokwakufurahishauchuuliopunguaautamaandipoupatikaneuponyajiwakweliauburudikokwamwiliaunafsi.MiongonimwawagonjwakunawengiambaohawanaMungunahawanatumaini.Wanatesekakutokananahamuzisizoridhisha,tamaachafunakuhukumikadhamirizaowenyewe.Wanapotezamsimamowaokatikamaishahayanakutokuwanatumainilamaishayajayo.Hebuwanaowashugulikiawagonjwahawawasitumainiewala,wauminiwasiwenamatumainiyawangonjwakuwafaidiwagonjwahawakwakuwaruhusukwarahazamisisimko.Hizindiozimekuwalaanayamaishayao.Nafsiilionanjaa,nakiu,itaendeleakuwananjaanakiumradituipatekuridhishwa.WaleambaowanakunywakatikaChemichemiyayaanasazaubinafsiwanajidanganya.Hukoseakwakudhaniauchangamfuhuondionguvu,nawakatimsisimkounaisha,usukumiziwaounakoma,nakuachwabilakuridhikakudalilishwa.
Amaniyakudumu,pumzikolakwelilaroho,hasaunachanzokimoja.HiindioKristoalinenaaliposema,“Njoonikwanguninyinyotemsumbukaonawenyekulemewanamizigo,naminitawapumzisha.’’Mathayo11:28.“Amaninawaachieni;amaniyangunawapeni;niwapavyomimisivyokamaulimwenguutoavyo.’’Yohana14:27.AmanihiisiokituambachoYeyehutoapasipokuwanayeyemwenyewe.NikatikaKristotu,tunawezakuipatakwakumpokeaYeye.Kristondiyechemichemiyauzima.Kileambachowengiwanahitajinikuwanaelimusafikumhusu;wanahitajikuwawavumilivunawapole,tenawabidii,kufundishwajinsi
![Page 13: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/13.jpg)
kiumbekizimakinawezakuwekwawazikwamawakalawauponyajiwambinguni.WakatimwangawajualaupendowaMunguunaangaza,vyumbavilivyotiwagizavyanafsi,uchovuusionapumziko,nakutotosheka,kutaishanashangwezakuridhishakutiajuhudinguvunaafyananguvukwamwili.
SisitukokatikaulimwenguwamatesoMagumu,majaribu,nahuzuni,hivivyotevyatungojeasisinjianikotekuingiamakaoyambinguni.Lakinikunaowengiambaohufanyamizigoyamaishakuwamizitomaradufukwakutazamiashidawakatiwote.Ikiwawatapatwanamasaibunayakwambamatatizoyaondiomagumukulikoyote,kwahivyowanauhakikayawaowanahitaji.Hivyowaohujileteaumaskiniwenyewenakuelekezalawamazotekwawotewanaowazunguka.Maishayaoyenyeweinakuwanimzigokwao.Nahaistahilikuwahivyo.Itagarimujuhudinyingisanakubadilimawazoyaoyasasa.Hatahivyomabadilikoyanawezakufanyika.Furahayao,yotekwamaishahayanamaishayajayo,inategemeawaokukazamawazoyaokwavituvyakufurahisha.Hebuwasiitazamepichayagiza,ambayonidhania,kwafaidaambazoMunguameziangazakatikamapitoyao,nazaidiyahayayote,yaleyasioonekananayamilele.
Kwakilajaribu,Munguametoamsaada.WakatiWaisraelkulejangwaniwalifikiamajimachunguyaMara,MusaalimliliaBwana.NayeBwanahakutoadawampya;Yeyealiitishakilichokuwamkononi.MumeaambaoYeyealiyouumbaulitupwakwenyechemichemikuyafanya
![Page 14: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/14.jpg)
majiyawemasafinamatamu.Hilililipotimilika,watuwalikunywamajihayawakafarijika.Katikakilajaribu,ikiwatutamtafutaYeye,Kristoatatupamsaada.Machoyetuyatafunguliwailikupambanuaahadizauponyajizilizoandikwakatikanenolake.RohoMtakatifuatatufundishajinsiyakujitwaliakilabarakaambazozitakuwadawakwamasikitikoyetu.Kwakilanenouchunguambalolimewekwakwenyemidomoyetu,tutapatatawilauponyaji.
Haitupasikuruhusunataabuzawakatiujaonataabuzakenamatarajioyakeyasioridhibisha,kufanyamioyoyetuizimie.Magotiyetuhutetemeka,mikonoyetuhuninginiachini.“AuazishikenguvuZangu,’’asema“Naam,afanyeAmaninami;naatafanyaAmaninami.”Isaya27:5.WaleambaowanaosalimishamaishayaokwauongoziWakenakwaibadayakehawatawekwakatikanafsiambayohawajaandaliwa.Hatahaliyetuiweje,ikiwasisiniwatendajiwanenoLake,tunayemwelekeziwakutuongozanjiazetu;hatamatatizoyetuyaweje,tunayemshauriwahakika,hatahuzuni,msiba,auupweke,tunayerafikiatuhurumiaye.
Ikiwakwaujingawetutunakoseakatikamienendoyetu,Mwokozihatatuacha.Hatutahitajikujihisikuwatupekeyetu.Malaikanimarafikizetu.WafarijiambaoKristoaliahidikuwatumakwajinaLakeiliwakaepamojanasi.KwanjiainayoelekeaMjiwaMunguhakunamatatizoambayohawatayashindawalewanaomwaminiYeye.Hakunahatariambazohawawezikuziepuka.Hakunahuzuni,machungu,uchafuwakibinadamu,ambaohaujaandaliwadawa.
![Page 15: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/15.jpg)
Hakunawenyehajayakujizuiawaowenyewekwamashakanakukatatamaa.Shetanianawezakukukujiawewenamashaurimabaya,“Haliyakohainamatumaini.Hauwezikukombolewa.“BalikunatumainikwakokatikaYesu.Munguhawezikutuambiatuyashindekwanguvuzetuwenyewe.AnatusihitukaribiesanaupandeWake.Hatayawematatizokazini,ambayoyanafinyiliachininafsinamwili,Yeyehutungojeatukutuwekahuru.
YeyealiyechukuaubinadamujuuyakeMwenyewe,anajuajinsiyakuhurumiamatesoyabinadamu.NiKristotuanayejuakilanafsi,namahitajiyapekeenamajaribuyanafsihiyo,piaanajuahalizoteambazohuchukizanakutiarohomashaka.Mkonowakeumenyoshwakatikawepesiwamasikitikokwakilamtotoanayeteseka.WalewanaoumiasanandiowalionahurumazamasikitikoYake.Yeyehuguzwana`hisiazamaovuyetu,naangependesisikuyawekeleamashakanashidazetumiguuniPakenakuziachapale.
Siojambolabusarakujijaliawenyewenakuchukuahisiazetu.Ikiwatutafanyahivyo,Yuleaduiatatuleteamatatizonamajaribuambayoyatalegezaimaniyetunakuangamizaujasiriwetu.Kuziruhusuhisiazetundiokukaribishamashakanakijiingizakwenyematatizosisiwenyewe.InatupasakuachakujiangaliawenyewekwakumtazamaYesu.Wakatimajaribuyanatuzidi,ampapomasumbufu,mashakanagizavinaonekanakuzungukanafsiyako,angaliamahalipamwishokuionanuru.TuliakatikaupendowaYesunakuwa
![Page 16: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/16.jpg)
chiniyauangalifuwaulinziWake.Wakatidhambiinang’ang’anakukutawalamoyo,hatakuilemeanafsinakuwamzigokwadhamiri,akilikutandwanawingulakutoamini,kumbukayakwambaneemayaYesuyatoshakushindadhambinakuliondoagiza.TuingiapoushirikanamwokozihuwatunaliingiaeneolaAmani.
AhadizaUponyaji
“BWANAhuzikomboanafsizawatumishiwake,NahakunammojawaoamwaminiyeYeyeatahukumiwa,”Zaburi34:22.“KwakumchaBWANAniujasiriimara,’NawatotoWakewatakuwanamahalipakimbilio.’’Mithali14:26.“Sayunialisema,YEHOVAameniachana,BWANAamenisahau,Je!mwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,Hataasimuhurumiemwanawewatumbolake?Naam,hawawawezakusahau,lakiniMimisitawasahau.Tazama,MiminimewachorakatikaviganjavyamikonoYangu.’’Isaya49:14-16ARV
“Usiogope,kwamaanamiminipamojanawe;usifadhaike,kwamaanamiminiMunguwako;nitakutianguvu;nitakutianguvu;nitakusaidia;Naam,nitakushikakwamkonowakuumewahakiYangu.’’Isaya41:10“EnyimliozaliwaNamitanguutotoni;MliochukuliwamimbaNamitangutumboni;HatauzeewenuMimindiyeYule;
Hatawakatiwamviwenunitawachukueni;Nitachukuwa,nanitawaokoeni.”Isaiya46:3-4
![Page 17: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/17.jpg)
Hakuna la ziaida l iwezalo kuchangia utunzaj wa afya ya mwil i na nafsi kul iko ifanyavyo roho ya shukrani na masif io. Ni wajibu wa hakika kujizuia na huzuni, mawazo na hisia zisizoridhisha- wajibu sawa na huo wa kuomba. Ikiwa tunasafir i mbinguni,tutaendaje kama kundi la waombolezaji ,vi l io vya machungu na manunguniko nj ia kote hadi nyumbani mwa Baba? Wale wanaodai ni wakristo ambao daima ni kunungunika, na kuonekana kuwazia kuwa uchangamfu na unyemi ni dhambi, hawana dini ya kweli .Wale wanaochukulia anasa ya majonzi kwa yote yal io ya kusikit isha katika ul imwengu wa asi l i , wanaochagua kuyatazama majani yal iokauka kuliko kuyakusanya maua mazuri yal io hai,hawaoni uzuri katika vi lele vya mil ima ya fahari na kwenye mabonde i l iyovalishwa ki jani kibichi, wakifungia hisia zao sauti ya shangwe ambayo inazungumza nao kwa asi l i ,tamu na yenye mlio mzuri kwa sikio l is ikialo—hawa hawamo ndani ya Kristo. Wenyewe wanajikusanyia huzuni na giza,wakati wanastahil i wapate wangavu, hata jua la haki l ikizuka mioyoni mwao na uponyaji katika miale Yake. Maranyingiakiliyakoinawezamavundekwasababuyamaumivu.Basiusijaribukutafakari.UnajuakwambaYesuanakupenda.Anaelewaudhaifuwako.UnawezatukufanyamapenziYakekwakupumzikamikononimwake.
Nisheriayaasilikuwamawazonahisiazetuhutiwamoyonakupatanguvutunapozipeausemi.Wakatimaneno
![Page 18: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/18.jpg)
yanaelezamawazo,nikwelivivyondivyomawazohufuatamaneno.IkiwatungalitoauonyeshozaidikwaImaniyetu,tungalishangiliazaidikwaBarakatulizonazohivisasa,-rehemanaupendoMkuuwaMungu,-inafaatuwenaImanizaidinafurahakuu.Hakunalughainayowezakuelezea,hakunawazolamwisholinalowezakufahamu,barakaambazomatokeoyakeyatokananakukubaliulewemanaupendowaMungu.Piahapadunianitunawezakuwanafurahakamamto,usioishamajiyake,kwasababuunazidishwanavijitovibubujikavyokutokakwaenziyaMungu.
BasiachenituelimishemioyonamidomoyetukunenasifazaMungukwamaanaupendoWakenimwingi.HebutuelimishenafsizetukutumainiakukaandaniyamwangaungaaotokamsalabawaKalwari.KamwetusisahaukwambasisiniwatotowaMfalmewambinguni,WananaBintiwaBwanawamajeshi.NifursayetukudumishautulivustarehekatikaMungu.
“AcheniamaniyaKristoitawalemioyonimwenu;….tenaiweninashukrani.”Wakolosai3:15.Kwakusahaumatatizonashidazetuwenyewe,hebutumsifuMungukwanafasiyakuishikwaajiliyautukufuwajinalake.AchabarakampyazakilasikumpyazichocheesifandaniyamioyoyetukamaamanayauangalifuwaupendoWake.Unapofunguamachoyakoasubuhi,mshukuruMungukwakukulindausikuwote.Mshukurukwaamaniyakemoyoni
![Page 19: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/19.jpg)
mwako.Asubuhi,mchananausiku,basishukranikamamanukatoyakupendezaipandejuumbinguni.
Mtuatakapokuulizajinsiunavyojihisi,usijaribukuwaziajambolakusikitishakwausemiiliupatekuhurumiwa.Usizungumzieukosefuwakowaimani,nahuzuninamatesoyako.YuleMjaribuhufurahiasanakusikiamanenokamahayo.Unapoongeleahofuzamajonzi,huwaunamtukuzayeye.HatustahilikuishikwanguvukuuzaShetanikwakutushindasisi.Maranyinyihuwatunajitiawenyewemikononimwakekwakuzungumziajuuyanguvuzake.HebubadalayaketuzungumzienguvukuuzaMunguhatakushikanishamapenziyetuyotepamojanaYake.ElezeanguvuzaKristozisizonakifani,nakuzungumziautukufuWake.Mbinguyoteinapendezwanawokovuwetu.MalaikawaMungu,maelfunamaelfu,nakumielfumarakumielf,wamekabidhiwakuhudumiawaleambaowatakuwawaridhiwawokovu.Wanatulindadhidiyamaovunakuzisukumilianyumanguvuzagizaambazozinatafutakutuharibu.Je!hatunasababuyakushukurukilawakati,shukranihatawakatikunashidazilizowazikatikanjiazetu?
ImbeniZaburi
Hebusifanashukranizinenwekatikawimbo.Tunapojaribiwa,badalayakunongoneahisiazetu,hebukwaImanitumwinulieMunguwimbowashukrani.
TunakusifuWewe,EeMungu,kwaMwanawaupendowako,-KwaYesualiekufanasasaamepaajuu.
![Page 20: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/20.jpg)
TunakusifuWewe,EeMungu,kwaRohoWakowanuru,NaniametuonyeshaMwokoziwetu,nakutawanyausikuwetu.UtukufuwotenasifakwaMwanakondooaliyeuwawa,Aliyezichukuadhambizetuzote,naamesafishakilauchafu.UtukufunasifazotekwaMunguwaneemayote,
Ambayeametununua,nakututafutanakutuongozanjiazetu.Tuhuishetena;jazakilamoyokwaupendoWako;Herikilanafsiiwashwetenakwamotoutokaojuu.Itikio:
Halleluyah!Utukufuwako,Halleluyah!Amen;
Halleluyah!Utukufuwako,Tuishetena.Wimbonisilahaambayotunawezakutumiakilawakatidhidiyakukatatamaa.TunapofunguamoyokwamwangawajualauwepowaMwokozi,tutakuwanaafyanabarakaZake.“MshukuruBWANA,kwakuwanimwema,
Kwamaanafadhilizakenizamilele.NawasemehiviwaliokombolewanaBWANA,walealiowakomboanamkonowamtesi.
Mwambieni,mwimbienikwazaburi,Zitafakariniajabuzakezote.Jisifunikwajinalaketakatifu,NaufurahimoyowaowamtafutaoBwana,
“Maanahushibishanafsiyenyeshauku,Nanafsiyenyenjaahuijazamema.Waliokaakatikagizanauvuliwamauti,Wamefungwakatikataabunachuma;....WakamliliaBWANAkatikadhikizao,Akawaponyanashidazao.Aliwatoa
![Page 21: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/21.jpg)
katikagizanauvuliwamauti,Akayavunjamafungoyao.NawamshukuruBWANAkwafadhilizake,Namaajabuyakekwawanadamu!”Nafsiyangu,kwaninikuinama,Nakufadhaikandaniyangu?UmtumainiMungu;Kwamaananitakujakumsifu,Aliyeafyayausowangu,NaMunguwangu.”Zaburi107:1,2,3,107:9-15;42:11,“Shukurunikwakilajambo;maanahayonimapenziyaMungukwenukatikaKristoYesu.”1Wathesalonike5:18
Amrihiinihakikishokwambapiamamboyanaonekanayokuwadhidiyetuyatatumikakwamanufaayetu.Munguhatuagizisisikushukurukwayaleyatakayotuadhiri.
“Bwananinuruyangunawokovuwangu,Nimwogopenani?BWANAningomeyauzimawangu,Nimhofunani?’’Katikasikuyataabuatanistirishabandanimwake;Atanistirikatikasitarayahemayake;…….
Naminitatoadhabihuzashangwehemanimwake;Nitaimbanaam,nitaziimbasifakwaBWANA.’’
NilimngojaBWANAkwasubira,Akaniinamiaakasikiakiliochangu.
Akanipandishatokashimolauharibifu.Ametiawimbompyakinywanimwangu,NdiosifazakeMunguwetu.Wengiwataonanakuogopa,NaowatamtumainiBWANA.
BWANAninguvuzangunangaoyangu;
Moyowanguumemtumaini,Naminimesaidiwa;Basi,moyowanguunashangilia,Nakwawimbowangunitamshukuru.’’Zaburi27:1,27:5,6RV,40:1-3,28:7
![Page 22: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/22.jpg)
Mojawapoyavizuizivilivyohakikakwakuponakwawagonjwanikuelekezamawazoyaoyotekwaowenyewe.Wagonjwawengihujihisikuwakilamtuanapasakuwaoneahurumanakumsaidia,ilahaliyenyewanahitajinikutokujielekezeamawazoyaoyote,piawafikirienakuwajaliwengine.
Maranyingimaombihuwafarajakwawaathiriwa,waliojihurumia,waliovunjwamoyo;nahivyonisawa.
YatupasakuombayakwambaMunguamwagenurukatikamawazoyaliotiwagizanatuwezekuifarijimioyoiliosononeka.LakiniMunguhujibumaombiyawalewanaojitiakwenyenjiayamibarakaYake.Hukututoamaombikwahawawaliosononeka,tunapasakuwahimizawajaribukuwasaidiawalewalionauhitajizaidikuwalikowao.Nahapogizalitaondolewatokamioyonimwaowanapojaribukuwasaidianawengine.Tutafutapokufarijiwenginekwafarajatunafarijiwanayo,nasipiahufarijika,namibarakahiyohuturudiasisiwenyewe.
SurahioyahamsininananeyaIsayanidawakwaugonjwawamwilinanafsi.Ikiwatunatakaafyaboranafurahayakweliyamaishanishartikuzizoeasheriazilizopeanwakatikamaandikohaya.IbadainayokubaliwaNayekilawakati,namibarakayake,BWANAasema:
‘’Je!siyokuwagawiawenyenjaachakulachako,Nakuwaletamaskiniwaliotupwanjenyumbanikwako?
Umwonapomtualiyeuchi,umvikenguo;walausijifichenamtumwenyedamumojanawe?Ndiponuru
![Page 23: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/23.jpg)
yakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara;nahakiyakoitakutangulia;utukufuwaBWANAutakufuatanyumaakulinde.Ndipoutaita,naBWANAataitika;utalia,nayeatasema,Mimihapa.Kamaukiondoanira;isiwepokatiyako,walakunenamaovu;nakamaukimkunjuliamtumwenyenjaanafsiyako,nakuishibishanafsiiliyoteswa;ndiponuruyakoitakapopambazukagizani;nakiwichakokitakuwakamaadhuhuri.NayeBWANAatakuongozadaima,ataishibishanafsiyakomahalipasipokuwanamaji,nakuitianguvumifupayako;naweutakuwakamabustaniiliotiwamaji,nakamachemichemiambayomajiyakehayapungui.’’Isaya58:7-11Matendomemanimibarakamarambili,mtafaidikawotemtoajinampokeajiwotesawa.Ufahamuwakutendahakinimojawapoyadawaborakwamiilinaakili.Wakatiakiliikohurunakufurahikutokananahisiayajukumulililofanywavizurinaridhikokwakutoausemikwawengine,mvutouinuayofurahayamoyohuletamaishamapyakwamwilimzima.
Hebuwagonjwa,watafutekutoahurumakwawenginebadalayawaokuendeleakutakawahurumiwe.HebuupeanemizigoyaudhaifuwakonahuzuninamaumivukwaMwokozimwenyemwingiwahuruma.FunguamoyowakokwaupendoWake,nauwacheububujikekwawengine.Kumbukakuwawakowengiwenyemajaribuambayonimagumukuyabeba,majaribumagumukuyapinga,naunawezakufanyajambo,ilimizigoyaoiwe
![Page 24: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/24.jpg)
miepesi.Toashukranikwamibarakaulionayo;onyeshauthamaniwamapokeounayoyepewanawengine.
FanyamoyowakoujaekwawingiwaahadizathamanizaMungu,iliutoekwenyehazinahii,manenoyatakayokuwafarajananguvukwawengine.Hayayatakuzingiranakuwanamazingiraambayoyatakuwamsaada,kwawotenahatawatuwajamiiyakonawengine.
Ikiwawalewanaotesekakutokananaafyambayawangesahauubinafsikwamasilahiyawengine;kamawangelitimizaagizolaBwanalakuwahudumiawalionauhitajizaidikulikowao,wangelitambuaukweliwaahadiyaunabii.‘'Ndiponuruyakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara.’’
BarakazaHakika
Barakazahakika;Yesuniwangu!
Ee,maonjihayautukufuwakiungu’
Mridhiwawokovu,ununuziwaMungu,
UliozaliwanaRohoWake,kuoshwakwadamuYake.
Chorus
Hiinihadithiyangu,huundiyowimbowangu,
Namsifumwokoziwangusikunzima
Hiinihadithiyangu,huundiowimbowangu,
Nijitoaponihakika,furahanikamilifu,
![Page 25: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/25.jpg)
Njozizaunyakuzikufunuliwambeleyangu.
Malaikawanashukakutokajuu
Miangwiyarehema,yanongonaupendo.
Nijitoaponihakika,yoteyametulia,
Katikamwokoziwangu,ninafurahanabarikiwa,
Kukeshanakungoja,natazamajuu,alijazwanawema
Najazwanawemawake,nimezakatikaupendowake.
Fanny.jCrosby.Yametokakwakitabu‘’HudumayaUponyaji’’naElenGWhitepg247-258
SisisotetunahitajiuponyajikutokakwaBwana!
NiYesupekeeanawezakutupahurumanauponyajihuuwakweli.Ilikuwakaziyakekutuokoanakilakitukinachoua.Anasema;RohowaBwanayujuuyangu,kwamaanaamenitiamafutakuwahubirimaskinihabarinjema.Amenitumakuwatangaziawafungwakufunguliwakwao,Navipofukupatakuonatena.Luka4:18
KunawatotowengiwaMunguambaoleohiiwanashambuliwanaShetani.Mashambuliziyakenimagumunamakali.MashambulizihayayanawezakujamojakwamojakutokakwaShetani,lakinipiakutokakwafamilia,marafiki,mamlakayaleonadini.
Inawezakuwalughambaya,kimwiliaukisaikolojia,nguvuyapombe,madawayakulevyapiayanaweza
![Page 26: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/26.jpg)
kutumiwa,iliakiliyakawaidaiharibiwenainawezakuharibiwa.
KuvunjwamoyonagizavinawezakujajuuyetunakamawatotowotewaMunguwanashidwa,basiitakuwagiza.LakiniBwanahataruhusutuwenamajaribumakubwazaidikulikoyaletunayowezakuyashugulikia.TukimwitiaBwanaatatujibunakutuokoa.Ikiwatukokatikagizakubwanahatuwezikuonanjiayoyote,yeyeatatupamionziyamwangananguvutunayohitajiilikututetea.
Anavikosivyamalaikaambaowanawezakujakutusaidia.Yesuanatamanikutuwekahurunaudhalimuwadhambi,usisahaukwambamalaikaninguvuzaYesunanikubwakulikonguvuzapepo.
UsisahaukwambamalaikawaMunguniwenyenguvukulikomalaikawapepo.Yesuanasema,‘’Nimepewamamlakayotembinguninaduniani.’’Mathayo28:18.YeyehuwananguvukidogolakinihananguvuzotekamaMungumwenyenguvu,kamamuumbanaaliyeumbwatena.
TukiwakwaBwanakamamuumbanaaliyeumbatena,TukiwakwaBwanatunanguvunatunapogeuzamguukwamsalabaingawa,tukokatikagiza,atatupaAmanikamiliyaakili,ushindikamilinauhuru.
InatupasakufahamuhiliilituwenaImaninakishaatatupaAmani,nakupumzikandaniyake!Watotowanuruhuletanurugizanilakinihawatabakigizani.
![Page 27: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe](https://reader031.fdocuments.net/reader031/viewer/2022012302/5e10911bdc01e91ffd1c0f2f/html5/thumbnails/27.jpg)
Lazimaturuhusumwangakuangazagizani,KwafurahanakwaujasirikuwapawenginenurutuliopokeakutokakwaBwana.
WakatihuohuotunapaswakuonyeshahurumaNaKwawenginelazimatufanyekaziKwaupendousionaubinafsi.Kwawenginenitiba,hutoauponyaji.Je!WewenamimitupatekipimokikubwacharohowaMungunanguvukatikamaishayetu,ilituwewatumishiwawatumishiwenzetu.
Kwawalewaliokaribunasisituonyeshewema,hurumanaupendokwawote,awerafikiauadui.
Je!upendowaYesuutujazewoteilituwezekuifunuatabiayakekatikamaishayetunahivyokuwamashahidiwauzimakwaajiliyake!
Kwasalamuzakirafiki
AbelnaBentestruksnes.