Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi...

10
Somo la 4 kwa ajili ya Aprili 27, 2019

Transcript of Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi...

Page 1: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

Somo la 4 kwa ajili ya Aprili 27, 2019

Page 2: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli
Page 3: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

URAFIKI

Upweke

Upweke wa kimwili

Upweke wa kiroho

Upweke usiopangwa

Kutarakiana

Kifo

“Si vema huyo mtu awe peke yake” (Mwanzo 2:18). Tumeumbiwa ushirikana wengine. Hiyo ndiyo hali halisi.

Hata hivyo, watu wengine huishi peke yao kwa sababu ya mazingira au wameamua kuwa hivyo.

Hebu tujifunze kileBiblia inasema kuhusuUshirika na upweke.

Page 4: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

“Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maanawapata ijara njema kwa kazi yao.” (Mhubiri 4:9)

Sulemani anaeleza kwa nini tushiriki maishayetu na mtu mwingine kwa njia ya ndoa ,naMungu (“kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi.” (Mhubiri 4:12)).

Kama mtu anatatizo , mwenzi wake anawezakusaidia. Kama mmoja amevunjika moyomwingine anaweza kumtia moyo. Kwa pamojawanaweza kutatua hali ambazo wasingewezawakiwa mmoja mmoja.

Hata katika mahusiano yasiyo ya kina kamandoa watu wanahitaji urafiki.

Lakini mtu kuwa katikati ya miili haihakumaanishi kwamba mtu hawezi kujisikiampweke na kutengwa na kuwa mhitaji waushirika.

Page 5: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

Je; Paulo anapingana na ushauri waMungu unaotolewa katika Mwanzo2:18?

Paulo anatushangaza kwa kauli hiianapozungumzia maisha ya familia. Hata hivyo, anafafanua wazo hili harakasana. : wale tu “wanaoweza kujizuia” (fg. 9). Yaani, wale waliopewa kipawacha kutohitaji maisha ya ndoa.

Kwa upande mwingine, waseja wanawezakujikita kikamilifu kwenye kazi ya Utume(fg. 32-33). Hivyo ndivyo Yeremia(kapera) na Ezekieli (mgane) walivyofanya.

Maisha katika upweke haimaanishi kuwapeke yako kabisa. Yesu alisema: “walakinimimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupopamoja nami.” (Yohana 16:32).

Page 6: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

“Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jinalake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu

wa dunia yote.” (Isaya 54:5)

Mtu anakuwa peke yake kiroho ikiwa yeyena mwenzi wake hawana Imani moja. Itamlazimu kuishi maisha ya kiriho katikaupweke. Hawezi kuomba pamoja namwenzi wake au kuhudhuria kanisanipamoja naye.

Ziko sababu tatu zinazoweza kusababishahali hiyo:

Mtu akimuoa/kuolewa na asiyeamini.

Mtu anamkubali Yesu anapoolewa.

Mwezi wa huyo mtu anapoachaimani.

Ni muhimu kuwasaidia watu hao kwa kuwapenda na kuwapa msaadawote tunaoweza, kama mtu mmoja mmoja na kama kanisa.

Page 7: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

“‘Maana mimi nakuchukia kuachana, asema Bwana, Mungu wa Israeli; nayeaifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema Bwana wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana.’” (Malaki 2:16)

Kuachana huvuruga mpango waMungu wa awali kwa ajili ya familia. Kwa sababu ya dhambi, Munguameruhusu ndoa kuvunjwa kwamazingira maalum (mathayo 19:8; 5:31-32).

Kuachana kunatengeneza hisiasimanzi, mfadhaiko, hasira naupweke.

Biblia inatuhimiza kufanya kila linalowezekanakuepuka kuachana, kutafuta maafikiano katikaupendo, msamaha na urejeshaji (Hosea 3:1-3; 1 Wakorintho 7:10-11; 13:4-7; Wagalatia 6:1).

Kuachana kunapokuwa hakuepukiki, lazima kanisalisaidie, lifariji na kutia moyo.

Page 8: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

Kifo ni hakika kwa kila mmoja tangu Adamuna Hawa walipotenda dhambi hadi marejeoya Yesu mara ya pili.

Kwa hakika, kifo husababisha utenganousioepukika. Mwezi aliyesalia hugubikwa naupweke.

Mungu ametupatia tumaini la kuonana na wapendwawetu tena, nakuishi nao katika nchi mpya ambapokifo hakitakuwepo

(1 Wathesalonike4:16-17; Ufunuo 21:4).

Muda unaweza kuponya majeraha, lakini pengo hubaki.

Page 9: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

“Vyovyote hali zetu

ziwavyo, Kama tukiwa

watendaji wa neno, tunao

mwongozo wa kuongoza

njia zetu; Vyovyote

kuwavyo kuchanganyikiwa

kwetu, tunaye mshauri wa

hakika; vyovyote ziwavyo

huzuni zetu, simazi, au

upweke, tunaye Rafiki

anayetuhurumia.”

E.G.W. (The Ministry of Healing, cp. 18, p. 248)

Page 10: Icyigisho cya 4 cyo ku wa 27 Mata 2019kuko Data ari kumwe nanjye.” (Yohana16:32). “Kuko Umuremyi wawe ari we mugabo wawe, Uwiteka Nyiringabo ni ryo zina rye, Uwera wa Isirayeli

“Yeye (Yesu) daima hutazama ili kutoa,

wakati inapohitajika zaidi, baraka mpya

na safi, nguvu katika saa ya udhaifu,

kusaidia wakati wa hatari, marafiki

katika wakati wa upweke,

huruma,wanadamu na mbingu, wakati

wa huzuni. tunakuwa tumefungwa

nyumbani. Yeye anayetupenda hata kufa

kwa ajili yetu amejenga mji. Yerusalemu

Mpya ni mahali petu pa kupumzika.

Hakutakuwa na huzuni katika Jiji la

Mungu. Hakuna kilio cha huzuni. Hakuna

hofu ya matumaini yaliyoharibiwa na

upendo uliozikwa uutasikika milele.”

E.G.W. (Daughters of God, cp. 21, p. 224)