S om la んだことあります106 ©NHK WORLD-JAPAN For more, visit NHK WORLD-JAPAN Usemi wa...

3
©NHK WORLD-JAPAN 105 https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/ S o m o l a 34 んだことあります タム Tam わあ、マンガがたくさん! Waa, manga ga takusan! Wow, kuna vitabu vingi vya katuni za manga! マイク Mike タムさん、このマンガ、知 ってる? Ta mu-san, kono manga, shitteru? Tam-san, unakifahamu kitabu hiki cha manga? タム Tam はい、読 んだことあります。 Ha i, yo nda koto arima su. Ndiyo, nimewahi kukisoma. マイク Mike え? 日 ほん で読 んだの? E? Nihongo de yo nda no? Mm? Umekisoma katika lugha ya Kijapani? タム Tam いえ、ベトナム語 です。 Ie, Betonamugo de su. Hapana, nimekisoma katika lugha ya Kivietnamu. とてもおもしろかったです。 Totemo omoshiro katta de su. Kilifurahisha sana. Msamiati マンガ manga manga たくさん vingi takusan って(い)る fahamu shitte (i) ru む soma yo mu ほん lugha ya Kijapani Nihongo いえ hapana ie ベトナム語 lugha ya Kivietnamu Betonamugo とても sana totemo おもしろい -a kufurahisha omoshiro i Mazungumzo ya leo Yonda koto arimasu Nimewahi kukisoma.

Transcript of S om la んだことあります106 ©NHK WORLD-JAPAN For more, visit NHK WORLD-JAPAN Usemi wa...

Page 1: S om la んだことあります106 ©NHK WORLD-JAPAN For more, visit NHK WORLD-JAPAN Usemi wa Msingi 読 よ んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su. Nimewahi kukisoma.

©NHK WORLD-JAPAN 105https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Somo la

34 読よ

んだことあります

タムTam

: わあ、マンガがたくさん!Waa, manga ga takusan!

Wow, kuna vitabu vingi vya katuni za manga!

マイクMike

: タムさん、このマンガ、知し

ってる?Ta⎤mu-san, kono manga, shitteru?

Tam-san, unakifahamu kitabu hiki cha manga?

タムTam

: はい、読よ

んだことあります。Ha⎤i, yo⎤nda koto⎤ arima⎤su.

Ndiyo, nimewahi kukisoma.

マイクMike

: え? 日に

本ほん

語ご

で読よ

んだの?E? Nihongo de yo⎤nda no?

Mm? Umekisoma katika lugha ya Kijapani?

タムTam

: いえ、ベトナム語ご

です。Ie, Betonamugo de⎤su.

Hapana, nimekisoma katika lugha ya Kivietnamu.

とてもおもしろかったです。Totemo omoshiro⎤katta de⎤su.

Kilifurahisha sana.

Msamiati

マンガ mangamanga

たくさん vingitakusan

知し

って(い)る fahamushitte (i) ru

読よ

む somayo⎤mu

日に

本ほ ん

語ご

 lugha ya KijapaniNihongo

いえ hapanaie

ベトナム語ご

 lugha ya KivietnamuBetonamugo

とても sanatotemo

おもしろい -a kufurahishaomoshiro⎤i

Mazungumzo ya leo

Yonda koto arimasuNimewahi kukisoma.

Page 2: S om la んだことあります106 ©NHK WORLD-JAPAN For more, visit NHK WORLD-JAPAN Usemi wa Msingi 読 よ んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su. Nimewahi kukisoma.

©NHK WORLD-JAPAN106 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

Usemi wa Msingi

読よ

んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su.

Nimewahi kukisoma.Ili kuelezea ulichokifanya, tumia “[kitenzi cha umbo la TA] + koto (ga) arimasu.” Umbo la TA la kitenzi ambacho huishia na “ta/da” linaashiria tendo limefanyika wakati uliopita au wakati timilifu. Ili kuunda umbo la TA, badili “te/de” ya kitenzi cha umbo la TE kuwa “ta/da.” (Tazama ukurasa 150-151)

Tumia!

明あ し た

日、盆ぼん

踊おど

りがありますよ。Ashita, bon-o⎤dori ga arima⎤su yo.

盆ぼん

踊おど

り、ネットで見み

たことあります。でも本ほん

物もの

は見み

たことないです。Bon-o⎤dori, netto de mi⎤ta koto⎤ arima⎤su. De⎤mo honmono wa mi⎤ta koto⎤ na⎤i de⎤su.

Kesho, kutakuwa na dansi ya Bon. Dansi ya Bon, nimewahi kuiona hiyo kwenye Intaneti. Lakini sijawahi kuiona kiuhalisia.

Jaribu!

~ことあります/ないです。~koto⎤ arima⎤su/nai⎤ de⎤su.

Nimewahi/Sijawahi ~.

① <-mewahi kufanya> ② <-jawahi kufanya> 沖

お き

縄な わ

Okinawa Okinawa

行い

く(→行い

った)iku (→itta)

kwenda

天て ん

ぷらtenpura

tempura

食た

べる(→食た

べた)tabe⎤ru (→ta⎤beta)

kulakula

Usemi wa ziada知

ってる?Shitteru?

Unafahamu?Unautumia miongoni mwa wanafamilia na marafiki. Kuuliza kwa namna ya kiungwana unasema, “Shitte masu ka.”

Can-do! Kusema ambacho umewahi kukifanya

Page 3: S om la んだことあります106 ©NHK WORLD-JAPAN For more, visit NHK WORLD-JAPAN Usemi wa Msingi 読 よ んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su. Nimewahi kukisoma.

©NHK WORLD-JAPAN 107https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

“Manga Café”

Vitabu vya katuni za manga za Japani vina aina mbalimbali za simulizi: Mapenzi, tajiriba za kijasiri, michezo, historia, fasihi na kadhalika. “Manga café” inaendeshwa kwa misingi ya muda, na ukilipia, unakuwa huru kusoma vitabu vingi vya manga kadiri upendavyo. Vyumba vya mtu mmoja mmoja mara nyingi vinakuwepo. Maeneo mengi yanatoa huduma ya bure ya runinga na intaneti. “Manga café” nyingi hutoa vinywaji bila ukomo kama vile juisi na chai.

Chumba chenye raha

Eneo la kusomea lenye nafasi kubwa

©Kaikatsu CLUB

©Kaikatsu CLUB

Kona ya vinywaji

Majibu ① 沖おき

縄なわ

、行い

ったことあります。 Okinawa, itta koto⎤ arima⎤su.② 天

てん

ぷら、食た

べたことないです。 Tenpura, ta⎤beta koto⎤ na⎤i de⎤su.

Utamaduni wa kisasa na Mike