Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

download Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

of 14

Transcript of Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    1/14

    Hotuba ya Mbunge Godbless Lema

    iliyopigwa stop bungeni Mei 2016

    HOTUBA YA M!MA"# M$UU %A $AMB# &AM# YA U'#()A(# BU(G!(#

    $AT#$A %#)A&A YA MAMBO YA (*A(# YA (+H#, MH!- GO*BL! "O(ATHA(

    L!MA .MB/, A$#%A#L#HA BU(G!(# MAO(# YA $AMB# YA U'#()A(# $UHUU

    MA$A*#O YA MA'ATO (A MATUM#)# YA !*HA YA %#)A&A H#YO, $%A

    M%A$A %A !*HA 2016201

    #natolewa 34ini ya $anuni ya 55 .5/ ya $anuni a $udumu a Bunge, toleo la Ap7ili, 2016-

    1-0 UTA(GUL#)#

    Mheshimiwa Spika, Kwa dhati namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema ,nawashukuru pia Mke wangu Neema, Watoto wangu Allbless, Brilliant, erren!e na "re!iousMawazo, pamoja na Wazazi wangu kwani wamekuwa msaada mkubwa sana kwangu katikashughuli zangu zote kwa maombi na sala # Kwani kufanya kazi ya Siasa za Mabadiliko anzaniani kazi ngumu na iliyojaa mateso, $itisho na hata kifo, lakini kwa ajili ya siku zao njema za baadae, ninapaswa kuendelea na ku$umilia katika kazi hii na wajibu huu muhimu ili kutafutamwanga mpya wa aifa letu katika siku za usoni#Mheshimiwa Spika, Namshukuru Kiongozi wa Kambi %asmi ya &pinzani Mhe# 'reeman AikaelMbowe kwa busara, ujasiri na maamuzi yake katika kuamua mambo yenye mwelekeo !hanyakatika (hama !hetu na N!hi yetu#Mheshimiwa Spika, Nawapongeza pia wale wote waliojiunga na (hama !hetu na &shirika wetuwa &kawa katika mwaka ule wa &!haguzi hasa katika hatua za mwisho, nampongeza Mhe#)dward Ngoyai *owassa na mke wake Mama %egina *owassa ambaye ni mfano wa kuigwa,Mhe# 'redri!k ulaway Sumaye ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati kuu wa (+A)MA naMzee Kingunge Ngombale Mwiru na wengine wengi kwa ujasiri na maamuzi mazitowaliyofikia#Mheshimiwa Spika, nina washukuru wanan!hi wa jimbo la Arusha Mjini kwa imani yao kubwakwa (hama !hetu na kwangu kwa kuweza kutupa madiwani -. kati ya -/ na kufanikishakuongoza +almashauri ya 0iji la Arusha#

    2-0 HAL# YA UALAMA (A AMA(# YA (+H# Y!TU

    2-1 MAA*#L# YA AM#L#A

    Mheshimiwa Spika, aifa lolote uniani msingi wake ni familia , hi$yo njia sahihi ya aifakuwa na usalama wa kweli katika 0amii ni muhimu Serikali ikajua kuwa 0amii ni 'amilia,kuongelea hali ya usalama na amani ya N!hi yetu bila kuongelea maadili ya familia zetu nikupotosha fikra zetu#Mheshimiwa Spika, ukweli ni kwamba familia yenye maadili, wajibu na inayom!ha Mungu ni jamii bora itakayozalisha %aia wema wenye wajibu na tija kwa aifa, hatuwezi kuwa na N!hiyenye nidhamu na ustawi pasipo kuwa na familia zenye wajibu katika malezi #

    1

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    2/14

    Mheshimiwa Spika, Wazazi wengi leo tukiwemo Waheshimiwa Wabunge na 0amii ya kada mbalimbali tunafikiri kuwa tumekosa nafasi ya kukaa na familia zetu, na hi$yo tumeamua ku1 outsour!e malezi ya Watoto wetu na familia zetu, hi$yo watoto wengi wanao kuwa katika karne hii,ni watoto wanaolelewa ama na wasaidizi wa shughuli zetu majumbani, mitandao ya jamii, Shule,na makundi mengine tusiyoyajua, ambayo hayajui mila, utamaduni, desturi na maadili ya 0amii

    zetu#Mheshimiwa Spika, hii ni hatari kwa usalama wa aifa, unapokuwa na aifa lenye familiaambazo hazina malezi mazuri ni ukweli usiopingika kuwa, ni lazima utegemee kizazikisi!hokuwa na mwelekeo wa kimaadili# +i$yo ni muhimu Wazazi na aifa likajua wajibu wausalama na amani ya N!hi unaanzia kwenye malezi bora katika ngazi ya familia #

    8-0 AMA(# (# TU(*A LA HA$#-

    Mheshimiwa Spika, hali ya Amani katika N!hi yetu iko katika mashaka makubwa na kwa bahatimbaya Serikali inaufahamu ukweli ila kwa sababu inazozijua yenyewe imeamua kupuuza ukwelihuo wa kushindwa kutofautisha kati ya amani na utuli$u katika n!hi yetu#

    Mheshimiwa Spika , aifa hili lina utuli$u unaosabishwa na hofu inayojengwa kwa maba$u nasilaha na sio amani, kuna mateso makubwa wanayoyapata wanan!hi wa aifa hili kila siku,umasikini, njaa, ukandamizwaji, ubaguzi, uone$u, udhalilishwaji na mateso ya jinsi mbali mbalikutokana na kukosa uongozi unaojali maisha ya Watu#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni baada ya u!hambuzi na tathimini ya2+ali ya &salama na Amani ya N!hi yetu3 kabla wakati na baada ya &!haguzi Mkuu wa %ais,Wabunge na Madiwani mwaka -45/, tumebaini kuwa nadharia na mwenendo wa demokrasia ya$yama $ingi hapa n!hini iliwekwa kando, na badala yake sura nzima ya u!haguzi mkuu wa %ais,Wabunge na Madiwani mwaka -45/, uligeuka kuwa 2Military 6peration3 yaani 26peresheni yaKijeshi3 kwa kisingizio !ha kulinda amani#Mheshimiwa Spika, tarehe -/ 6ktoba -45/ siku ambayo wanan!hi walipiga kura, Katika 0engo

    la Mlimani (ity, ((M na timu yao ya Kampeni ya %ais 0ohn "ombe Magufuli walifanya zoezila kuhesabu kura za mawakala wao kutoka $ituo mbalimbali n!hini yaani 2"arallel 7oterabulation3 bila kubughudhiwa na 0eshi la "olisi, wakati huo huo &KAWA wakifanya zoezikama hilo la 2"arallel 7oter abulation3 katika $ituo $itatu $ya 8( ndani ya 0iji la ar esSalaam, na $ituo $yote hi$yo ku$amiwa na 0eshi la "olisi ambalo lilizuia zoezi hilo kufanyika,ku$unja na kuharibu baadhi ya $ifaa $ili$yotumika kama $ile laptop, kuwanyanganya simu nalaptops $ijana zaidi ya 594 waliokuwa wanajitolea kufanya zoezi hilo, kuwasweka rumande kwamuda wa siku tatu mfululizo bila kuwafungulia mashitaka, kuwatishia kuwa wanatuhumiwa kwamakosa ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu :human traffi!king; nakuwafungulia mashitaka ambayo hayana msingi#Mheshimiwa Spika, mnyonge anayelia moyoni kwa huzuni ya kuonewa ni hatari kwa usalamawa N!hi na unia , $ikundi $ingi $ya uhalifu uniani kwa asilimia kubwa $imesababishwa nautawala wa kibabe, uone$u na ukandamizwaji usio$umilika na huko ndiko tunakoelekea kamaaifa#Mheshimiwa Spika , matendo mabaya haya yaliofanyika wakati wa u!haguzi mkuu uliopita

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    3/14

     jamii hiyo kufikiri njia mbadala ya mabadilko katika N!hi #Mheshimiwa Spika , kuwa na ume ya &!haguzi inayotiliwa mashaka na 0amii ni hatari kwausalama wa N!hi yetu# Ni muhimu sasa kama aifa kutafakari uwepo wa katiba ya wanan!hi naume +uru ya &!haguzi itakayorudisha imani ya Wanan!hi katika &!haguzi wa Kidemokrasia#Mheshimiwa Spika , Mungu adhihakiwi apanda!ho Mtu ndi!ho a$una!ho, utuli$u mnaouona

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    4/14

    haijawahi kuundwa, ili kutoa haki kwa Watanzania# 0apo kuwa ilikuwa ni ahadi ya Waziri Mkuukatika katika Serikali ya awamu ya nne#

    ;-0 M#$ATABA TATA YA "!H# LA 'OL##-

    ;-1 M; 0e, &taratibu huu ulifuatwa=0e Mkataba huu wa *&>&M8 )N)%"%8S)S na 0)S+8 *A "6*8S8 umetekelezwa amahaukutelezwa, na kama ulitekelezwa ni kwa kiwango gani, na ikiwa kulikua na tatizo lautekelezaji, 0e, 0eshi la "olisi lili!hukua hatua zipi=0e, ni kampuni ngapi ambazo zinahusika na hatua za utekelezaji wa Mkataba kati ya *ugumi)nterprises na 0eshi la "olisi, kwa kuwa kampuni ya 8N'6SS ambayo mmoja wa wamilikiwake ni Waziri wa Mambo ya ndani ya N!hi, Mhe# (harles Kitwanga inatajwa kufunga $ifaa

    hi$yo :A'8S;# Ni kwanini (#A#> katika ukaguzi wake hakuhoji kuhusu uhalali na ulinganishi wa thamani ya pesa ya manunuzi na faida ya $ifaa hi$yo=Kampuni ya 8N'6SS :inayomilikiwa na Mhe# Kitwanga; imedai kulipwa na 0eshi la "olisi,takribani olla za Marekani C.,444, 0e fedha hizi Kampuni ya Mhe# Kitwanga ililipwa kwa kaziipi iliyofanya na 0eshi la "olisi= Ni kwanini mpaka sasa , %ais Magufili haja!hukua hatua dhidi Said *ugumi, na aliyekuwa 8>"Said Mwema D )mmanuel N!himbi aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na kuwasimamishakazi wale wote ambao bado wako kazini juu ya mkataba tata wa *ugumi =unamtaka %ais , kutengua mara moja uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mathias(hikawe na kumrudisha n!hini mara moja , kwani alihudumu kama Waziri wa Mambo ya Ndanina ni imani ya Kambi rasmi kuwa alijua mambo yote yanayoendelea ya mkataba wa *ugumi

    Mheshimiwa Spika , Ni imani ya Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni kuwa Mhe#Waziri (harlesKitwanga, anazo taarifa za Mkataba huu na utekelezaji wake aidha kutoka kwenye Kampuniyake ambaye yeye ni Share holder : Mbia ; ambayo ilifunga $ifaa hi$i au anazo taarifa yautekelezaji wa Mkataba huu kutoka 0eshi la "olisi ambalo liko !hini yake kwa kiwango !hotekuhusu mambo yote ya Mkataba huu#Mheshimiwa Spika, 8nspekta 0enerali wa 0eshi la "olisi anzania :8>"; , alinukuliwa na $yombo

    4

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    5/14

    $ya habari pale alipoulizwa kuhusu sakata la *ugumi na Mikataba yake na 0eshi la "olisikutotekelezwa, alijibu majibu mafupi Katika gazeti la %aia Mwema la tarehe -CD4.D-459namnukuu 2siyo kweli, watu wana ugom$i wao kibiashara, lakini nakueleza wazi kwamba,tembelea $ituo $yote tuli$yokubaliana, utakuta mashine zipo# 8nawezekana zingine hazifanyikazi kwa sababu ya kukosekana kwa internet3 Mwisho wa kunukuu#

    Mheshimiwa Spika, kulingana na maswali ambayo tumeuliza hapo juu na u!hambuzi wetu,Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni inashauri kama ifuata$yoMheshimiwa Spika,Kwa $ile Waziri wa Mambo ya Ndani anahusika kwa karibu katika Mkataba huu kupitiaKampuni yake ya 8N'6SS na $ile $ile 0eshi la "olisi liko !hini yake , je = haoni kuwa ni busara kwa yeye kujiuzulu ili kutoa nafasi ya &!hunguzi kuepusha mgongano wa maslahi ndaniya 0eshi la "olisi na kwenye Kampuni ambayo yeye ni mmoja wa wamiliki =Mheshimiwa Spika,kwa $ile inaonekana kupitia $yombo $ya habari na kauli za $iongozi mbali mbali kuwa upouwezekano wa "olisi kuwa wametapeliwa na $ifaa hi$yo ha$ijafungwa, Kambi ya &pinzaniBungeni inautaka uongozi wote wa juu wa 0eshi la "olisi kujiuzulu mara moja, kwani kama wao

    wameshindwa kujua ukweli wa $ifaa $ili$yofungwa kwenye $ituo $yao $ya "olisi ama $ipo auha$ipo, watawezaje ku!hunga na kulinda mali na usalama wa raia wengine=Mheshimiwa Spika,Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni, inataka majibu yote yanayohusu Mkataba wa *ugumi na0eshi la "olisi kuhusu utekelezaji wake uwekwe wazi hapa bungeni na wizara husika#/#- Sakata la Kuuzwa kwa ardhi ya "olisi 6ysterbayMheshimiwa Spika, Sakata la Kuuzwa kwa ardhi ya "olisi 6ysterbay limeleta mashakamakubwa ndani ya jamii na baadhi ya askari wa 0eshi la "olisi, pamoja na %ais Magufuli kutiliamashaka jambo hili#Mheshimiwa Spika, Kwa $ile kuna ukakasi na mashaka ya rushwa, tunaliomba bunge liazimiena kuitaka Serikali kuleta mara moja mkataba huu na mingine yote yenye sura kama hii ndani yaBunge lako tukufu, ili ipitiwe na kufanyiwa tathimini endapo mikataba hiyo ilifuata utaratibu naina tija kwa aifa na hii iwe ni kwa mikataba yote iliyofanyika wakati wa Serikali ya awamu yanne ya Mh 0akaya Kikwete , pamoja na ule wa ununuzi wa boti: M$ ar es salaam ; uliofanywa wakati %ais wa sasa Mh r Magufuli akiwa Waziri wa &jenzi#Mheshimiwa Spika samba samba na hilo Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni inaitaka piaSerikali kuleta mikataba ya uuzwaji wa Nyumba za Serikali kazi ambayo aliisimamia %aisMagufuli mwenyewe wakati huo #Mheshimiwa Spika , kwa $ile %ais wa sasa alihusika kuuza nyumba za Serikali ni imani yetukuwa Kambi rasmi ya &pinzani itapata ushirikiano wa kutosha juu ya utata wa mikataba hii teteya uuzaji wa nyumba hizi#

    6-0 &UH%A, U&A YA !$AL# (A BU(G! T#H#O LA HAL# YA UALAMA-

    6-1 &us4wa na Bunge

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    6/14

    amefanya u!hambuzi wa kina jinsi Andrew (henge ali$yofanikiwa kukwapua fedha zaWanan!hi kiasi !ha pesa za Kimarekani dolari 5#- milioni kupitia Kampuni yake ya 'ranton8n$estment *td 0ersey na Kampuni hii ya Andrew (henge ikampa aliyekuwa >a$ana wa BenkiKuu ya anzania r# 8drissa %ashid pesa za Kimarekani dolari G944,444 kupitia Kampuni ya>a$ana huyu inayojulikana kwa jina la *angley 8n$estment *td#

    Mheshimiwa Spika, *akini kwenye utawala huu wa utumbuaji majipu, Andrew (henge ni Mkitiwa Bunge la 0amhuri ya Muungano wa anzania na Mkiti wa Kamati ya sheria ndogo, jambo hililina sura ya dharau na fedhea kwa Bunge lako tukufu na kwa jamii#Mheshimiwa Spika, Wako wengi wenye sura hizi za Mh (henge na wengine ni Mawaziri ambaowamekuwa na kashfa mbali mbali kwenye Serikali iliyopita lakini wameonekana kwenyemadaraka tena katika Serikali hii ya awamu ya tano inayoongozwa na %ais aneyeamini katikautumbuaji majipu , wakati kuna majipu mengine asiyoweza kuyatumbua ndani ya baraza laMawaziri#Mheshimiwa Spika , aifa linapokuwa na huzuni juu ya utawala unaopuuza na kudharauWanan!hi , kwa $yo$yote $ile hali ya amani na usalama inakuwa mashakani na kuwatia moyowatumishi wengine wa &mma katika masuala yanayohusu ufisadi, rushwa na ubadhirifu

    kwamba sio mambo mabaya# Ndio maana imekuwa ni $igumu kukemea rushwa katika ngazimbalimbali za utawala wa n!hi hii ikiwemo 0eshi la "olisi#

    9#- Kuingiliwa kwa &huru wa Bunge na Mhimili wa olaMheshimiwa Spika , tishio lingine la hali ya usalama N!hini ni Serikali kuingilia &huru waBunge , ni ajabu kubwa kwamba !hombo kina!hopanga matumizi ya fedha za Serikali ni Bunge ,lakini kwa wakati huu tumeona Serikali ikiondoa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kwakisingizio !ha kubana matumizi , kazi ambayo hata hi$yo kama ingekuwa ni hoja basi jambo hilolingefanywa na Bunge na sio Serikali#

    Mheshimiwa Spika, Wanan!hi kupata habari na kujua wana!hojadili wabunge wao ni hitaji lalazima la Kikatiba na sio hisani ya Serikali, malumbano yetu dhidi ya hoja mbali mbali ndani yaBunge yalikuwa ni muhimu kwa ustawi wa usalama wa N!hi yetu#Mheshimiwa Spika, Wanan!hi , walipotuona kupitia $yombo $ya habari mbali mbali ,tukilumbana juu ya maisha na maendeleo yao , jambo hili lilikuwa linasidia kupunguza tensionna u!hungu kwa jamii kwani walikuwa wanashuhudia tukipigana na kulumbana juu ya ustawiwa maisha yao , walipata matumaini waliposikia majibu ya Serikali hata kama yalikuwa niuongo#

    Mheshimiwa Spika , Kambi rasmi ya &pinzani Bungeni inasikitishwa na jinsi Bunge letulina$yoendelea kukosa ngu$u na kuingiliwa na mihimili mingine ya dola kwa kuelekezwa ni kipi!ha kufanywa na kipi si !ha kufanywa# Ni wazi sasa bila !henga kuwa Bunge hili limeingiliwana dola na sasa ni Bunge kibogoyo jambo linalohatarisha usalama na amani ya n!hi, kwa kuwaola sasa inaweza kufanya !ho!hote na isionekane kukemewa na Bunge ambalo kazi yake nikuisimamia Serikali, badala yake sasa hi$i Serikali ndio inalisimamia Bunge#Mheshimiwa Spika , kisingizio !ha gharama kubwa za kurusha matangazo ni uongo mkubwaambao hata shetani anaushangaa, kwani hata $yombo $ingine $ya habari $ili$yokuwa $inarusha

    6

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    7/14

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    8/14

    aifa ya akwimu kwa kushirikiana na 0eshi la "olisi zimeonesha kuwa kuna ongezeko laasilimia F#E ya makosa ya jinai hapa n!hini# aarifa hiyo imeonesha kuwa matukio madogo yamakosa ya usalama barabarani yakiongezeka kwa asilimia 59#. kutoka mwezi 0anuari I 0uni,-45. mpaka kufikia 0anuari I 0uni, -45/#Mheshimiwa Spika, ikumbukwe kuwa mara zote ndani ya muda wote wa Bunge la 54, Kambi

    %asmi ya &pinzani Bungeni ilikuwa ikiishauri Serikali juu ya hatua mbalimbali za ku!hukuadhidi ya matukio ya ajali za barabarani ambazo zinagharimu maisha ya wanan!hi wa aifa hiliambao ni ngu$u kazi inayopotea, na kuwaa!ha $ijana wengi wakipoteza wazazi wao na kubakimayatima# aarifa za akwimu za +ali ya &halifu 0anuari10uni, -45/ zimebainisha kuwa 20umlaya watu 5,E.F walifariki kutokana na ajali za barabarani ikilinganishwa na watu 5,CCCwaliofariki 0anuari hadi 0uni, -45.# +ili ni ongezeko wa watu C- sawa na asilimia .#53#Mheshimiwa Spika, &bunifu pekee wa Serikali katika 0eshi la "olisi ilikuwa na kuwapatiamashine za )' ili wasiendelee kufanya kazi ya kuhakikisha usalama barabarani na badala yake2kudandia3 kazi za Mamlaka ya Mapato anzania :%A; ya kukusanya mapato# Ni aibu kubwasana kwa 0eshi letu la polisi kujisifia kwa ukusanyaji wa mapato kutokana na makosa ya barabarani badala ya kutoa taarifa za namna gani 0eshi hilo limepunguza uhalifu wa makosa ya

     barabarani# Kamanda wa "olisi Kanda Maalum ya ar es Salaam, Kamishina Simon Sirroalikaririwa na $yombo $ya habari akidai kuwa 2Kikosi !ha usalama barabarani kanda ya ar esSalaam kimekusanya kiasi !ha shilingi bilioni 5#F kama faini za makosa ya barabarani kuanzia'ebruari 5 hadi --, mwaka huu3Mheshimiwa Spika, 8toshe tu kusema kuwa Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni haijaridhishwana mbinu na weledi hafifu unaotumiwa na Serikali ndani ya 0eshi la "olisi kupambana na uhalifuhapa n!hini# aarifa ya +ali ya &halifu0anuari1e!emba, -45. imeonesha ongezeko kubwa sana,:substantial in!rease; ya uhalifu n!hini kwa asilimia H-#/, kutoka makosa milioni 5#- mpakamakosa milioni 5#9#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni inaishauri Serikali kuzingatia ushauriwote uliotolewa na Kambi kwa zaidi ya miaka 54 iliyopita# Aidha, Kambi %asmi ya &pinzaniBungeni inaitaka Serikali itoe maelezo ya kina juu ya mpango mkakati wa kupunguza kiwango!ha uhalifu hapa n!hini na kueleza ni kwa kiwango gani wanafanya kazi ya &salama wa %aia naMali zao#

    5-0 U$OM!HA"# B#AHA&A HA&AMU YA *A%A )A $UL!:YA (+H#(#

    Mheshimiwa Spika, 8fahamike kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita Kambi %amsi ya&pinzani Bungeni, imekuwa ikiishauri Serikali juu ya hatua za ku!hukua katika kukomeshamatumizi na biashara haramu ya dawa za kule$ya n!hini#Mheshimiwa Spika , ushauri wetu juu ya jambo hili nikuitaka Serikali ikatafute ushauri wetuwote wa huko nyuma katika hansard na kuuzingatia mara moja , kwa ajili ya kuokoa aifa letu#

    10-0 HAL# )A MAHABUU (A %AU(G%A MAG!&!)A(#

    54#5 Kuondoa adhabu ya Kifo iliyo kinyume na Katiba ya anzaniaMheshimiwa Spika, Mwaka -45/, inakaridiwa kuwa watu .C- walipatikana na hatia nakuhukumiwa kunyongwa hadi kufa, kati ya hao wanaume ni ./- na wanawake -4, ambapowafungwa --E wanasubiria kunyongwa hadi wafe kwa mujibu wa sheria, na wafungwa -..wanasubiria kusikilizwa kwa rufaa zao, hii ni kwa mujibu wa %ipoti ya +aki za Binadamu

    8

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    9/14

    :*+%(, -45/;#Mheshimiwa Spika, adhabu ya kifo inakiuka misingi ya Kikatiba, ibara ya 5. ya Katiba ya0amhuri ya Muungano wa anzania inasema kuwa 2Kila mtu anayo +aki ya Kuishi na kupatakutoka katika 0amii hifadhi ya maisha yake kwa mujibu wa katiba hii3 *akini pia hajaanzakutumiza masharti ya katiba yetu kwa kuwa bado hukumu za $ifo zinatolewa# +ata hi$yo bado

    Serikali ya anzania haijatia saini makubaliano ya sehemu ya pili ya mkataba wa 8nternational(on$ention on (i$il and "oliti!al %ights wa mwaka 5F99, ambapo Se!ond 6ptional "roto!ol tothe 8nternational (on$ention on (i$il and "oliti!al %ights, ya mwaka 5FEF ambayo inataka n!hiwana!hama kukomesha adhabu ya kifo#Mheshimiwa Spika, inaishauri Serikali kusaini na kuridhia mkataba wa Se!ond 6ptional"roto!ol of the 8nternational (o$enant on (i$il and "oliti!al %ights, ili kuilinda katiba yetu nakutimiza matakwa ya kikatiba ya kulinda uhai wa kila Mtanzania#

    10-2 MO(GAMA(O %A MAHABUU (A %AU(G%A MAG!&!)A(#-

    Mheshimiwa Spika, Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni

    imekuwa ikiitaka Serikali ku!hukua hatua ya kupunguza msongamano wa wafungwa namahabusu Magerezaji sambamba na kuboresha lishe na huduma za afya kwa Wafungwa naMahabusu#Mheshimiwa Spika, Mwaka wa fedha -45/D-459, aliyekuwa Waziri wa mambo ya Ndani wakatihuo, Mhe# Mathias (hikawe, alisema kuwa uwezo wa magereza yetu ni kubeba wafungwa-C,9/H, wakati mpaka kufikia mwaka -45/ mwezi ma!hi magereza ilikuwa na wafungwaHH,4-C#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni haijaridhishwa na hatua ambazo Serikaliilizi!hukua kwa mwaka wa fedha uliopita katika harakati za kupunguza msongamano wamagereza# +atua za "arole, Msamaha wa %ais na Kifungo !ha nje bado hazitoshi kwa kuwahatua hizo zinalenga kupunguza msongamano bila kuangalia hali ya mazingira ya mahabusu na

    wafungwa wanaobakia ndani ya magereza# uliendelea kuisisitiza Serikali kuwa huduma zaafya, u!haka$u wa miundombinu ya $yoo na mabafu, na ufinyu wa $yumba $ya kulala, ukosefuwa matandiko na magodoro pamoja na lishe kwa mahabusu na wafungwa zimeendelea kuwaduni#Mheshimiwa Spika, Mwaka wa fedha -45/D-459, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni iliishauriSerikali kuwa ili kupunguza msongamano wa mahabusu magerezani iandae utaratibu kwa 0eshila "olisi kuwa kabla halijawakamata watu na kuwaweka mahabusu basi u!hunguzi wa kinaufanyike, tofauti na sasa ambapo mtu anayehisiwa tu kuwa ni mhalifu anaweza kuwekwamahabusu na kukaa huko hadi miaka zaidi ya mitano na baadae kuambiwa kuwa hana hatia, huuni u$unjaji wa haki za Binadamu#Mheshimiwa Spika , hata hi$yo sababu nyingine mojawapo inayofanya mahabusu kujaa katikamagereza zetu , zina!hangiwa na matumizi mabaya ya Sheria ya mwenendo wa Makosa ya 0inaikifungu !ha F5 amba!ho kinampa mamlaka Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali :"";kuondoa Shauri la jinai Mahakamani lakini kuondolewa kwa shauri hilo hakuzuii mamlakakumshtaki tena kwa kosa lile lile mtuhumiwa#Mheshimiwa Spika, 0eshi la "olisi wamekuwa wakitumia $ibaya masharti ya kifungu hikiambapo mara baada ya mtuhumiwaDwatuhumiwa kua!hiwa wamekuwa wakikamatwa tena na0eshi la "olisi mara nyingi ikiwa katika maeneo ya Mahakama#Mheshimiwa Spika, kambi rasmi ya upinzani Bungeni inashauri mbali na uwepo wa parole, na

    9

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    10/14

    $ifungo $ya nje ni $ema magereza zikaimarisha na kuwa kitengo maalumu !ha wafungwawatakao fanya kazi za huduma za jamii na Kitengo !ha mazingira na upandaji miti hasa kwakifungo !hini ya mwaka mmoja au na zaidi ili kunusuru uharibifu wa mazingira unaohatarishaaifa letu kuwa jangwa # Kazi yao kubwa iwe kuhudumia idadi miti kwa kuipanda na kuitunzaadhabu zao ziwe na manufaa kwa jamii na sura ya aifa#

    11-0 HAT#MA YA :#TAMBUL#HO :YA TA#A

    Mheshimiwa Spika, Katika hotuba yangu ya mwaka wa fedha -45/D59 nikiwasilisha maoni yaKambi %asmi ya &pinzani Bungeni, niiliitaka Serikali kutoa ukomo wa muda, ambapo kila raiawa anzania atapatiwa Kitambulisho !hake !ha aifa na kuainisha gharama zilizotumika katikam!hakato mzima wa kutengeneza $itambulisho $ya aifa#Mheshimiwa Spika, %ais Magufuli alitengua uteuzi wa Bwana i!kson )# MA8M&, MkurugenziMkuu wa Mamlaka ya 7itambulisho $ya aifa kuanzia, tarehe -/ 0anuari, -459 kwa mujibu wataarifa iliyotolewa na 8kulu tarehe -9 0anuari -459# Katika taarifa ile ilibainika kuwa 2aarifazilizomfikia %ais zinaonesha kuwa N8A hadi sasa imetumia Sh#5CF#9 bilioni#3

    Mheshimiwa Spika, Katika taarifa ile, %ais aliagiza Mamlaka ya &dhibiti wa Manunuzi ya&mma :""%A; wafanye ukaguzi maalum wa manunuzi yote yaliyofanywa na N8A# SasaKambi %asmi ya &pinzani Bungeni, inaitaka Serikali kuliambia bunge hili tukufu kuwa ni liniinatarajia kuileta bungeni ripoti ya &kaguzi Maalumu ulioagizwa kufanyika na %ais Magufuli, ili bunge sasa liweze kutimiza majukumu yake yaliyoanishwa katika Katiba ya 0amhuri yaMuungano wa anzania ibara ya 9H ibara ndogo ya :-;Mheshimiwa Spika, %ipoti hiyo ya u!hunguzi maalumu wa N8A itakapowasilishwa ndani yaBunge hili, wabunge kwa niaba ya wanan!hi tutaweza kufahamu mbi$u na mbi!hi na kujuahatma ya $itambulisho $ya aifa, hatma ambayo mpaka sasa Serikali imekosa majibu yake#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni pamoja na masuala mengine kuhusuushauri tuliotoa katika $itambulisho $ya aifa, bado tunaona kuwa mfumo mzima wa

    kuwatambua Watanzania upo 2shaghala bagara3 kutokana na kuwepo kwa $itambulisho $ya ainanyingi kama $ile *eseni za &dere$a na Kadi ya Mpiga kura, hi$yo kulifanya aifa kuingiahasara kubwa ya kutengeneza $itambulisho kwa watu wale wale# +uku ni kukosa ubunifu#Mheshimiwa Spika, >azeti la Mtanzania la tarehe - Ma!hi -459, liliripoti kuwa 2m!hakato wautoaji wa $itambulisho $ya aifa unatarajiwa kuanza upya, kutokana na Mamlaka ya7itambulisho $ya aifa :N8A;, kukiri kuwapo kwa upungufu katika $itambulisho $ya sasa#3+uu ni udhaifu mkubwa wa Serikali kukosa ubunifu, kitendo kina!hopeleka hasara kwa aifa bila watu kuwajibishwa#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni inaitaka Serikali kutoa maelezo ya kinakuwa ni kwa sababu gani ilifanya uzembe mpaka $itambulisho $ya aifa $ikaanza kutolewahuku kukiwa na udhaifu uliobainika baada ya zoezi la ku$igawa kuanza#Mheshimiwa Spika, Aidha, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni tunaishauri Serikali kuunganishamfumo wa $itambulisho $ya aifa na $itambulisho $ya aina nyingine kama $ile leseni zaudere$a, &tambulisho wa Namba ya Mlipa Kodi, 7itambulisho $ya Bima za Afya, +ati zaKusafiria na Kadi za Mpiga kura ili kuwa na 2National atabase3 ambayo inajumuisha taarifazote za Watanzania, jambo ambalo litaepusha upote$u wa kumbukumbu na kurahisishami!hakato ya kutoza kodi na kuongeza ufanisi katika ufuatiliaji wa wapi wanan!hi wapo,wanafanya nini na wanaweza $ipi kuisaida Serikali kutimiza majukumu yake kama $ile ulipajikodi kwa wakati na ufuatiliaji wa ulinzi wa %aia wetu wanasafiri nje ya n!hi#

    10

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    11/14

    11-1 U$#U$%A"# %A TA&AT#BU )A $U#T#HA A"#&A )A %AA(YA$A)# ;5 %A

    (#*A

    Mheshimiwa Spika, arehe C Ma!hi -459, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya7itambulisho $ya aifa alisitisha ajira za $ijana /FC waliokuwa wanafanya kazi kwa mkataba,

     bila kufuata taratibu za kusitisha ajira# Watumishi hao hawadai kurudishwa kazini, lakiniwana!hodai ni kulipwa stahiki zao kwa mujibu wa mkataba wao wa ajira#Mheshimiwa Spika, waliokuwa watumishi wa N8A waliositishiwa mikataba yao ya ajira wanamadai ya zaidi ya bilioni -#H# Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa N8A alitoa tangazo tarehe 55 April-459, katika gazeti la Mwanan!hi ukurasa wa 59 kuwa N8A itaanza kufanya malipo ya madaiyao kuanzia 0umatano tarehe 5H April -459 saa H#44 asubuhi, lakini Mheshimiwa Spika, aarifazilizoifikia Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni ni kuwa mpaka dakika hii nina$yoongea hakunafedha zozote zilizolipwa kwa waliokuwa waajiriwa hao /FC wa N8A waliositishiwa ajira zao#Mheshimiwa Spika, huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu wa kumfukuza mtumishi kinyume!ha sheria kiholela na hatimaye kutomlipa stahiki zake ipasa$yo jambo ambalo ni kinyume namisingi ya utawala bora#

    Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni ina taarifa na imebaini kuwa mamlakahiyo haikuwahi kupeleka makato ya wafanyakazi katika Mfuko wa Kijamii wa >)"' kuanziamwezi 0ulai -45/ mpaka tarehe C Ma!hi -459 ambapo ajira zilisitishwa#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni inaitaka Serikali kulieleza bunge hilisababu za Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa N8A kushindwa kulipa madai ya wafanyakazi wapatao/FC walioa!hishwa kazi tangu mwezi isemba -45/ ambapo hawakulipwa stahiki zao kwa miezimitatu mfululizo tangu mpaka ilipofika tarehe C Ma!hi -459 ambapo ajira zao zilisitishwa rasmi#

    12-0 UMUH#MU %A "!H# LA 'OL## $AT#$A $UBO&!HA MA#HA YAO-

    Mheshimiwa Spika, Serikali yoyote makini uniani inaweza kujenga ustawi wa maisha ya raia

    wake kwa kutambua umuhimu wa &linzi na &salama katika aifa# *akini kuhitaji ulinzi kwawalinzi ambao huwapi ulinzi wa maisha yao kama mishahara bora na masilahi mengine ni sawana kumeza dawa ya tumbo kwa kutumia konyagi#Mheshimiwa Spika, Watumishi wote wa umma wanahitaji ungalifu bora kutoka Serikalini ,lakini watumishi wetu wanaolinda amani na usalama wa raia wanahitaji upendeleo kwa kiwangofulani zaidi , kwani kazi ya ulinzi ni kujitoa maisha kwa ajili ya wengine #Mheshimiwa Spika, mishahara ya "olisi na posho zao zote bado ni ni ndogo sana , na ndiomaana kuondoa rushwa ndani ya jeshi la "olisi kwa kuendesha warsha , semina elekezi , kutoamiongozo , na $ipeperushi ni jambo ambalo haliwezi kufanikiwa , katika sala ambayo Bwanaesu aliwafundisha wanafunzi wake, kuna mahali sala hiyo inasema na nukuu 2 &S8&8)MA0A%8B&N8 BA*8 &&6K6) NA &*) MW67& 2Mheshimiwa Spika , rushwa ndani ya 0eshi la "olisi imejengwa na utawala wa Serikali ambaoumeshindwa kujali masilahi bora ya Walinzi wetu hawa ikiwa ni pamoja na 0eshi la Magereza ,kwa hiyo Serikali ndiyo inayowatia Askari wetu majaribuni katika suala la kuomba na kupokearushwa kwa kuwalipa fedha kidogo sana kwa ajili ya maisha yao #Mheshimiwa Spika, hakuna "olisi wala Askari magereza anayeweza kujenga nyumba kwamshahara na marupurupu anayopokea , wanaishi maisha magumu na ya taabu sana , ndio maanawakiona kosa wanaona fedha badala ya uwajibikaji na na kutenda haki#Mheshimiwa Spika, Serikali inapaswa kuwalipa walinzi wetu hawa $izuri ili kufanya kazi ya

    11

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    12/14

    0eshi la "olisi au 0eshi la Magereza D

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    13/14

    usalama wa mipaka ya n!hi yetu kuwa ipo hatarini dhidi ya matukio ya uhalifu wa kimataifa namatukio ya ugaidi, kutokana na ongezeko la wahamiaji haramu ambao wanaingia n!hini kupitiamipaka yetu na wanakamatwa wakiwa ndani ya n!hi tayari wakisafirishwa kwenda kwenyemataifa mengine kusini mwa jangwa la Sahara#Mheshimiwa Spika, Kambi %asmi ya &pinzani Bungeni tunaishauri Serikali kutumia mbinu za

    kisasa ili kuzuia wahamiaji haramu wanaotumia n!hi yetu kama 2transit gate3 ya kuhamiakwenye mataifa mengine hasa kutoka mataifa ya Kaskazini mwa Afrika kwenda kusini mwaka bara la Afrika#Mheshimiwa Spika , $ile $ile Kambi rasmi ya &pinzani Bungeni inaitaka Serikali iangalienamna ya kuanzisha ofisi za uhamiaji kwenye maeneo muhimu yanayotumika kama matobo kwawahamiaji haramu #

    19-0 H#T#M#HO

    Mheshimiwa Spika, Asilimia zaidi ya /4 ya wabunge waliomo ndani ya Bunge hili wengi niwapya maana yake ni kwamba, mi!hakato ya kura za maoni katika $yama $ya siasa ni sehemu

    ya kubadilisha mwanasiasa na pia mfumo wa demokrasia unatoa uhuru wa jinsi hiyo katikau!haguzi#Mheshimiwa Spika, Martin Niemoller alikua m!hungaji wakati wa utawala wa Kinazi &jerumaniakiwa mstari wa mbele kupinga utawala wa maba$u , ali!hukuliwa mateka katika kambi:!on!entration !amp; na alisema maneno yafuatayo2'irst they !ame for the So!ialists, and 8 did not speak outI Be!ause 8 was not a So!ialist#hen they !ame for the rade &nionists, and 8 did not speak outI Be!ause 8 was not a rade&nionist#hen they !ame for the 0ews, and 8 did not speak outI Be!ause 8 was not a 0ew#hen they !ame for meIand there was no one left to speak for me#3Mheshimiwa Spika, ni muhimu wabunge, $iongozi wa $yama na serikali na watu wote wajue

    tunapoishauri Serikali juu ya sheria na sera za n!hi ni busara na upendo wa hali ya juu kujuakwamba uamuzi tunaoufanya humu ndani leo ni kwa faida na maslahi ya watoto wetu na watotowa watoto wetu# Kwa bahati mbaya itikadi za $yama $yetu zimenunua utashi, ukweli na utuwetu#Mheshimiwa Spika, %ais Magufuli ana jambo muhimu la kufanya ili athibitishe ana!hokiitahuruma yake kwa masikini nalo ni kuwapa masikini katiba yao :%asimu ya Warioba; iliyobebamaoni waliyoyatoa katika ume ya Warioba kabla ya ku!haka!huliwa na Bunge la Katiba#Mheshimiwa Spika, ni namma moja tu inaweza kumsaidia %ais kukabiliana na ufisadi ,ubadhirifu wa mali za umma na mengineyo yenye sura hizi , na namna hiyo ni kua!ha uhuru waBunge katika kazi zake za kuisimamia Serikali #Mheshimiwa Spika, 0ames 'reeman (larke alisema maneno haya 2he differen!e between a politi!ian and a statesman is that a politi!ian thinks about the neJt ele!tion while the Statesmanthink about the neJt generation#3 Sisi tunafikiria nini=Mheshimiwa spika, tatizo la wanasiasa wengi wa aifa hili kila wanapomaliza u!haguzi papohapo, ndipo wanaanza kufikiria u!haguzi unaofuata# Ndio maana mawazo ya $ikao $ya $yama$yetu :"arty (au!us; yanakuwa muhimu kuliko msingi wa siku za usoni za n!hi yetu# +ili naloni tishio kubwa la usalama wa aifa letu# Kwani wanaopaswa kushauri, kuelekeza na kusimamiawameukataa wajibu wao bila aibu#Mheshimiwa Spika, nimalizie kwa kusema, zawadi pekee mbunge yoyote anayoweza akatoa

    13

  • 8/16/2019 Hotuba ya Mbunge Godbless Lema iliyopigwa stop bungeni Mei 2016.docx

    14/14

    kwa wazazi wake, watoto wake, familia yake na n!hi yake ni yeye kuwa na uwezo wakusimamia ukweli, demokrasia, utu na haki kwa gharama yoyote ile#LLLLLLLLLLLLLLL##>odbless 0onathan *ema :Mb;MS)MA08 MK&& WA KAMB8 %ASM8 A &"8N)N8 NA

    WA