Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha...

9
Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018

Transcript of Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha...

Page 1: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018

Page 2: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

FUNGU KIONGOZI

Page 3: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na zakithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika Yohona3:8 na nguzo katika 1 Timotheo 3:15.

Kuna taswira za umoja kadhaa za kibiblia katika agano jipyazinazoonesha mchango wa msingi uletwao na umoja katika asili nautume wa kanisa.

Jamii mojaya watu. 1 Petro 2:9

Jengo mojana nyumba

moja. Waefeso2:19-22

Hekalumoja. 1

Wakorintho3:16-17

Mwilimmoja. 1

Wakorintho12:12-26

Mchungajimmoja na

kundi moja. Yohona10:1-11

Page 4: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

“Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wamilki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtokegizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.” (1 Petro 2:9)

Watu kutoka kila taifa ni sehemu ya Kanisa, Mungu analichukulia kanisa kuwa ni jamii moja yawatu. Taifa takatifu la watu watakatifu wenyekusudi moja : kutangaza wokovu na upendo waMungu kwa ulimwengu.

Hakuna tunaloweza kufanya ili tufaekuwa sehemu ya jamii hii ya watu. Mungu ametuchagua leo kamaalivyowachagua Israeli (kumb 7:6-8).

Tumeitwa kuifunua tabia yake yakimbingu katika maisha yetu kwaupendo na neema yake.

Page 5: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

Katika stiari hii, Paulo anaunganisha wazo la jingo na maweyake na nyumba ndani yake.

Sisi tu mawe yaliyo hai ambayo ni sehemu ya jengo. Jiwe la pembeni na msingi ni (1P. 2:4-5).

Hakuna mawe yaliyotengwa. Kila mkristoanawasaidia wengine na yeye pia anasaidiwa nao.

Nasi pia tusehemu ya family kubwa, si kwakuzaliwa: Mungu ni Baba yetu.

Tumeunganishwa kwa sababu tumepatauzoefu wa kuzaliwa upya, na tuna fundisho moja na utume mmoja : kuhubiriinjili.

Page 6: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

“Hamjui ya kuwa ninyimmekuwa hekalu la Mungu, na

ya kuwa Roho wa Munguanakaa ndani yenu?” (1

Wakorintho 3:16)

Taswira ya kanisa ilikuwa wazi kabisa kwa wakristo wa awali (wote wayahudina wamataifa): Lilikuwa jingo zuri la kumwabudia na kumheshimu Mungu.

Jamii ya waumini walio na umoja nihekalu. Na Mungu huishi katikati yao.

Hekalu linakuwa katika hatari yakuvunjika pale migawanyikoinapoanza kutokea kanisani (fg. 17).

Paulo anatueleza umuhimu wakudumu, “nia moja na shauri moja.” (1 Wakorintho 1:10).

Page 7: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

“Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwilimmoja; vivyo hivyo na Kristo.”

(1 Wakorintho 12:12)

Kila mshiriki ni sehemu ya mwili huu na ana kusudi maalumu. Nilazima washiriki wote wafanye kazi pamoja katika tofautizao. Mwili hauwezi kufanya kazi ikiwa washiriki wake hawaratibiani.

Kanisa nini mwili wa Kristo. Yeye ni kichwa na sisi tu viungo. Kama matokeo ya hili:

Tofauti zetu za Kabila, rangi, utamaduni, Elimu, na umri kamwe visiruhusiwekutugawa katika Kristo.Chini ya msalaba sote tu sawa.Injili ina nguvu ya kuponya nakupatanisha.Kila muumini anaunganiswa kwa Kristokiroho, hivyo mwili wote unalishwa kwachakula kilicho sawa.

Page 8: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

“Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.” (Yohona 10:11)

Taswira ya Yesu kama mchungaji mwemaiko pia katika Zaburi 23. Kanisa ni kundila kondoo. Sisi ni kondoo werevu na waajabu wanaochungwa na Yesu.

Kondoo wakipotea huwarudisha zizini. Huwatunza daima (wote mmoja mmoja nakanisa).

Jambo la msingi ni kuwa kondoo hufahamu sauti ya mchungaji. Wale wanaoifahamu sauti ya Yesu kamwe hawatatanga peke yao. Watatembeawakiungana na kondoo wengine.

Kwa kweli, umoja na usalamawa watu wa Munguunategemea walivyo karibunaye na unahusiana moja kwamoja na utii wenyeunyenyekevu kwa sauti yake.

Page 9: Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018 - fustero.es · Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika

“Katika kielelezo cha mzabibu na matawi

yake kunaelezewa uhusiano wa Kristo kwa

wafuasi wake na uhusiano miongoni wa

wafuasi wake. Matawi huhusiana moja kwa

lingine, lakini kila moja lina utofauti

usiofungamana na wa tawi jingine. yote yana

uhusiano unaofanana kwa mzabibu na

yanautegemea kwa ukuaji wao, na kuzaa

matunda kwao. Hayawezi kutegemeana. Kila

moja kwa ajili yake sharti liungwe katika

mzabibu. Na matawi yanapokuwa na

mfanano sawa, pia huonesha utofauti. Umoja

wao uko katika muunganiko wao kwa

mzabibu, na kwa kila moja, ingawa sio kwa

njia ile ile, hufunua maisha ya mzabibu”

E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 7, cp. 32, p. 171)