Centers for Disease Control and Prevention - Kutengeneza ......ya chlore kila siku. Usikunywe maji...

1
Kutengeneza dawa ya kunawa mikono kutoka kwa dawa ya chlore na 5% ya eau de javel Changanya vijiko 14 ya maji ya chlore ya 5% katika litres 20 ya maji kila siku. Koloka vizuri. Weka étiquette MILD 0.05% kwa ndoo. Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono. 2 1 MILD 0.05%. Tumia maji MILD ya chlore ili kunawa mikono. Tengeneza maji MILD mpya ya chlore kila siku. Kutengeneza mchanganyiko ya kunawa mikono kutoka poudre HTH ya chlore Changanya kijiko kimoja cha poudre HTH ya chlore katika litres 20 ya maji kila siku. Koloka vizuri. Weka étiquette MILD 5% kwa ndoo. Koloka vizuri na ngoja dakika 30. 2 3 1 Dakika 30 Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono. Kijiko 1 ya HTH Litres 20 ya maji MILD 0.05%. MILD 0.05%. MILD 0.05%. CS295750-B Swahili Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono. Tengeneza maji mpya MILD ya chlore kila siku. Usikunywe maji ya chlore. Usiweke maji ya chlore kwa kinywa ao macho. CHLORA Vijiko 14 ya dawa ya chlore ya 5% Litres 20 ya maji 5% MILD 0.05%. U.S. Centers for Disease Control and Prevention

Transcript of Centers for Disease Control and Prevention - Kutengeneza ......ya chlore kila siku. Usikunywe maji...

Page 1: Centers for Disease Control and Prevention - Kutengeneza ......ya chlore kila siku. Usikunywe maji ya chlore. Usiweke maji ya chlore kwa kinywa ao macho. CHLORA Vijiko 14 ya dawa ya

Kutengeneza dawa ya kunawa mikono kutoka kwa dawa ya chlore na 5% ya eau de javel

Changanya vijiko 14 ya maji ya chlore ya 5% katika litres 20 ya maji kila siku. Koloka vizuri. Weka étiquette MILD 0.05% kwa ndoo.

Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono.

21

MILD 0.05%.

Tumia maji MILD ya chlore ili kunawa mikono.Tengeneza maji MILD mpya ya chlore kila siku.

Kutengeneza mchanganyiko ya kunawa mikono kutoka poudre HTH ya chlore

Changanya kijiko kimoja cha poudre HTH ya chlore katika litres 20 ya maji kila siku. Koloka vizuri. Weka étiquette MILD 5% kwa ndoo.

Koloka vizuri na ngoja dakika 30.

2 31Dakika 30

Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono.

Kijiko 1 ya HTH

Litres 20 ya majiMILD

0.05%.MILD

0.05%.

MILD 0.05%.

CS295750-B Swahili

Tumia maji MILD ya chlore kunawa mikono.Tengeneza maji mpya MILD ya chlore kila siku.

Usikunywe maji ya chlore.Usiweke maji ya chlore kwa kinywa ao macho.

CHLORA

Vijiko 14 ya dawa ya chlore ya 5%

Litres 20 ya maji

5%

CHLORA

MILD 0.05%.

U.S. Centers for Disease Control and Prevention