Gwc full with 2 stories

13
Kutokana na vitabu vya dini :- Kulikuwa Tajiri aliyekuwa na wafanyakazi wake watatu. Siku moja yule tajiri alikuwa anasafiri. Akawaita wafanyakazi wake na kila mmoja akampa Talanta, wa kwanza akampa talanta tano (5), wa pili akampa talanta mbili (2) na wa mwisho akampa talanta moja (1) halafu akasafiri. Wale wafanyakazi wakazifanyia kazi zile talanta walizopewa ila yule aliyepewa talanta moja alienda kuichimbia chini, Baada ya kipindi Fulani yule tajiri akarudi kutoka safari, akawa amekaa na wafanyakazi wake, wakiwa wanaongea na wafanyakazi wake akawauliza kuhusu talanta alizowapa, yule aliyepewa talanta tano akamwambia Mfano wa talanta ni mtazamo halisi wa maisha tunayoishi Kuna maskini (talanta moja ambazo wamezificha) maisha ya saizi ya kati (talanta mbili zilizoongezeka kuwa nne) na matajiri (talanta tano zilizoongezeka na kuwa kumi) nah ii iko hivi maskini hawazalishi japo wanatumia japo watu wa saizi ya kati wanazalisha kidogo na kukitumia hichohicho kidogo mfano mtu yeyote aliyeajiriwa hata kama ni mkurugenzi ukimtafuta tarehe 18 hata 20 utakuta hana hela au kaishiwa tena anaweza akaanza kukopa angalau asogeze siku mpaka mishahara iweze kutoka ndio aanze kuwa na nafuu na maisha yarudi kawaida. Hata kwa mtu aliyejiajiri na kuzilisha kidogo nae maisha yake yako hivyo hivyo tukija kwa matajiri hali ni tofauti kwani wao huzalisha zaidi ya matumizi yao. Na hapo ndipo linakuja swala la talanta kugawa na kupokea talanta kunatokana na uzalishaji unaoufanya hivyo ndivyo talanta zinavyotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata ukiangalia kwenye vitabu wanasema mwenye talanta nne hakuongezewa Hata hivyo ukiwa na biashara yako kodi ni swala na mwisho kulipa ila ukiwa mfanyakazi kodi ndio kitu kitu cha kwanza na haiepukiki na Katika biashara inalipwa baada ya faida na faida ni mapato unatoa matumizi, na kwenye matumizi ni sehemu ambayo mwenye biashara anapocheza napo mwenye biashara lazima ajipanue kwa kuongeza matawi au kuongeza huduma hapohapo na kwa kufanya hilo ananunua mashine na vitu vingine na vyote hivi vinaonekana kama matumizi na ndizo zinazopunguza mwonekano wa faida , pia huwa wanatatoa misaada ambayo inaingiza kama matumizi kwa sababu inaingia kama cheque na tena kwa kutoa misaada anapata msamaaha wa kodi tena haiishi hapo atajinunulia gari atajiwekea mafuta kwa kama gharama za ofisi yote haya anapunguza faida na kwa vile amenunua mashine anazidi tu kukukibiashara, sasa turudi kwa anayefanya kazi kwa mwezi wenyewe hela haikutoshi sana sana ataingiza kwenye mkopo ili mshahara utoke tena na mshahara ukitoka aanze kulipa madeni ifike katikati ndio aanze kukopa tena huku na muda ndio kabisa umebanwa utaanzaisha lini biashara na hata biashara ukiianzisha huweza kuimiliki. Sababu haupo pale na bila ya kuwa na uzoefu wa biashara hata kama una hela vipi kama huna ujuzi nayo inakukufilisi kama unataka kuanziasha biashara anza kuanzia mwanzo na ukuwe na biashara inavyokuwa au kafanye kazi kwa mtu mwenye biashara unayoitaka kisha anzisha yako

Transcript of Gwc full with 2 stories

Page 1: Gwc full with 2 stories

Kutokana na vitabu vya dini :- Kulikuwa Tajiri aliyekuwa na wafanyakazi wake watatu. Siku moja yule

tajiri alikuwa anasafiri. Akawaita wafanyakazi wake na kila mmoja akampa Talanta, wa kwanza akampa

talanta tano (5), wa pili akampa talanta mbili (2) na wa mwisho akampa talanta moja (1) halafu akasafiri.

Wale wafanyakazi wakazifanyia kazi zile talanta walizopewa ila yule aliyepewa talanta moja alienda

kuichimbia chini, Baada ya kipindi Fulani yule tajiri akarudi kutoka safari, akawa amekaa na wafanyakazi

wake, wakiwa wanaongea na wafanyakazi wake akawauliza kuhusu talanta alizowapa, yule aliyepewa

talanta tano akamwambia

Mfano wa talanta ni mtazamo halisi wa maisha tunayoishi Kuna maskini (talanta moja ambazo

wamezificha) maisha ya saizi ya kati (talanta mbili zilizoongezeka kuwa nne) na matajiri (talanta tano

zilizoongezeka na kuwa kumi) nah ii iko hivi maskini hawazalishi japo wanatumia japo watu wa saizi ya

kati wanazalisha kidogo na kukitumia hichohicho kidogo mfano mtu yeyote aliyeajiriwa hata kama ni

mkurugenzi ukimtafuta tarehe 18 hata 20 utakuta hana hela au kaishiwa tena anaweza akaanza kukopa

angalau asogeze siku mpaka mishahara iweze kutoka ndio aanze kuwa na nafuu na maisha yarudi

kawaida. Hata kwa mtu aliyejiajiri na kuzilisha kidogo nae maisha yake yako hivyo hivyo tukija kwa

matajiri hali ni tofauti kwani wao huzalisha zaidi ya matumizi yao. Na hapo ndipo linakuja swala la

talanta kugawa na kupokea talanta kunatokana na uzalishaji unaoufanya hivyo ndivyo talanta

zinavyotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata ukiangalia kwenye vitabu wanasema

mwenye talanta nne hakuongezewa

Hata hivyo ukiwa na biashara yako kodi ni swala na mwisho kulipa ila ukiwa mfanyakazi kodi ndio kitu

kitu cha kwanza na haiepukiki na Katika biashara inalipwa baada ya faida na faida ni mapato unatoa

matumizi, na kwenye matumizi ni sehemu ambayo mwenye biashara anapocheza napo mwenye

biashara lazima ajipanue kwa kuongeza matawi au kuongeza huduma hapohapo na kwa kufanya hilo

ananunua mashine na vitu vingine na vyote hivi vinaonekana kama matumizi na ndizo zinazopunguza

mwonekano wa faida , pia huwa wanatatoa misaada ambayo inaingiza kama matumizi kwa sababu

inaingia kama cheque na tena kwa kutoa misaada anapata msamaaha wa kodi tena haiishi hapo

atajinunulia gari atajiwekea mafuta kwa kama gharama za ofisi yote haya anapunguza faida na kwa vile

amenunua mashine anazidi tu kukukibiashara, sasa turudi kwa anayefanya kazi kwa mwezi wenyewe

hela haikutoshi sana sana ataingiza kwenye mkopo ili mshahara utoke tena na mshahara ukitoka aanze

kulipa madeni ifike katikati ndio aanze kukopa tena huku na muda ndio kabisa umebanwa utaanzaisha

lini biashara na hata biashara ukiianzisha huweza kuimiliki. Sababu haupo pale na bila ya kuwa na uzoefu

wa biashara hata kama una hela vipi kama huna ujuzi nayo inakukufilisi kama unataka kuanziasha

biashara anza kuanzia mwanzo na ukuwe na biashara inavyokuwa au kafanye kazi kwa mtu mwenye

biashara unayoitaka kisha anzisha yako

Page 2: Gwc full with 2 stories

Katika kijij kimoja lenye mabonde mazuri, kulikuwa na marafiri wawili Bruno na Pablo walikuwa vijana

wachangamfu na waliotaka maisha mazuri hapo baadae, na mara kwa mara walikuwa wana jadiliana

malengo yao jinsi watakavyoyafaya na kufanikiwa kuliko watu wote hapo kijijini hawakuogopa kufanya

kazi kwa bidii na walikuwa wanatafuta fursa kokote ilipokuwa inapatikana iliwaweze fanikisha malengo

yao. Siku moja fursa ilijitokeza, Diwani wa hicho kijiji aliamua kuwaajiri watu wawili kutoa maji kutoka

kwenye chemchem ya bonde la pili (jirani) na kupeleka hapo kijijini na watalipwa kulingana na idadi ya

ujazo wa maji atakaopeleka. Bruno na Pablo kwa hamu na hamasa kubwa wakaanza kufanya kazi. Kila

siku kuanzia asubuhi mpaka joini wakawa wanachota maji kutoka kwenye chemchem mpaka kwenye

kijiji, walifanya kazi kwa bidii na jioni walirudi nyumbani na ujira wao waliolipwa kutokana na ujazo wa

maji waliyochota. Bruno aliridhika na kipato alichokuwa anakipata akafikiria jinsi ya kuongeza kipato ni

bora aongeze ukubwa wa ndoo ili aongeze wingi wa maji. Aliamini kwa kuwa kipato cha kawaida

ataweza kutimiza malengo yake ya kununua ng’ombe na kuwa na ghorofa aliyokuwa anaitaka. Pablo

hakuwa ameridhika na kipato alichokuwa anakipata, kila siku anarudi mikono nyuma na alikuwa

anachoshwa na hii hali. Na alikuwa anafikiria njia rahisi ya kipata kipato kingi, siku moja wazo likamjia

Pablo akafikiria akiweza kutengeneza bomba kutoka kwenye chemchem mpaka pale kijijni na kwa

kutumia huo mfumo wa bomba ataweza kupeleka maji mengi hapo kijijini bila ya kubabe ndoo.

Alifurahia sana kulipata hilo wazo. Akamtafuta Bruno na kumshirikisha wazo alilolipata na kumuomba

walitekeleze wote katika kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji. Bruno akaona hilo ni wazo

kichaa, Bruno alichokifikiria ni hela za harakaharaka na jinsi ya kuzipata sasa hivi. Alifikiria kutengeneza

mabomba ya maji kutampunguzia na kumchelewesha Kutimiza malengo yake. Alichoamua ni kuongeza

ukubwa wa ndoo na kuongeza idadi na uharaka anaoutumia kwenda na kurudi wakati wa kuchota maji

ili atomize malengo yake haraka. Pablo akaamua kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji pekee

yake na alijua kuwa sio kazi rahisi kutengeneza na itamchukua muda kutengeneza mpaka kumaliza ila

akajiwekea akilini mwake katika lengo lake la kutengeneza huo mfumo. Kila siku alikuwa anabeba maji

kama mwanzo ila kila mwisho wa mwezi na muda wake wa ziada baada ya kazi za mchana, alikuwa

anachimba miamba na kubeba udongo iliafanikishe kupitisha mabomba na tena kwa mwezi wa kwanza

juhudi zake zilionekana kuwa ndogo. Bruno na wanakijiji walikuwa wanamcheka na kumuita kwa kejeli

Pablo mabomba ya maji na tena kwa kipindi hichi kipato cha Bruno kiliongezeka mara mbili na aliweza

kununua ng’ombe na kujenga ghorofa na maisha yake yakabadilika, alikuwa anatumia muda wake wa

ziada kwenda kunywa pombe baa na marafiki akifurahia kipato chake cha kubeba maji. Bruno alikuwa

ajajua kuwa mwili wake unazidi kuchoka kutokana na kubeba ndoo kubwa uso wake umeaanza kutoa

mikunjo ya uso na mwili unachoka na ikabidi apunguze kubeba idadi ya maji

Mwezi baada ya mwezi Pablo akaendelea kutengeneza mabomba mwaka wa kwanza na wa pili ukapita

wa tatu mabomba yakakamilika na kuanza kutumia mabomba kupeleka maji kijijini bila ya kubeba maji

kwa sasa akawa anapata hela mara nyingi ya alizokuwa anapata mwanzo maji yalikuw ayanaendelea

kutoka pale kijijini na alikuwa ameweka mita ya kuhesabia ujazo wa maji, kwa hiyo Pablo hakuwa

anafanya kazi akawa anakula raha huku maji yanatoka na kuhusabiwa na mita. Pablo alifurahi sana kwa

kutambua alichokifanya na alikwa anapata hela kwa jinsi maji yanavyozidi kutoka kwenye bomba.

Stori ya Pablo na Bruno ni mtazamo wa maisha tunayoishi. Kazi ni sehemu watu wanapopatumia kupata

kipato. Bruno yeye anapata kipato kwa kutumia ndoo anakwenda na kurudi kuchota maji ilia pate hela,

Page 3: Gwc full with 2 stories

ili kuongeza kipato inabidi aende na kurudi na mara nyingi(more frequently) au kutumia ndoo kubwa.

Kwa hali ya kawadia watu wanaona kana kwamba ili kuongeza kipato inabidi mtu afanye kazi kwa bidii.

Kwa mfano kufanya kazi muda wa ziada (kuongeza muda zaidi ya muda uliopangwa “overtime”) au

kutafuta kazi ya pili. Ni sawa tunaongeza ukubwa wa ndoo kwa kukubali nafasi za juu za uongozi. Kitu

kinachotupelekea kutumia muda mwingi kazini kwa kipato kilicho na kikomo (sio endelevu) na tunakosa

muda wa kuwa karibu na familia zetu. Watu wengi kubadilisha/wanauza muda wao kwa hela kama

Bruno, inajulikana kwamba kila mtu ana masaa 24 kwa siku na hakuna mtu anaweza kuyatumia masaa

yote kazini. Wakati mbaya unakuja pale mtu anaposhindwa kubadilisha au kuuza muda wake kwa hela

kutokana umri kwenda au matatizo ya kiafya au sababu nyinginezo baada ya hapo kipato chake

kinasitishwa.

Embu tuangalie Pablo alichokifanya, kwa busara za hali ya juu hakubadilisha muda wake wote kwa hela.

Alitumia muda wake wa ziada kutengeneza mfumo wa mabomba, alijua mfumo wa mabomba utakuja

mletea kipato kisicho na kikomo kulingana na maji yanavyotiririka kwenye mabomba. Alijua kwa kufanya

hivyo muda utakuwa unajizidisha kwa ajili ya baadae, na kutokana na umri au matatizo ya kiafya

atakuwa anashindwa kubadiisha au kuuza muda wake. Pablo alijua akiamua kuutekeleza mradi wake wa

wa mabomba atatakiwa afanye hiyo kazi kwa bidii na maarifa na ni kazi nguvu sana ila inahitaji adabu na

hata alivyokwisha kuimaliza Pablo alikuwa na kazi wa kufanya marekebisho madogomadogo na

kuhakikisha maji yanatiririrka kwenye mabomba tu ili hela ziendelee kuingia kwenye mifuko yake

Karibu kwenye

Hizi ni dakika chache muhimu ulizowahi kutumia kwenye internet , Itakuwa na madhara juu ya maisha

yako ya baadaye ya kimaisha, hatima ya fedha na milele, Ninachotaka kushiriki na wewe katika dakika

chache zijazo kitabadilisha maisha yako kabisa.

Kama wewe utachukua hatua leo inaweza kuwa tofauti kati ya chochote ulichokuwa ukikifanya mpaka

sasa na kuishi maisha ya malengo ya kwako tena yale uliyokuwa unayoyapenda)

Kama wewe unaishi maisha unayoyapenda na yako katika malengo uliyokuwa umejiwekea basi hii sio

kwa ajili yako. Hata hivyo, kwa wale ambao bado basi, Ngoja tuchambua baadhi ya mambo

Nini kinachopelekea hali hii!!

Tuliambiwa kwamba:

• Twende shule na tusome kwa bidii na tupate alama nzuri darasani ili tupate kazi nzuri inayolipa

zaidi, tufanye kazi kwa bidii,tuishi maisha ya kujinyima, tuhifadhi hela, tuondokane na madeni na

tuwe na kiinua mgongo kizuri. Ila hata kimoja hakiendeni na hali ya sasa

Page 4: Gwc full with 2 stories

Uchumi wa kila nchi Uko kwenye hali mbaya kushuka kwa thamani ya hela kulizidi na kunazidi kushuka.

Ajira na Mishahara na gharama za maisha haviongezeki kwa usawa mmoja. Kushuka kwa uchumi

kumesababisha maelfu ya watu duniani kuachishwa kazi walizokuwa wanazitegemea na kuziamini ndani

ya dakika na bila taarifa.

Watu wengi hawawezi kuanzisha Biashara kutokana na kukosa mtaji unaotakiwa katika kuwekeza.

Kuweza kwa kufungua ofisi, kuwalipa wafanyakazi, gharama kuhifadhi na gharama nyinginezo zinazidi

kuwa ghali sana. Na ukishindwa kutafuta masoko vizuri, Utajikuta unapata hasara kubwa zaidi.

Unaweza kuamua kuchagua biashara zilizo tayarishwa tayari zinazoitwa ‘franchise’ ila itakugharimu

mamia ya mamilioni kuianzisha na kuiendeleza.

Kuna njia mbadala ya kununua biashara ya kisasa iliyoandaliwa “franchise” ambayo haitakugrarimu hela

nyingi na inaitwa: GWC

Kwa GWC utaishi maisha uliyokuwa unayataka na kuwapa watoto wako elimu inayowafaa, ukaishi na

unaowapenda katika maisha mnayoyataka. GWC ni mfumo unaokusaidia kufanya kazi muda unaotaka,

kuwa mkurugenzi wa kujitegemea, kujipangia mshahara wewe mwenyewe,tumia muda na jitihada za

watu wengine bila kumlipa mtu hata mmoja! Wewe unakuwa mmiliki wa biashara yako hii na kujifanyia

kazi utakavyo kuanzia leo. Ulishawahi kufikiria kumfukuza kazi bosi wako wa sasa au kujifanyia kazi zako

mwenyewe? GWC inaweza kukuwezesha kufanya hivyo kirahisi na kulipizia msharahara wako wa mwezi

kwa kujifanyia kazi ukiwa nyumbani.

Ngoja nikupe maelezo GWC kiundani:

GLOBAL WEALTHY CLUB,

GWC ilianzaishwa 2011

Makao Makuu yako London U.K.

Ina uongozi makini

Ni binafsi na haidaiwi

Ina miundo mbinu ya uhakika

Ina ofisi na misaada ya haraka dunia nzima

DHUMUNI: Kutengeneza kikundi cha wajasiriamali wanaochipukia kwa kasi duniani kwa kutumia

internet

GWC inaunganisha mienendo saba inayokuwa kwa kasi katika dunia ya sasa kwa mara ya kwanza

ambayo ni

• 1) Internet – 2 Billion People

Page 5: Gwc full with 2 stories

• 2) E-learning - Fast Growing Trend Personality & Self Development - $100 Billion Industry

• 3) Home Based Business - $200 Billion Industry

• 4) eLearning - $32 Billion Industry

• 5) Travel - $900 Billion Industry

• 6) Online Shopping - $142 Billion Industry

• 7) Weight Loss- Obesity has become a worldwide phenomenon

Peter Drucker - Forbes Magazine Alisema:

“Elimu ya mtandao ni fursa kubwa inayokuja …

“Elimu ya mtandao inaonyesha utofauti mpya na mkubwa, tofauti ya maeneo mengine, na ndio njia

mpya ya utoaji elimu... Na kuna soko kubwa duniani lenye uthamani wa maelfu ya mabilioni ya

hela”

Kuingia GWC

Kuna njia 4 za kuingia GWC na ni kama ifuatavyo:

1. Kifurushi cha Student -$100

2. Kifurushi cha Basic - $199

3. Kifurushi cha Elite - $599

4. Kifurushi cha Platinum - $1399

Vifurushi vya Bidhaa

Kabla ya kuingia kwenye bidhaa kiundani jua hili GWC inajihusisha na bidhaa za LAW OF ATRACTION

ambayo ni self-development na personality,

Kwanini uamue kujihusisha na LAW OF ATRACTION kutokana na hali ya kawaida “watu tunakuwa

kutokana na jinsi tunavyofikiria muda mwingi” na jinsi ambavyo mwili unakuzwa na aina ya chakula

unachokula vile vile na Akili zetu zinakula kwa kuangalia, kusoma na kusikia kwa hiyo unavyoviingiza

kwenye akili yako ndio vinakujenga wewe mtu ambayo anasikiliza aina Fulani ya muziki mara nyingi

basi anajikuta anakuwa na tabia ya aina ya dhamira ya ule muziki mfano miziki ya mapenzi watu

wengi wametumia muda mwingi kusikiliza aina hii ya miziki na ukiangalia watu wengi wanaishi

maisha ya hayo yaliyoongolewa mfano jinsi ya kumdanganya au kuwa na wapenzi wengi bila kujali

na watu wanaishi hayo maisha hata watu wanavyodanganyana na kusameheana na watu wanafanya

hivyo hivyo au kwa wale wanaoangalia tamthilia au filamu za mapenzi wanafanya hivyohivyo na

Page 6: Gwc full with 2 stories

kuishi maisha ya kuigiza. Kwahiyo watu tunakuwa kutokana na jinsi tunavyofikiria tulivyo kwa muda

mrefu” ukifikiria wewe ni maskini basi utakuwa maskini ukifikiria huwezi kufanya kitu basi hutoweza

kukifanya na mara nyingi watu tunafikiria kufanikiwa ila badala ya kufikiria ni jinsi gani utafanikiwa

ila wengi tunafikiria ni jinsi gani tutakavyoshindwa kufanikiwa na jinsi tunavyotumia muda nyingi

kuangalia tunavyoshindwa ile hali ya kushindwa inatutawala mwisho wake tunakata tamaa na

tunashindwa kufanya lolote na pili mafanikio yanahitaji utu (personality) kwa hiyo ili kuwa na

mafanikio yeyote unahitaji LAW OF ATRATION ili kujiendeleza mara kwa mara ili kufikia mafnikio

unayoyataka

1. Kifurushi cha Student -$100

Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa

kupitia vitabu 10 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja

Tumia “Law of Attraction” katika maisha yako.

Nusu kituo cha biashara (75 PV)kipato kisicho zaidi ya 5,500,000/= ($3500) kwa wiki

Unaweza ku up grade muda wowote

2. Kifurushi cha Basic -$199

Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa

kupitia vitabu 30 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja

Kituo kimoja cha biashara (150 PV)kipato kisicho zaidi ya 11,000,000/= ($7000) kwa wiki

3. Kifurushi cha Elite -$599

Kifurushi cha Elite ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic na mafunzo zaidi yanayohusu utu na

mafunzo ya maendeleo binafsi kwa vitabu vya sauti kama :-

Financial IQ and Management (Elimu ya Fedha na usimamizi wake)

Positive Thinking (Mawazo chanya)

Goal Setting and Getting Results

Spirituality, Zen & Enlightenment

Habits and Sub Consciousness etc.

Vituo 3 vya biashara (450 PV) kipato kisicho zaidi 33,000,000/= ($21,000) kwa wiki

4. Kifurushi cha Platinum -$1399

Page 7: Gwc full with 2 stories

Mafunzo ya juu ya Maendeleo ya mtu binafsi kwa Video

Kifurushi cha Platinum ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic , Elite na mafunzo zaidi yaliyo kwenye

Video yanayohusu utu na mafunzo ya juu ya maendeleo binafsi kama:-

Affirmation Video Series

Guided Hypnosis Video Series

Meditation Video Series

Fitness Video Series etc

Vituo 7 vya biashara (1050 PV) kipato kisicho zaidi 79,000,000/= ($50,000) kwa wiki

FURSA YA BIASHARA

GWC inakuletea malipo ya kwanza ya kipekee DUNIANI ya kulipwa kila siku

Njia 10 za kulipwa….

1. Fast Start Bonus

2. Team Builder Bonus

3. Executive Bonus

4. Binary Income

5. Mega Matching Bonus

6. Rank Advancement Bonus

7. Global Royalty Income Pool

8. Sales Office Program

9. Yearly Renewal Income

10. Quarterly Travel Incentive

Fast Start Bonus

Ukiwa umejiunga tuseme umejiunga kwa kufurushi cha Basic cha $199 na ukamjulisha rafiki yako na

yeye akajiunga kama wewe basi wewe utapaka $10 kwa hiyo kila mtu utakaye mjulisha akijiunga

kwa ID yako basi na wewe unapata $10 kwa kila mtu uliyemuunganisha na kila anayejiunga anapata

ID na hakuna kikomo ya watu unaowaungalisha

Page 8: Gwc full with 2 stories

Kutengeneza Timu -Ukimuunganisha mmoja kushoto na mmoja kulia unakuwa umetengeneza TIMU

na sasa unakuwa na uwezo wa kupata mapato mengine yote

Team Builder Bonus

Kwa kila uliyemuunganisha kwenye GWC na yeye akimuunganisha mtu yeye analipwa $10 zake na

wewe unalipwa $5 kwa kila mtu aliyemuungaanisha bila kikomo

Executive Bonus

Ukiweza kusaidia watu wawili wawe na watu wawili kila mmoja ndani ya siku 15 za kujiunga

unalipwa $75 Hii ni biashara inayohusuana na kusaidiana utafundishwa na wewe utawafundisha

wengine jinsi unavyoifanya mbinu zote ili uweze kufanikiwa kulingana na malengo yako

Binary Income

Binary inafanya kwa 1:1 na kila pair au pacha utakayo izalisha wewe watu uliowaunganisha au

waliojiunga kupitia wewe utalipwa $25 kwa kila pair kwa wewe na timu yako mtalipwa $25 kila mmoja

Mega Matching Bonus

Kwa kila mtu uliyemuunganisha GWC, kila binary anayolipwa wewe unapata 5% ya mapato yako.

Kwa mfano, umemuungalisha A na B na mapato yao ni $500 kila mmoja, yaani $1000, kwa hiyo utapata

$50 (5% of $1000). Embu fikiri utapata kiasi gani ikiwa una 100 ambao umewaunganisha wewe pekee

yako.

Jumla ya mapato ndani ya siku 15

Kwa mfano umewaunganisha watu wawili na ukawasaidia hao wawili wakawaunganisha wawili kila

mmoja utalipwa:

1. Fast Start Bonus watu wawili wamejiunga kwako $10 x 2 = $20

2. Team Builder Bonus watu wawili wameunganishwa na watu uliowaunganisha $5 x 4 = $20

3. Executive Bonus - una wawili na wenyewe wana wawili ndani ya siku 15 = $75

4. Binary Income - una pair 3 $25 x 3 = $75

5. Mega Matching Bonus 5% ya uliowaunganisha $1.25 x 2 = $2.5

JUMLA = $20+$20+$75+$75+$2.5=$192.2

Una rudisha 97% ya hela zako ulizozitumia kujiungia ndani ya siku 15 za mwanzo

UWEZO WA BIASHARA

Page 9: Gwc full with 2 stories

Juhudi zako binafsi

Sasahivi umepewa nafasi ya kupata 100% kutokana na juhudi unazozifanya na kulipwa kutokana na

unazozifananya sasa.

Katika GWC fikiria umeamua kununua kifurushi cha Basic($199) ukaamua kuweka juhudi x% kama hapo

chini:-

100% = $15,000 kwa mwezi

50% = $7,500 kwa mwezi

25% = $3750 kwa mwezi

10% = $1,500 kwa mwezi

Swali kwako

Kwa fursa ya biashara yenye uwezo wa mapato ya $15,000 kwa mwezi na

Kwa juhudi zako na msaada wetu sisi, ni muda gani utautumia kuhamasisha watu wawili na biashara

yako ya GWC?

Simu tu?

Masaa machache?

Siku moja au mbili?

Wiki moja au mbili?

Kama utapata watu wawili kirahisi kujiunga ndani ya mwezi mmoja

Embu tuangalie utaweza kupata malipo ya kiasi gani kwa mwaka mmoja..

Jinsi kipato cha ziada kinavyokuwa Kwa mwaka

Kwa mfano umejiunga mwezi huu tuuite mwezi wa kwanza katika biashara na ukahakikisha unapata

watu wawili wa kujiunga ndani ya mwezi na baada ya hapo unahakikisha umewafundisha hao watu

wawili kila mmoja awe na watu wawili ndani wa mwezi unaokuja kwa hiyo utakuwa na timu wa watu

sita yaani wawili uliowaunganisha wewe na wane waliounganishwa na hao uliowaunganisha. Mwezi

unaokuja yaani wa tatu kwako mnakaa wote na kuwafundisha hao waliojiunga na mnahakikisha

wanawaungalisha wawili na kwa hiyo hao wane waliojiunga wakiwaunganisha wawili kila mmoja basi

watu nane watakuwa wamejiunga ndani ya mwezi huo kwahiyo hii inakuwa ndio tabia yenu kila

anayejiunga katika huo mwezi anatakiwa ahakikishe anawangiza watu wawili na ukifanya hivyo ndani ya

miezi 12 na idadi inaji double kila mwezi na kufikia mwezi wa 12 utakuwa na timu ya watu 8190 ambapo

Page 10: Gwc full with 2 stories

ukigawanya kwa mbili (2) unapata 4095 kwa hiyo ni pair 4095 na kwa kila pair utakayoisababisha wewe

au mtu wa timu yako utalipwa $25 kwahiyo 4095 x $25 = $102,375 ambayo ni sawa na zaidi ya Milioni

mia moja na sitini Tshs 160,000,000/= kwa mwaka

Kama unaweza kufanya kwa wiki na kila mtu akafanya kwa wiki basi utazipata hizo kwa wiki 12

Miezi Kipeuo cha

pili

Idadi ya

Watu

1 2 2

2 4 6

3 8 14

4 16 30

5 32 62

6 64 126

7 128 254

8 256 510

9 512 1022

10 1024 2046

11 2048 4094

12 4096 8190

Rank Advancement Bonus (Kipato cha Vyeo)

Page 11: Gwc full with 2 stories

Pacha Vyeo Muda

(Miezi) Kipato

10 Bronze 1 $100

25 Silver 2 $200

50 Gold 3 $500

100 Pearl 4 $1,000

200 Ruby 6 $2,000

500 Emerald 9 $5,000

1,000 Diamond 12 $10,000

2,000 Blue Diamond 15 $20,000

5,000 Black Diamond 18 $30,000

10,000 Royal Black Diamond 21 $50,000

25,000 Ambassador 24 $75,000

50,000 Crown Ambassador 30 $100,000

100,000 Double Crown Ambassador 36 $200,000

200,000 Triple Crown Ambassador 40 $500,000

Global Royalty Income Pool

• Global Royalty Income Pool ni mapato yanayogawiwa kwa walifika Diamond na zaidi.

• Waliofika Diamonds na zaidi wanagawana 1% ya mauzo yote (faida) yaliyofanywa na Global

Wealthy Club duniani kote kwa mwaka mzima.

Page 12: Gwc full with 2 stories

Sales Office Program

• Itakapo tengenezwa Timu makini kwenye sehemu yeyote kampuni itasaidia gharama za

kufungua ofisi kwa ajili ya mafunzo, na kuonyesha biashara kwa watu wapya, pia na kufanya

mikutano ya timu na shughuli mbalimbali.

• Hii itasaidia kukuza biashara kwa ujumla na kuipeleka mbali zaidi.

• Kama kwenye sehemu yako yeyote kwa mfululizo kutatokea mauzo 300 ya kifurushi cha basic,

timu yako itakuwa na uwezo wa kulipiwa $600 kwa mwezi kwa ajili ya kodi ya sehemu

kuonyesha biashara.

Yearly Renewal Income

• Pale kila mtu kwenye Timu yako atakapolipia kuendeleza uanachama kwa $25 kwa mwaka

wewe utalipwa 25PV($33) ambayo itakusaidia kuongeza kipato chako.

• Jaribu kufikiri una watu 6 kwenye Timu yako wanaoendeleza uanachama, utapata 150PV sawa

na na ID moja ya Basic.

Quarterly Travel Incentives

• Kila robo ya mwaka kunakuwa na tukio la kimataifa la Global Wealthy Club University litafanyika

sehemu za kifahari itakayochaguliwa na utapata nafasi wewe na timu yako kuhudhuria ikiwa

umelipiwa kila kitu na kutakuwa na mafunzo ya hali ya juu.

Siri ya Bill Gates…

Bill Gates alipoulizwa kwanini amekuwa tajiri kwa kiasi hiki alijibu Vitu 3...

1. Nilikuwa kwenye sehemu sahihi na kwa muda sahihi.

2. Niliona malengo makubwa(maono ya mbele)

3. Nikachukua hatua na kuweka matendo zaidi

UTAJIRI WA KWELI UNATOKANA NA KUWA MBELE KWA KILA KITU…

Unachotakiwa kufanya!!!

Chagua kifurushi kimojawapo unachotaka kununua :

Kifurushi cha Student($100) – 1/2 id & earn max $1,750/wiki

Kifurushi cha Basic ($199) – 1 id & earn max $7,000/wiki

Kifurushi cha Elite ($599) – 3 ids & earn max $21,000/wiki

Kifurushi cha Platinum ($1399) – 7 ids & earn max $50,000/wiki

Page 13: Gwc full with 2 stories

Rudi kwa aliyekushirikisha hii taarifa na Muulize jinsi gani unaweza kujiunga leo na ukaanza kupata

malipo hata kesho.

Mwisho, wahenga wanasema…

…Kuna aina ya watu 3

Wanaofanya vitu vitokee..

Wanaangalia vitu vikitokea

Wanaoshangaa vitu vimetokeaje!

Kama unataka kufanya vitu vitokee fursa ni hii…

Kulipia tembelea www.globalwealthyclub.com/banker.htm

Kujiunga www.globalwealthyclub.com/join.htm au www.globalwealthyclub.com bonyeza Join Us

button kisha bonyeza submit jaza form ila utahitaji PIN ambayo utaipata baada ya kulipia ni kama

namba ya risiti pia unahitaji ID ya mtu aliyekupa hii taarifa na ukimaliza kujaza ukisubmit na wewe

unapata ID na password ambayo utaitumia ku log in kwenye www.globalwealthyclub.com na

kuingia kwenye ofisi yako iliyona karibia kila kitu na pia ID utampa mtu anayetaka kujiunga au wewe

unayetaka kumuunganisha na kutengeneza hela hata kuanzia leo hii

Kuangalia hii taarifa kwenye video tembelea www.globalwealthyclubpresentation.com/english-

presentation