23c – Maria Kim

6
daktari! daktari! hapa! saidia hapa! msichana yangu anashindwa kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen? alice jikaze tu... mungu atakuponya. jikaze msichana yangu... sasa mama alice. nime-come kumcheki. anaendeleaje? ana shida sana ya kupumua lakini hawa madaktari... mimi sijui! na uwache kuniitaita hivyo. huoni niko busy? aaaah! mama acha kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen ameenda lunch! ako tu. Mulika Daktari 19

description

Chapta 23– Maria Kim: Mulika Daktari

Transcript of 23c – Maria Kim

Page 1: 23c – Maria Kim

daktari! daktari!

hapa!saidia hapa!

msichana yangu anashindwa

kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen?

alice jikaze tu... mungu atakuponya.

jikaze msichana yangu...

sasa mama alice. nime-come

kumcheki. anaendeleaje?

ana shida sana ya kupumua

lakini hawa madaktari... mimi

sijui!

na uwache kuniitaita hivyo.

huoni niko busy?

aaaah! mama acha

kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen

ameenda lunch!

ako tu.

Mulika Daktari

19

Page 2: 23c – Maria Kim

20

Page 3: 23c – Maria Kim

21

Page 4: 23c – Maria Kim

22

Page 5: 23c – Maria Kim

siku ya next...

daktari! rafiki yangu anaitwa alice ali-die hapa leo. mathe yake anaomba umpe mwili

azike. yeye hu-do bizna ya kuuza fish. to be

honest, hawezi afford hizo doh mnataka.

tafadhali...

oh, unajuana na huyo mama?

mwambie aache kunisumbua. na hiyo mwili ya mtoto

wake hatuwezi kumpatia.

asipolipa by friday, mimi mwenyewe nitatupa hiyo msichana yake huko tunatupanga

takataka.

my friend, umesikia huyo daktari vile anaongea?

huyo ni binadamu kweli? yaani hana huruma hata kidogo! sasa nakuuliza

wewe mwezangu, umewahi kuenda kwa hospitali ama clinic kutibiwa halafu...

mama junior, si utachukua

junior kutoka shule leo?

haya ! breakfast show hapa! it’s twenty minutes to 8 a.m. na tuko na show kali

leo! unakula breakfast? haya basi, kula na mdomo lakini utupatie sisi masikio

maanake you don’t want to miss this! sawa.

nini mbaya? unasikia baridi?

aaah...ndio...

hapana...ndio...aaaah...

aaaah!mimi nimeenda job. kuna kitu

nataka kufanya kabla

saa mbili...aaaah...

aaaahh!!

kuna dem fulani ametutumia clip noma sana! madaktari wengi ni wapoa, lakini kuna

some rotten fish among them! sisemi

zaidi, sikiza mwenyewe uniambie...

23

Page 6: 23c – Maria Kim

24

sato...

tuna huzuni, lakini tuna furaha pia.

huzuni kwasababu mwenzetu ametuacha.

furaha kwasababu kule ameenda hakuna

kuumia...

lakini nyinyi nataka mujiulize

jambo moja: kuna kitu unaweza-do ku-prevent mambo yasiyofaa kama haya kutokea? kama vile yona mbatizaji...

eh, maria kim, asante sana. kweli

ulifikiria. kama si wewe hatungeweza kumzika

vizuri. asante!

alikuwa beshte yangu.

nilifurahi kusaidia.

Kuwa na evidence ni njia poa ya ku-report ukiukaji wa sheria! Ukiona umeteswa na daktari au dentist unaweza download complaint form kutoka www.medicalboard.co.ke

Wasee, mnaweza report madoki, na ma-nurse

wenye hawatuheshimu

hosi. Una haki ya kupewa

treatment poa kwa hosi.

sms3008doki

TUMA

SMS NA NENO DOKI KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII RIST

O.

ACTION

CH

ANGAMKA • CHUKUA ACTION •

Kila mtu yuko na right ya kutunzwa poa hosi bila kuteswa au

kunyayaswa na pia kutibiwa vile inafaa according to katiba ya

Kenya Article 43(1)a.

Ukitaka kujua more juu ya rights zako kama patient au mtu yuko

na patient hosi enda kwa hii website, pia advice watakupatia.

www.morrismosesfoundation.org

HIVI NDIVYO UTA-DO:Kama una simu yenye ina camera, record huyo daktari au nurse mwenye anakosa heshima. MAKE SURE USIONEKANE UKI-RECORD!

Piga simu kwa media house uwa-show uko na evidence yahii risto. Wataku-show vile ya kuwatumia hiyo video yako. Pia watafanya uchunguzi zaidi na kumulika hawa wasee wote.

Eleza wasee wa media wasiseme jina yako, ili baadae usifuatwe!

REPORT SERVICE MBOVU KWA MA-LEADERS WENYU.