1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema...

22

Transcript of 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema...

Page 1: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 2: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

Toleo la tano 1 Machi 2019

Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika wafanyakazi wa Swissport International AG, Aguila Bid Ltd. na kampuni tanzu zozote (halafu “Swissport”).

Page 3: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

YALIYOMO

Dibaji 4

Maanzilisho 5

1. Maadili yetu ya kiini 7

2. Kanuni zetu 8

3. Sehemu za matumizi 10

4. Maswali na ushauri 16

5. Tuzungumze! 18

6. Walengwa 19

Tarehe ya kuanza 20

Page 4: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 5: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

5Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

Kanuni za Maadili Mema za Swissport ni miongozo mifupi na nyofu kwa tabia nzuri na halali ya wafa-nyakazi wetu. Hii ni seti ya kanuni na matazamio ya kampuni kwa wafanyakazi wote wa kampuni ulimwenguni. Lengo la Kanuni za Maadili Mema ni kulinda Swissport na wafanyakazi wetu na pia upande wa tatu, jamii na washikadau wa Swissport dhidi ya madhara yaliyosababishwa na tabia isiyo na maadili au hata tabia ya haramu.

Kanuni zetu za Maadili Mema zinategemea na kanuni ya shirika na maadili ya kiini. Zinakuwa halali katika kampuni popote na zenye wajibu kwa wa-fanyakazi wote, haidhuru aina ya kazi, mahali au tamaduni za mahali. Kanuni na maadili ya kiini ni ya jumla.

Katika Swissport tunasitawisha tabia ya shirika kulingana na ukweli, uaminifu na heshima kwa sheria. Tunasadiki kwamba hii ni sifa muhimu kwa kupata mafanikio ya muda mrefu. Kanuni za kampuni kuhusu maadili na tabia zinahusika wa-fanyakazi wetu na watu wanaofanya kazi kwa ajili yetu. Kanuni hizi zinaelezwa katika Kanuni za Maadili Mema pamoja na viwango sanifu, maagi- zo na miongozo. Hii ni kwa mfano fulani: maagizo ya Swissport Group, miongozi ya sheria ya ushin-dani, miongozi ya Swissport ya kupinga rushwa, sera za ulinzi wa data n.k.

Kufuata Kanuni za Maadili Mema ni sharti la kazi. Wafanyakazi wote wa Swissport wanalazimika kusoma, kuthibitisha kwa saini wao kwamba wali-fahamu na watafuata kanuni hizo. Baraza la wakurugenzi na menejimenti mtendaji ya kampuni ya Swissport wajitahidi kufuata Kanuni za Maa - dili Mema na maakuli na wanazingatia kabisa kwam ba kanuni hizi zinafuatiliwa kamili.

Swissport haivumilii ukiukaji na imepamia kus-hughulia kesi za kuvunja sheria. Wafanyakazi wa-nalazimika kujua kwamba ukiukaji wa Kanuni za Maadili Mema wanaweza na madhara makubwa sana kwa kampuni na kwa wao wenyewe na kwamba watawajibishwa. Kwa sababu hii, kama tunavyoona ukiukaji unaoweza kutokea ni lazima kwamba hatutazami kando. Lakini badili ya tazama kando tunasaili hali hii, tunaomba ushauri na tunazungumza.

MAANZILISHO

Page 6: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 7: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 8: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

8 Swissport GroupKanuni za Maadili Mema

KUFUATA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU

Tabia yetu Swissport inadumisha viwango vya juu sana wakati wa kufanya biashara. Kampuni in-asaidia ulinzi wa haki za binadamu zilizotangazwa kati ya mataifa na inaheshimu sheria zozote zinazokuwa halali.

Wafanyakazi wa Swissport wanatazamiwa wao-nyeshe uaminifu na wafuate sheria na kanuni zinazotumika.

HESHIMA KWA WATU

Tabia yetu Heshima kwa kila mtu inatuongoza kazini na wakati wa kubaliana na wateja wetu na wafanyabiashara wengine. Wafanyakazi wa Swissport wanalazimika kufahamu wajibu wao kwa kuheshimu haki na adhama, utamaduni na maoni ya wengine.

Kila mfanyakazi ana haki ya kufanya kazi katika hali salama na zima. Katika Swissport tuna-shughulikia kuhakikisha kwamba hali ya kazi ni sa-lama na zima siku zote. Sera zetu za usalama zinahusu wafanyakazi na washiriki wetu wote.

Wafanyakazi wa Swissport wanatazamiwa wa-changie lengo hilo pia, kwa sababu tunafikiri kwamba kutunza ubora, afya na usalama ni kitu ambacho hakiwezi kugawa kwa wengine, hicho ni wajibu wa sisi wote.

Swissport inawatia wafanyakazi wao nafasi sawa kwa kutambua na kupandishwa cheo, bila kujali asili, jinsia, utamaduni, imani au hali ya afya yao. Kampuni haivumilii usumbufu wo wote na kila aina ya ubaguzi, kama kwa misingi wa umri, jinsia, maelekeo ya kijinsia, rangi, ulemavu, dini, imani za kisiasa au vitu vingine vyo vyote.

AHADI ZA UTENDAJI

Tabia yetu Swissport inajitahidi mara kwa mara kujenga thamani kwa washikadau wao na kupata maendeleo ya faida kwa muda mrefu.

Tunatafuta wafanyakazi wanaojitegemea, wanao kuwa na akili kwa ubora na wanawajibu kwa ku-fanya biashara. Wafanyakazi wa Swissport wajuli-kane kwa misingi wa utendaji wao na michango yao kwa mafanikio ya Swissport.

USHIKAMANIFU KWA SWISSPORT

Tabia yetu Tunaweka faida ya Swissport kwanza na tunatofautisha safi kati ya faida ya Swissport na faida yetu ya binafsi.

Tunaepuka mgongano wa maslahi kama kwa mfano kuwakilisha Swissport katika biashara na sisi wenyewe au na watu wa karibu. Kama tuna mashaka tunafunua kampuni mambo haya. Tuna-jiepusha na kufadhili upandishajicheo au ajira ya watu wetu wa ukoo na/au rafiki zetu.

KANUNI ZETU

Page 9: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

9Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

UTUNZAJI KWA MAZINGIRA

Tabia yetu Katika Swissport biashara na ekolojia zinakwenda moja kwa moja. Wakati tunajitahidi kupelekea huduma bora tunashughulikia pia kulinda mazingira na kuhifadhi raslimali wakati wa kuen-desha biashara.

Tunashughulikia kutumia vifaa na teknolojia vipya na vya endelevu na kuendelea kuboresha shughuli zetu ili kukata nyayo zetu za mazingira. Kila mfa-nyakazi analazimika kushughulikia kuchangia juhudi na ahadi za Swissport.

WAJIBU KWA JAMII

Tabia yetu Wakati wa kutoa huduma muhimu kwa mlolongo wa huduma wa rubani, kwa huduma za nchini na kushughulikia mizino katika kiwanja cha ndege, Swissport inashughulikia viwango vya juu sana vya maadili na vya kijamii.

Ili kuhakikisha kwamba tutunze viwango hivyo tunafuata sheria na kanuni zinazotumika za kie-nyeji, za nchi na za kimataifa na tunashirikiana karibu karibu na washikadau wote, na wateja, washiriki na mamlaka za serikali.

Swissport ni mwanachama wa UN Global Compact tangu 2011. Hii inaonyesha msaada wetu kwa “Kanuni kumi za UN Global Compact” kuhusu haki za kibinadamu, sheria za kazi, mazingira na ku-pinga rushwa. 2

Page 10: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 11: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

11Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

UAMINIFU WA BIASHARA

Swissport haivumilii hata kidogo kuhonga na rushwa.

Uaminifu wa biashara una maana kwamba tuna-fuata sheria na kanuni zetu za Swissport. Kuhonga na rushwa ni jinai na Swissport haivumilii hata kidogo vitendo hivyo.

Katika nchi fulani ambapo Swissport inafanya biashara kubadilishana zawadi na mialiko ni sehe-mu muhimu za utamaduni. Hata kidogo zina-weza kuathiri maamuzi ya kibiashara. Ikiwa kuhonga mpaji kwa kawaida anatazamia aina ya utendeaji hazizofaa na wa kubali kutoka kwa mpokeaji kama fadhila kwa zawadi zao (za fedha au zingine). Lakini zawadi halali haziambatana na masharti yo yote. Zawadi za fedha si halali hata kidogo. Ni lazima kwamba unaripoti kila jaribu kwa mkuu wako au kwa njia fulani zinazoelewa katika Kanuni hizo.

Kuhonga maofisa wa serikali au watu wengine, kwa mfano wakilishi wa wafanyabiashara wengine, kama nchini au ugenini, ni jinai na inaweza kuleta faini kubwa kwa Swissport na faini au jeli kwa wa-fan yakazi hawa. Ni lazima kwamba thamani ya jumla ya mialiko au zawadi ya ndani au ya nje ni katika mipaka yaliyodokezwa na viwango vya nchini na vya fani. Ili kubadilishana zawadi na mialiko wafanyakazi wanatakwa kutumia akili zao. Kama wana mashaka kuhusu mipaka hii ya mazoea ya kibiashara wafanyakazi wanalazimika kuswali mkuu wao au memba wa idara ya sheria ya kampuni.

Ni marufuku kulipa fedha au kupa zawadi kwa wafanyabiashara wetu au kwa maofisa wa seri-kali ili kuathiri kubaliana juu ya shughuli ya bia-shara au kwa madhumuni haramu.

SEHEMU ZA MATUMIZI

3

Page 12: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 13: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 14: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 15: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 16: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 17: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

17Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

Wakati wa kufanya kazi inawezekana kwamba tunakabili masuala ya kiadili yenye kutatanisha.

Kwa kawaida, wakati wa kufanya kazi kwa kam-puni ya kimataifa kama Swissport tunakabili mifumo ya sheria mingine, utamaduni, njia na desturi zingine. Hii pia ingeweza sababu ya mashaka juu ya jinsi tunalazimika kutenda au kujibu hali fulani.

Kanuni za Swissport za Maadili Mema na maa-gizo mengine vinaweza kutusaidia kupata majibu sawa katika hali hizi, lakini havijibu maswali yote. Kama hatuna uhakika juu ya tabia sahihi tunajiuliza kila wakati

■ kama vitendo vyetu ni ya kisheria? ■ kama tunatenda sawa, kwa kweli na kwa

wajibu? ■ kama tabia yetu inafuata kanuni za kampuni

ya Swissport? ■ kama vitendo vyetu vinavunja miongozo na

kanuni za kampuni zingine? ■ kama tunakuwa na tatizo la vitendo vyetu

kuhusu viwango vya adili? ■ kama kitendo kinaweza kuleta madhara

mabaya kwa Swissport au kwa sisi wenyewe? ■ kama tunajisikia sawa kama vyombo vya

habari vitaripoti vitendo vyetu kesho?

Mara nyingi, maswala haya yatatupa uelekezo tunaohitaji. Lakini, kama bado tunakuwa na mashaka tunalazimika kuomba ushauri. Wenzetu, mkuu wetu au meneja wa idara ya utimishi ya ndani au ya kanda ni wasiliani sawa ili kuomba ushauri katika hali hii ya mashtaka.

Swissport inafadhili utamaduni wa imani na inapa moyo kwa wafanyakazi wake waulize maswali. Lengo muhimu kabisa ni kuzuia tabia zinazotakikana. Wakuu wa Swissport wanakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba wafanyakazi wote wapate ushauri na msaada ili wafuate sheria na kanuni za kampuni.

Pamoja na msaada wa ndani au wa kanda wafa-nyakazi pia wanatumia simu ya Swissport “SpeakUp” ili kuripoti mambo kwa njia ya siri au hata bila kutambulika.

MASWALI NA USHAURI

4

Page 18: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

18 Swissport GroupKanuni za Maadili Mema

TUZUNGUMZE!

Kuzungumza kwa nia nzuri kama unakuwa na jambo la kufuata sheria ni kitu sahihi.

Swissport inawaharakisha wafanyakazi wao kuri poti kila kitu kinachovunja Kanuni za Swissport za Maadili Mema. Kwanza, unalazimika kuripoti hali hii mkuu wako au meneja wako wa idara ya utimishi ya ndani au ya kanda. Kama mkuu wako ni sehemu ya tatizo hilo unaweza kuripoti meneji-menti kuu au unaweza kuwasialiana na memba wa idara ya sheria ya kampuni. Kama unaogopa kisasi au kama unataka kuripoti kwa njia ya siri una weza kutumia simu ya Swissport “SpeakUp” kwa simu au mtandaoni. Maelezo za mwasiliani za SpeakUp ni katika SharePoint na katika bao la matangazo lako ndani.

Unaweza kutumia simu ya Swissport “SpeakUp” ili kuripoti ukiukaji wa Kanuni za Swissport za Maadili Mema pamoja na mtu ambao alivunja au anataka kuvunja kanuni hizo. Simu ya “SpeakUp” inakuwa na huduma ya mtandao na ya simu ili wa fa nyakazi wawezi kuripoti mambo ya kufuata sheria kwa njia ya siri na bila kutambulika. Simu inaendesha 24/7 kwa lugha zaidi ya 20. Simu inafunguliwa kwa wafanyakazi ulimwenguni. Ripoti zote zilizofanywa kwa nia nzuri zitatunzwa siri kwa ombi lako. Wafanyakazi wanaoripoti wata-kingwa dhidi ya kisasi na hawatashtakiwa na kampuni. Kwa upande mwingine, ripoti zilizofanywa kwa nia mbaya zitafikishwa na kesi ya jinai au hatua ya nidhamu.

5 Wavutindani ya Swissport

Tulijenga wavutindani wa jumla ili kutoa mawasi-liani yote na njia muhimu kwa kuzungumza kwa urahisi kama ikihitajika. Hii ni pamoja na video ya mifano, maelezo ya menejimenti na Kanuni za Maadili Mema.

Page 19: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

19Swissport Group Kanuni za Maadili Mema

WALENGWA

Kila mfanyakazi anakuwa na wajibu wake binafsi kufuata na Kanuni za Swissport za Maadili Mema.

Kanuni za Swissport za Maadili Mema ni sehemu muhimu ya mawazo wa kampuni ya Swissport. Hii inahusika baraza la wakurugenzi, menejimenti mtendaji ya kampuni ya Swissport na kila ya wafan-yakazi wa Swissport Group. Kila mfanyakazi ana-kuwa na wajibu wake binafsi kufuata na Kanuni za Swissport za Maadili Mema na kanuni zingine na maagizo ya ndani. Kila mkurugenzi au mkuu wa idara analazimika kuhakikisha kwamba Kanuni za Swissport za Maadili Mema ziwe sehemu muhimu ya mafunzo ya wafanyakazi angalau kila mwaka na kusimamia kwamba kanuni zitatazamwa.

Kila mfanyakazi wa Swissport anakuwa na wajibu wa kufuata sheria zote, masharti na maagizo ya maeneo na pia kanuni za ndani za Swissport zina-zohusika eneo lake la kazi.

6

Page 20: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 21: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu
Page 22: 1 Machi 2019 Kanuni za Maadili Mema hizo zinahusika ......Swissport Group Kanuni za Maadili Mema YALIYOMO Dibaji4 Maanzilisho5 1. Maadili yetu ya kiini 7 2. Kanuni zetu 8 3. Sehemu

Swissport International AGP.O. Box 5 CH-8058 Zurich-Airport Switzerland

Simu +41 43 815 00 00 Barua pepe [email protected]

swissport.com