Academic excellence

Click here to load reader

Embed Size (px)

description

Academic excellence

Transcript of Academic excellence

 • 1. MAFANIKIO KATIKA MASOMO KATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIA ACADEMIC EXCELLENCE IN A BIBLICAL PERSPECTIVE Mwl. Mgisa Mtebe [email_address] +255-713-497-654

2. MAFANIKIO KATIKA MASOMO KATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIA Kujifunza namna Mungu anavyoweza kumpa mtu wakemafanikio , kwa lengo la kumwezesha kuishi ili kulitimizakusudilake. 3. KUSUDI KUU LA MUNGU Ni kuwawezesha watu wake,KuimilikinaKutawala dunia , ilibinadamu aishimaisha mazuri , na kuwachombo kizurichaIbada , ili kumsifunakumwabuduMungu aliye juu. 4. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 1Basi, mtu na atuhesabu hivi, kwambasisi ni watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu.2Na linalotakiwa niwatumishi na mawakiliwaonekane kuwawaaminifu . 5. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 Zingatia neno Utumishi Kila mmoja wetu ana wito maalum duniani unaofanya kuwa mtumishi wa Mungu, katika eneo alilojaliwa zaidi kuliko wengine na kuliko maeneo mengine. 6. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 Zingatia neno Uaminifu Kila wito wa mtu, ni maalum (specific) katika; Kusudi, Mpango, Aina, Eneo, Uwezo, Kiasi, Muda, n.k 7. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 8. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 4Basi kuna aina mbali mbali za karama, lakini Roho ni yule yule.5Pia kuna huduma za aina mbali mbali, lakini Bwana ni yule yule. 9. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 6Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote. 10. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 7Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.8Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. 11. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 9Mtu mwingine imani kwa huyo Roho na mwingine karama za kuponya.10Kwa mwingine matendo ya miujiza, kwa mwingine unabii kwa mwingine kupambanua roho; 12. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 10 kwa mwingine aina mbali mbali za lugha, kwa mwingine tafsiri za lugha.11Haya yote hufanywa na huyo huyo Roho mmoja, Roho naye humgawia kila mtu, kama apendavyo mwenyewe. 13. Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 10 kwa mwingine aina mbali mbali za lugha, kwa mwingine tafsiri za lugha.11Haya yote hufanywa na huyo huyo Roho mmoja, Roho naye humgawia kila mtu, kama apendavyo mwenyewe. 14. Huduma na Karama Warumi 12:3-8 15. Huduma na Karama Warumi 12:3-8 3Kwa ajili ya neema niliyopewa nawaambia kila mmoja miongoni mwenu, asijidhinie kuwa bora kuliko impasavyo, bali afikiri kwa busara kwa kulingana na kipimo cha imani Mungu aliyompa. 16. Huduma na Karama Warumi 12:3-8 4Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,5vivyo hivyo na sisi tulio wengi, tu mwili mmoja katika Kristo, nasi kila mmoja ni kiungo cha mwenzake. 17. Huduma na Karama Warumi 12:3-8 6Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani. 7Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe, 18. Huduma na Karama Warumi 12:3-8 8kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha. 19. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • Utumishi wetu
 • kwa Mun g u

20. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • 1.Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisaana wito wake
 • (huduma/karama)
 • 2.Wito wa mtu (Huduma na Karama yake)ni maalumu sana(Very Specific)

21. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISAKUSUDI LA KANISA Ni Kanisa liwezekulimilikinaKutawala dunianamazin g iray ake , ilibinadamu aweze kuishimaisha mazurina kuwachombo kizuri cha Ibada ,kumsifunakumwabuduMungu aliye juu. 22. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

 • KWANINIIBADA ?

23. SIFA NA IBADA KWA MUNGU

 • Zab 22:3
 • IDABAndio kitu cha kwanza kabisa katika moyo wa Mungu, kwasababu
 • MUNGUANAISHIKATIKA
 • IBADAnaSIFA .

24. SIFA NA IBADA KWA MUNGU

 • Zaburi 22:3
 • Wewe U Mtakatifu, nawe
 • UNAKETI juu ya sifa za Israel
 • Inhabit Unaishi

25. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

 • Yohana 4:23
 • Kwa maana Babaanawatafutawatu kama hao, iliwamwabudu ;
 • Na saa ipo na sasa saa imefika, ambapowaabuduo halisi , watamwabudu Babakatika roho na kweli;

26. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mungu anapokupaN g uvu zake ,kwa ajili ya maisha yako duniani, anatafutakukulinda wewe , ili pia kuilinda naibaday akeinayotoka katik maisha yako. (Yohana 4:23) 27. SIFA NA IBADA KWA MUNGU

 • Mungu
 • IbadaNchi
 • Adam

Zab 22:3 Zab 150:6 Kumb 8:6-18 Yoh 4:23-24 28. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISAIbada nzuri hutoka katika moyo uliotulia na piamaisha mazuri ; na maisha mazuri huchangiwa sana namazin g ira mazuri . Kumbukumbu 8:6-18 29. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISAMazin g irayakitibuka,maishayanatibuka, na maisha yakitibuka,ibada kwa Mungu pia,inatibuka .Hivyo, Shetani anachotafuta nikum p i g a binadamunamazin g iray ake , ili kumvurugia Munguibada ,anayoitamani sana kutoka duniani. 30. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • Huduma na Karamaza Roho Mtakatifu niuwezo na vi p awa v y a Mun g u ndani ya watu wake , vinavyowawezeshakutenda kazi duniani kwa kulitimizakusudi la Mun g u .

31. SIFA NA IBADA KWA MUNGU

 • Mungu
 • IbadaNchi
 • Adam

Zab 22:3 Zab 150:6 Kumb 8:6-18 Yoh 4:23-24 32. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • Kila Mtukatika jamii ya watu wa Mungu anaKarama na Ki p awa fulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezeshakutenda kazi duniani ili kulitimizakusudi la Mun g u .

33. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • Ki p awa hicho , ndichokinachotenda kaziili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimizakusudi la Mun g u , yaani kuwa chombo kizuri cha ibada .

34. KARAMA ZA ROHO MTAKATIFUKutoka 31:1-5 Bwana akamwambia Musa, kwa ajili ya ufundi wa vyombo vyote vya hekalu,nimem p aka ma f uta( uwezo )Bezaleli mwana wa Huri, kwa ajili yakazi zote za kuchora ,kuchon g a ,kukatanau f undiwote wa fedha na dhahabu. 35. SIFA NA IBADA KWA MUNGU

 • Mungu
 • IbadaNchi
 • Adam

Zab 22:3 Zab 150:6 Kumb 8:6-18 Yoh 4:23-24 36. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISAKwahiyo, Shetani anachotafuta nikum p i g a binadamunamazin g iray ake , ili kumvurugia Munguibada ,anayoitamani sana kutoka duniani (kwa watoto wa Mungu). (Ufunuo 12:17) 37. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo,N g uvu za Mun g uni za lazima katika maisha, ili kumwezesha mwanadamu,kumshinda adui shetani na vizuizi v y ake na kumwezesha kutawala maisha yake namazin g iray ake .(Mwanzo 1:26-28; Zaburi 8:4-8) 38. VITA VYA ROHONI Ni kwamba, kunama p ambano ,kunavita naup inzani ( mashindan o ),kati ya shetani nawatoto wa Mun g u( kanisala Bwana Yesu Kristo). (Mathayo 16:18-19) 39. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Mungu anapokupaN g uvu zake ,kwa ajili ya maisha yako duniani, anatafutakukulinda wewe , ili pia kuilinda naibaday akeinayotoka katika maisha yako (inayotoka duniani). (Yohana 4:23) 40. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISAKUSUDI LA KANISA Ni Kanisa liwezekulimilikinaKutawala dunianamazin g iray ake , ilibinadamu aweze kuishimaisha mazurina kuwachombo kizuri cha Ibada ,kumsifunakumwabuduMungu aliye juu. 41. KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO

 • Kanisala Mungu niOfisiy a Mun g unaUbalozi wa Mbin g uniduniani. Hivyo Mungu anatakaKanisa lake(Ofisi yake)iwe na watendakazi walio bora zaidinaitoe huduma bora zaidi kuliko taasisi zin g ineza duniani.

42. KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO Mfano wa Kwanza; Kutumika chini ya Kiwango 1Wakorintho 3:10-15 43. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • 1Wakorintho 3:10-15
 • 10Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kamam j enzi stadina mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakinikila mtuinampasa awemwan g alifuj insi anav y o j en g aj uuy ake .

44. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • 1Wakorintho 3:10-15
 • 12Kama mtu ye yote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, au kwa fedha, au kwa mawe ya thamani, au kwa miti, au kwa majani au kwa nyasi

45. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO

 • 1Wakorintho 3:10-15
 • 13kazi yake itaonekana kuwa ikoje, kwa kuwa siku ile itaidhihirisha kazi yake. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.

46. KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO 14Kama kile alichojenga kitabaki, atapokea thawabu.15Kama kazi ya mtu itateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini kama mtu aliyenusurika kwenye moto. 47. KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO Mfano wa Pili; Kutumika nje ya Wito Mathayo 25:14-30 48. Viashiria vya Wito wa Mtu

 • Mathayo 25:14-30
 • 14Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kamamtu(Bwana) anayetaka kusafiri, akawaitawatumishi wakena kuweka mali yake kwenyeuan g aliziwao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.

49. Viashiria vya Wito wa Mtu

 • Mathayo 25:14-30
 • 15Mmoja akampatalanta tano(5) mwinginetalanta mbili(2) na mwinginetalanta mo j a(1), kila mmoja alipewa kwa kadiri yauwezo wake . Kisha yeye akasafiri kwenda mbali.

50. Viashiria vya Wito wa Mtu

 • Mathayo 25:14-30
 • 19Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.

51. Viashiria vya Wito wa Mtu

 • Mathayo 25:14-30
 • 20Yule mtumishi aliyepokea talanta 5 akaja, akalet