JINA: NAM BARI: . DARASA: TAREHE! SAIIIHI: . (UFUPIS O ... · namna yoyote, iwe kitabaka, kirangi,...

12
JINA: ........................................................................ NAM BARI: ........................... DARASA: ........................ TAREHE! ........... ................ SAIIIHI: .............................. 102/2 KISWAHILI KIDATO CHA PILI OKTOBA2019 MUDA SAA2½ (UFUPIS�O, MATUMIZI YA LUGHA, ISIMUJAMII NA FASIHI) MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU Cheti Cha Kuitinm kisomo cha Sekondari .(K.CS.E) 102/2 KISWAHILI KIDATO CHA PILI· OKTOBA2019 MUDA SAA2½ (UFUPISHO, MATUMIZI YA LUGHA, ISIMUJAMII NA FAS MAAGIZO (i} Andika jimi lako na nbari katika nasi zilizoachwa hapo juu. (ii) Jibu maswali yote (iii) Majibu yaandikwe katika nafasi ulizotengewa baada ya kila swali. (iv) Majibu yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili (v) Kijikaratasi hiki kina kurasa 12 zilizopigwa chapa. (vi) Hakikisha ma�wali yote yapo. : KWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEE SWALI 1. UFUPISHO 2. MATUMIZI YA LUGHA 3. ISIMU JAMII 4. FASIHI SIMULIZI JUMLA UPEO 15 35 10 20 80 1 ALAMA 102/1 kiswahili gea kura I for more free revision content visit: www.freekcsepastpapers.com

Transcript of JINA: NAM BARI: . DARASA: TAREHE! SAIIIHI: . (UFUPIS O ... · namna yoyote, iwe kitabaka, kirangi,...

  • JINA: ........................................................................ NAM BARI: .......................... .

    DARASA: ........................ TAREHE! ..... � ...... ................ SAIIIHI: ............................. .

    102/2 KISWAHILI KIDATO CHA PILI OKTOBA2019 MUDA SAA2½ (UFUPIS�O, MATUMIZI YA LUGHA, ISIMUJAMII NA FASIHI)

    MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU Cheti Cha Ku/zitinm kisomo cha Sekondari .(K.C.S.E)

    102/2

    KISWAHILI

    KIDATO CHA PILI·

    OKTOBA2019

    MUDA SAA2½

    (UFUPISHO, MATUMIZI YA LUGHA, ISIMUJAMII NA FASilII)

    MAAGIZO

    (i} Andika jimi lako na narnbari katika nafasi zilizoachwa hapo juu.

    (ii) Jibu maswali yote

    (iii) Majibu yaandikwe katika nafasi ulizotengewa baada ya kila swali.

    (iv) Majibu yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    (v) Kijikaratasi hiki kina kurasa 12 zilizopigwa chapa.

    (vi) Hakikisha ma�wali yote yapo. :

    KWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEE

    SWALI

    1. UFUPISHO

    2. MATUMIZI YA LUGHA

    3. ISIMU JAMII

    4. F ASIHI SIMULIZI

    JUMLA

    UPEO

    15

    35

    10

    20

    80

    1

    ALAMA

    102/1 kiswahili geuza kurasa

    I

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • ,-.

    1. MUKHTASARI

    Soma ta_arifa if uatayo kaslia ujibu maswali.

    Nchi nyingi zimetia saini mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watoto. Hald ni mambo mema

    ambayo watoto wanastahili kutendewa. Kwa kutia sahihi, nchi hizi zimetangaza kujitolea kwao kuzilinda na kuhakikisha kuwa hakuna ukiukaji wake na kuwa watoto wote katika himaya zao wananufaika kutokana na haki hizi.

    Miongoni mwa haki hizi ni kuwa kila motto ana haki ya kuishi na kupata chakula cha kutosha na chenye viinilishe bora. Pili, kila mtoto ana haki ya kupata elimu. Elimu hii inafaa kutolewa bila ada na iwe

    1

    inayofaa na inayopatikana kwa urahisi. Kisha, kila motto ana haki ya kutopigwa na kutodunishwa kwa namna yoyote, iwe kitabaka, kirangi, kijinsia au vinginevyo. Motto ana haki pia kutolazimishwa kufanya kazi za kiutumwa, nzito na za kushurutishwa. Halikadhalika, ana haki ya kuishi katika nyumba au makazi bora na salama, kutunzwa na kulindwa dhidi ya hali yoyote inayoweza kumhatarisha. Anat a ashirikishwe katika kufanya maamuzi. Fauka ya haya, ana haki ya kupata huduma za afya, mahitaji

    maalum, michezo, upendo na habari. Isitoshe, anastahili kuheshimiwa kimawazo na kihisia. Haki hizi zinatakiwa kulindwa na kila mwanajamii, hivyo serikali za mataifa mengi zimeshirikisha haki hizi katika katib�ao na sheria zao.

    : ·

    Walakini, haki hizi bado zinakiukwa. ·watoto wengi kote duniani bado wan�yimwa haki zao. La kusikitisha na kukera ni kuwa wanaotarajiwa kuwa vigogo vya kuzilinda haki hizi ndio wanaoongoza kuzikiuka. Kila siku tunas.ilia na kushuhudia visa vya watoto kupigwa, kunyimwa chakula, kufanyishwa kazi kipunda, kuteswa, kuishi katika mazingira hatari na hata kuuawa. Baadhi ya watesi hawa ni wazazi au jamaa wa karibu kama wajomba au wahudumu nyurnbani.

    Kuna watoto wengi wanaolala nje. Wengine hawapati chakula; licha ya kuwa wanatakiwa kupata chenye

    lishe bora. Kwao kutarajia mlo awamu tatu kwa siku ni njozi kwani hata awamu moja ni adimu kupata.

    Watoto wengi katika mataifa yenye fujo na ghasia hutekwa ria kutumikishwa vitani. Viongozi katika mataifa haya hayvafanyi kitu ila kutazama tu wakati watoto wanaotakiwa kuwalinda. Wanageuzwa kuwa mibabe ya kuua na kuuana. Watoto· hawa �uvishwa magwanda ambayo rniili yao minyonge haiwezi kuyahimili. Pia huvalishwa mabuti ya kirejeshi ambayo ni mizigo mizito ya kubeba mbali na bunduki zinazokaribia kuwazidi uzani wakati wanatakiwa kuwa wamelindwa majumbani na shuleni na w�azi

    wao na serikali.

    2 102/1 kiswahili geuza kurqsa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • Jukwaa la vijiji vya mataifa ya ulimwengu wa tatu limesheheni watoto wasioenda shule kwa sababu ya

    lindi la ukufara uliokithiri. Elimu ya bure inayogusiwa katika kazi za watoto haipo. Wanaong'ang'ana

    iwepo ni kana kwamba ni waota ndoto mchana� Jiulize, watoto wangapi ·sasa hivi wamo majumbani bila

    kwenda shuleni kutokana na ukosefu wa karo? Wangapi wamo· mitaani wakivuta na kunusa gundi. hukq

    · wakiombaomba "vishilingi"?

    · Hali ilivyo sasa hivi inadai kuwa mimi na wewe tufanye hima na kuungana mikono kutafuta suluhisho la

    kudumu kuhusu h,� za watoto. Twapasa kuhimiza serikali zetu kufanya �la zimezavyo kuhakikisha

    kuwa watoto wote wako shuleni. Nasi tushirikiane kutoa huduma kwa watoto na kukomesha dhuluma,

    mateso na dhiki kwao. Haitoshi kupeleka miswada bungeni kuhusu haki za watoto na kuipitisha kuwa

    sheria. Twastahili kubadilisha misimamo yetu kuhusu haki hizi na kuzilinda kwa dhati si kwa chatL

    Maswali

    Eleza jinsi haki za watoto zinavyokiukwa

    Nakala chafu

    (Al. 8)

    (Maneno 35-45)

    . . .. . . . . . . .... . . . ...... . . . . . . . . . . . .. . . . . . . ... ........... ............. .. ............... . ..... . . ..... . . ............ •.• . . . .. .

    ... ..... . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . .... . . . .... . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . ... . .

    .

    3 102/1 kiswahili · geuza kurasa

    . i

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • Nakala safi

    ........................................................................ . ...............................................

    • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • · •••••• ! ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . : ......... .

    ................................. ........................................................................................

    ............................................... -�-... �-· ................................................................. .

    " ....... � .............................................................................................................. -.. .

    ··· · · ·· ··· ··· · · · ··· · ··· · ·· · ··· · · ·· · · ·· ·· · · · · · ·· · ·· · · · · ·· · · ·· ······ ···· · ·· · · ·· · ··· · ·· ·· · · · · ···· · · ·· · ··· · · · · · · ·· · ·· · ·· · ·· · '

    .........................................................................................................................

    b) Je, ukiukaji wa haki za watoto waweza kuepukwaje? (Al. 7)

    (Maneno 30-35

    Nakala chafu

    ::::::::::::::::::::::::::::::::::;:-:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::�::

    · · · · ·· · ··· · ··· · · · · · · · · · · · · · ··· · · ········ · · ····· · · · ·· ·· ··· ·· · · · · · ·· · · · · · · · ·· ·· · · · · ··· · ·· · ··· ····· ··· ······· · · · ·· ···· · · ····

    ................... ........ ............................................................................................. '

    '

    .

    4 102/1 ldswahili geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • Nakata safi

    ..................................................................... .-........ ·-· ......................................... .

    •••••• 1 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

    ........................................................................................................................

    1 •

    • I

    .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . •···· .. , ............................................................. •·• ..... . ························································································································

    ' .

    ..........................................................................................................................

    ·························································································································

    5 102/1 kiswahili geuza kurasa

    ' I

    I

    I .. :·.,

    I I

    ;1

    Ii

    ' It I

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • 2. MATUMIZIYALUGHA

    . a) Tofautisha sauti lb/ na /ff (Al. 2)

    b) (i) Silabi ni nini? (Al. 1)

    ................................................................ ........................................................ - .

    ··········· ···················· ·················································································· ·······

    ·• •.•·························· · ·············································································· · · ·· ······ ·

    (ii) Taj a aina ktm za silabi (Al. 2)

    ,

    .......................... . ... . ....................... ........... . . ......................................................

    ························································································································

    . : . -·· ..................... ............... . ...................................................... ...... ........................

    c) Ainisha mofimu katika neno lifuatalo

    Akulimiaye

    (Al. 3)

    ........................... � ......... . ........................................................ •.• ....................... .

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . •.• .

    . d) Tunga sentensi kuonyesha: (Al. 2

    (i) Kitenzi kishirikishi kipungufu

    ··········································································· ·············································

    .............................. ,, ................ ·� .... :: .......... . .............................................. . ....... .

    ······································· ································· •.············································ ···

    (ii) Kitenzi kishirikishi kikamilifu

    .. . ............... ... .......... � ..................................... . ..... ............................................. ..... .

    6 102/1 kiswahili geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • e) Bainisha niatumizi ya inaneno yaliyopigwa nistari katika sentensi ifuatayo

    Mwanafunzi mzembe anaadika mitungo yake kizembe

    '· (AL ,2)

    ...... ... . . . . . . . .............. . . ............. . .......... ·�· ........... ................................... . ....... ....... .

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . � ... · -· ................................................ ....................... .

    ♦ • • e • e • • • • • • • e ♦ e e • • e • ♦ • ♦ • • • • • • • ♦ • • ♦ e e • e I e e • • • • ♦ •:

    • • ♦ ♦ �•

    • ♦ • • • ♦ ♦ • • • ♦ e • e ♦ • ♦ • • • • • e ♦ e • e • ♦ e ♦ ♦ e e e ♦ e e ♦ ♦ e ♦ e • e e e ♦ • e e e e e ♦ • • e IO • e • • ♦ e ♦ ♦

    f) (i) Eleza maana ya ngeli.

    · · · · · · ······· ·· · · ··· · · ···· ···· · ·· · ······ ··························· · · · ·· · · · · ····························· ······ ···· · · · · · ·j •

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . : . ............ . .. . .. . . . . . ...... . . ............... . . . . .......... · .. . . ......... .. .

    (ii) w·eka nomino zifuatazo katika ngeli zao mwafaka ( AL 1)

    a) Ziara

    ........................................................................................................................ . I b) Kiwavi

    .......... . . . .... .......... . ........... . . . ... . ..........................................................................

    g) Akifisha sentensi ifuatayo (Al. 2)

    Magufuli rais wa Tanzania alizuru ngambo ughaibuni.

    ······· · · ·················· ····· • ·!"• • ·· · ·············· ················· ·········· ············ · · · ····················· · · ·

    ........ . . . . . . . ...... ..... . . . . .. . . . .. . . . . . . . ... .... . ....... .... ....... . . . . ........ . ... . . . . . . . . .............. .......... . . . . . ·:

    h) Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendewa.

    Mjomba alimnunulia shangazi simu mpya. (Al. 2)

    ······ · · · · ·· • ·!.• · ·· · · · ·· ··· ··· · · · · ·· · · · · · · · · ·········· ······ · ·· · · · · ···· · ·····---··· ··· · · · · ··· · ···· · · · ··· ··········· ···· ···

    7 102/1 kiswahili geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • i) Arnrisha katika wingi

    (i) kiri

    (ii) mfuate

    j) Fafanua maana mbili zinazojitokeza katika sentensi ifuatayo.

    Tulionwa na bibi

    (Al. 2)

    (Al. 2)

    ............................. . ...........................................................................................

    k) Yakinisha sentensi ifuatayo katika hali ya wingi. (Al. 2)

    Msomi hakutuzwa siku hiyo

    . ' ..................................................................................................................... .

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    I) Iandike sentensi ifuatayo upya katika hali ya wastani umoja

    Vijijana vile vilipewa vijijiko na vijipande vya vijijembe .

    (Al. 2)

    . . . . . . . . . . . . . . . •.• .................................................. .................................................... .

    m) -\ndika katika usemi wa taarifa. (Al. 3)

    "Nitawatuza watahiniwa wote watakaopita mtihani mwaka huu," Mwalimu aliwaaahidi wanafunzi .

    .............................. , ....................... . . .................................................................... .

    n) Tunga sentensi yenye muundo ufuatao (Al. 3)

    S -. KN (N + V + V) + KT (T + N + N

    ···························· ····· ················ ·· ·········· · ······························· ····················· ······

    8 102/1 kiswahili geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • · /

    ...................................................................................... .. ........................ .. ......- .

    o) Eleza maana ya sentensi ambatano na kisha utolee mfano. (Al. 2)

    · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · ··· · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · · ··· · · · · .. . .. . .. .. .. .. .. . .. . .. .... .. ... ... . .. . . . ..

    i' . . •'

    .. . .. ... .. .... ... ... ..... .. ... . .. . .. . .. . . .... . .... .. . ...... ....... .. .. ...... .. ... ... .. ... ....... .. .... .. ...... .. .. ... .. .. ..... . .. . ... . . · .. .. .. ... .... ....... ... .. . . .

    ......... ....... ... ... . ... ... .. . .... ......... .. .. .. ... ........... .. ................ . .. . ....... ... .. . .. ... .. .. .. .... .. ..................

    p) Sahihisha sentensi ifuatayo.

    Mwenye alichukua daftari yangu akuje kwa darasa

    9

    . .

    102/1 kiswahili · geuza kurasa

    (Al. 2)

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • 3. ISIMU JAMIi (ALAMA 10)

    a) Eleza maana ya istilahi hizi:

    (i) Uwili lugha

    (Al. 4) ·

    . .............. · . . ...... ............................. . .......................... ............................... ... ..... .

    (ii) Wingi lugha

    ... . .......... . . . . . . . . . . . . .. . . ........ . .. . .. . . . . . .. ......... . ... .. . . . . . . . . .... . . . . . .. . .. . .. . .................... . . ....

    (iii)Lugha rasmi

    ' ........................ •.• . . ........ .......... ................ . ....... · ............ . ................................... .

    . ... . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . · .. ................................... ...................... ....... : ... .

    (iv)Lugha ya taifa

    ······· ············· ········· · · ····· · ···.················ · ··· ········ · · ·············· ··· ·· · ····························· ·

    ••••• ! • • ••• • ••••••• •• ••• •••••••••••••••••••••••••••••• • •••• • •••••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••••••• • •• • • • •• • • •

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . · .................................. • ..................... � ........................ .

    . . . . .

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    b) Eleza sifa za lugha rasmi (Al. 3)

    ................................................................................................ ........................

    I. 1 I •• e I I I I I I e I I I I I e I I I I a I I I I I I I a I I I I I I e e I I I I I I I I I I I I I a I. I. I I. I I I I I I I I I I I. I • • I. I. I I I e I I I I. e I I I I I • I I I a I I I I. I I • a I I I I I e I I I I

    ...................... . ............ .......... ................................................. .................. · ........ .

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . •.• ..

    c) Fafanua majukumu yoyote rnatatu ya lugha ya taifa. (Al. 3)

    . .. . ..... ........................... ...... ..... . ........... . . ....................... � ........ . . ....................... ' ...... '

    · ·· ············· ·· ··· · ··· · · · · · · · ········· · · · · · · · ·· · · · · · · · ··· ·· · · ·· · ·· · ··· · · · · · ··· · ····· · ···· · · · · · · ····· ······ ·· ·· · ··· · ····· · · · . ..

    JO 102/1 kiswahili geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • 4. FASIHI SIMULIZI (ALAMA 20)

    a) Eleza maana ya semi

    b) Vitendawili ni mojawapo wa vipera vya semi. Taja vipera vingine vitano vya semi.

    c) Eleza tofauti iliyopo kati ya methali na vitendawili.

    '

    (Al. 2.)

    (Al. 5)

    (Al. 5)

    .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . -. . . . ... . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . · . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    d) Fafanua urnuhimu wa vitendawili : .

    11

    . ..

    102/1 kiswahili

    (Al. 8)

    geuza kurasa

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com

  • . .. . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ... . . .... . . . . . . .. . .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. · .. .. .. .. .. .. .. .. . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    .. .. .. . .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. . .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. . .. .. .. .. .. .. .. . .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. . .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. -.. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. .. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    \

    ·:,

    12 102/1 kiswahili

    '.

    tamati

    for m

    ore fre

    e rev

    ision c

    onten

    t visit

    : www

    .freek

    csep

    astpa

    pers.

    com