BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika...
Transcript of BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika...
![Page 1: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/1.jpg)
Paul Schreilechner, 8th November 2019
BIOTAN - Kampuni ya Kulima na
Kusindika Korosho Kikaboni
![Page 2: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/2.jpg)
BIOTAN GROUP LIMITED
• Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016 na 2017
• Tulijenga kiwanda cha ubanguaji 2018
• Tulianza na Kundi la Wakulima Wakikaboni mwaka 2017 (Vijiji viwili vyenye wakulima 245, miti 80000)
• Cheti cha kwanza cha kikaboni kulengana na sheria na masharti ya EU: Novemba 2018
• Tulianza usindikaji wa kikaboni na usafirishaji mwaka 2019
• Hali ya 2019: Wakulima 913 wamesajiliwa kutoka vijiji 7 na miti 280000
![Page 3: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/3.jpg)
![Page 4: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/4.jpg)
Kundi la Wakulima Wakikaboni - Ukulima wa Mkataba
• Ukulima wa mkataba kwa vigezo vya Sheria ya Viwanda ya Korosho 2009
• Kanuni Kuu: • Afya na uimara kwa mimea, wanyama,
binadamu, na dunia
• Usawa na kujaliana
• Hakuna kutumia dawa za kuulia wadudu au mbolea za kemikali
• Utunzaji wa rekodi, ufuataji, na nyaraka
![Page 5: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/5.jpg)
Mfumo wa Udhibiti wa Ndani (ICS)
• Mwongozo wa ICS: Msingi wa shughuli – Eneo/ramani
– Miongozo bora
– Usimamizi wa Hatari katika mnyororo wa thamani
– Majukumu: Msimamizi wa ICS, Msimamizi wa Mashamba, Wakaguzi wa Ndani, Meneja wa Upanuzi
– Uhalifu na Udhibiti
– Ununuzi & utunzaji wa baada ya kuvuna
– Utunzaji na rekodi na maelezo
![Page 6: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/6.jpg)
Taratibu kwa Wakulima Wapya
• Jenga mwamko
• Usajili
• Kusaini mkataba
• Mafunzo
• Ukaguzi wa Ndani
• Ukaguzi wa Nje
![Page 7: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/7.jpg)
Mafunzo
![Page 8: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/8.jpg)
Ukaguzi wa Mashamba
![Page 9: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/9.jpg)
Ukusanyaji na Utawala wa
Kiwango
![Page 10: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/10.jpg)
Lengo: USafirishaji wa Korosho ya Kikaboni
![Page 11: BIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho KikaboniBIOTAN - Kampuni ya Kulima na Kusindika Korosho Kikaboni . BIOTAN GROUP LIMITED •Ilianza na miradi ya majaribio miaka ya 2016](https://reader030.fdocuments.net/reader030/viewer/2022040210/5e62de04a2f2717530442093/html5/thumbnails/11.jpg)
Ahsante kwa kunisikiliza!