- LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi...

25
AWAMU YA KWANZA YA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD FOMU YA MAOMBI

Transcript of - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi...

Page 1: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

AWAMU YA KWANZA YA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD

FOMU YA MAOMBI

Page 2: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 1 hadi 16

SEHEMU A: KAMPUNI YAKO

Taarifa za Kampuni

A1

.

Jina la kampuni ………………………………………………………………........................................................................

A2

.

Sanduku la barua ………………………………………………………………...................................................................

A3

.

Anuani ya kudumu ……………………………………………………………….................................................................

Taarifa za Mawasiliano

A4

.

Jina la kwanza ………………………………………………………………...........................................................................

A5

.

Jina la Ukoo………………………………………………………………................................................................................

A6

.

Kazi yako ………………………………………………………………....................................................................................

A7

.

Barua pepe ………………………………………………………………................................................................................

A8

.

Namba za simu ……………………………………………………………….........................................................................

Taarifa za Kibiashara

A9. Shughuli kuu za biashara

Uzalishaji☐ Usindikaji☐ Uzalishaji wa kizazi bora☐ Biashara ya kununua na kuuza bidhaa na/au huduma ☐ Kutoa huduma☐

☐Nyinginezo (tafadhari bainisha)……………………………………………………………….................................

A10. Rasilimali ulizo nazo umekodi au unazimiliki mwenyewe?

Namiliki☐☐Nakodisha

A11. Umiliki wa biashara yako ni wa namna ipi?

Binafsi☐ Umiliki wa pamoja☐

Page 3: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 2 hadi 16

☐Mwingine (tafadhari bainisha)……………………………………………………………….....................................

A12. Mwaka ulioanzisha biashara ………………………………………………………………................................................

A13. Mwaka ambao biashara ilisajiliwa rasmi …………………………………………………..........................................

A14. Mapato kwa mwaka ……………………………………………………………….................................................................

A15. Idadi ya wafanyakazi wa kudumu…………………………………………………………..............................................

A16. Idadi ya wafanyakazi wa muda mfupi ………………………………………………………………...............................

Usajili wa Kampuni

A17

.

Namba ya usajili wa biashara. ………………………………………………………………...................................................

A18

.

Tarehe ya ukomo wa usajili wa biashara ………………………………………………………….....................................

A19

.

Jina la kibenki la biashara yako, Anuani na Namba ya Akaunti ……………………………………………………

A20

.

Unalipa kodi katika biashara yako?

Ndio☐☐Hapana

Kama ndio, Nambari ya mlipa kodi (TIN) ………………………………………………………………

A21

.

Wewe ni mteja wa M-Pesa au Tigo Pesa?

Ndio☐☐Hapana

A22. Shughuli za Kampuni kwa Sasa

Kampuni yako inajishughulisha na nini? (jumuisha shughuli zote hata kama haziendani na sekta ndogo ya kuku au mahindi)

Page 4: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 3 hadi 16

A23. Bidhaa na huduma za kampuni Ni bidhaa gani unazouza kwa sasa na/au huduma unazozitoa kwa sasa?

Bidhaa/Huduma Bei/Gharama Idadi Maelezo

Page 5: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 4 hadi 16

Page 6: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 5 hadi 16

A24. Mtandao wa Usambazaji wa bidhaa na/au huduma zako

Unauza wapi bidhaa na/au ni wapi unatolea huduma zako kwa sasa? (ainisha miji, mikoa, na wataje wasambazaji na/au mawakala wako)

A25. Changamoto za Uendeshaji na Utawala

Ni changamoto zipi za kiuendeshaji na kiutawala ulizo nazo kwa sasa?

Page 7: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 6 hadi 16

A26. Mauzo na Matumizi ya kila Mwezi

Mauzo ya kampuni yako kwa miezi miwili iliyopita yalikuwaje?

Mwezi Ulipita Mwezi kabla ya mwezi Uliopita

Mauzo Mauzo

Bidhaa/Huduma Bei/Gharama Jumla/Idadi ya huduma/bidhaa zilizouzwa

Bidhaa/Huduma Bei/Gharama Jumla/Idadi ya huduma/bidha

a zilizouzwa

Page 8: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 7 hadi 16

Matumizi ya kampuni yako yalikuwa ni kiasi gani kwa miezi miwili iliyopita?

Mwezi Uliopita Mwezi kabla ya mwezi Uliopita

Matumizi Matumizi

Bidhaa Jumla ya Matumizi Bidhaa Jumla ya Matumizi

Page 9: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 8 hadi 16

A27. Mali za kampuni na za binafsi

Mali za kampuni na za binafsi za kudumu ni zipi(Jumuisha ardhi, gari, majengo/nyumba, na mashine)

Maelezo Idadi Bei ya kununua

Mwaka wa

kununua

Kushuka/Kuongezeka kwa thamani kwa mwaka

Maoni

SEHEMU B: MRADI WA BIASHARA YAKO

Taarifa za Mradi

B1. Aina ya mradi wa Biashara ………………………………………………………………

B2. Mradi wa kibiashara utatekelezwa wapi?

Mkoa (Mikoa) ………………………………………………………………

Mji/Miji ………………………………………………………………

B3. Sekta ya kiuchumi

Mahindi☐☐Kuku (jumuisha nyama na mayai)

Page 10: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 9 hadi 16

B4.

B5.

Maelezo ya Mradi wa Biashara

Nini ungependa kufanya katika biashara yako (yaani: malengo ya mradi wako ni yapi)?

Kutekeleza Malengo ya Mradi wa Biashara yako

Ni hatua gani muhimu katika kutekeleza mradi wa biashara yako (yaani ni vipi utafanikisha malengo yako uliojiwekea hapo juu)?

Page 11: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 10 hadi 16

B6.

B7.

Masoko na Wateja Walengwa

Wateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

Ushirikiano na Wakulima wa Mradi wa LEAD Katika Sekta Ndogo ya Mahindi na Kuku

Utafanyakazi vipi na wafugaji kuku na wakulima wa mahindi katika mradi wako wa kibiashara uliopendekeza?

Page 12: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 11 hadi 16

B8. Uwezo Wako kwa Sasa

Eleza uwezo wako wa sasa katika kutekeleza mradi huu wa kibiashara – una uzoefu gani, vifaa, vitu na rasilimali ulizo nazo kwa sasa?

Uzoefu

Rasilimali watu

Malighafi

Vifaa

Miundombinu

Ardhi

Page 13: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 12 hadi 16

B9. Changamoto na Vihatarishi

Ni changamoto zipi na vihatarishi vipi unadhani utakumbana navyo katika kutekeleza mradi wako wa biashara?

Ni namna gani umejipanga kukabiliana na kupunguza vihatarishi au changamoto ulizozitaja?

Page 14: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 13 hadi 16

B10. Ushindani

Nani washindani wako wakubwa?

Ni jinsi gani utatofatisha bidhaa/huduma zako kutoka kwa wapinzani wako?

Page 15: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 14 hadi 16

SEHEMU C: TAARIFA ZA KIFEDHA

C1

.

Makadilio ya Bajeti

Toa taarifa kwa kina kuhusu bajeti pendekezwa kwa mradi wa biashara yako (jumuisha lakini usijizuie kwenye manunuzi yatakayofanywa kwenye malighafi, vifaa vya uwekezaji, wafanya kazi watakaoajiriwa, mishahara watakayolipwa, pembejeo zitakazotumika n.k.…)

Page 16: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 15 hadi 16

C2

.

C3.

Jumla ya Fedha

Ni Jumla ya fedha kiasi gani kinahitajika katika mradi wa biashara yako? (rejea bajeti kuu)

…………………....... (ainisha kama kiwango ni kwa USD au TSh)

Uchangiaji

Kuzingatia kiasi kilicho ainishwa katika kipengele C2, ni kiasi gani cha fedha utachangia mwenyewe

katika biashara? ……………………………............... (ainisha kama kiwango ni kwa USD au TSh)

C4

.

Chanzo cha Tatu cha Fedha

Una mpango wowote wa kuwa na chanzo kingine cha fedha kwa ajili ya kuendesha biashara mbali na BRAC au wewe mwenyewe?

Ndio☐☐Hapana

Kama ndio, tafadhari eleza chanzo chenyewe (ainishi chanzo husika kinatoa au kinatarajiwa kutoa kiasi gani na kwa muda gani n.k)

C5

.

Fedha Zinazo Ombwa Kutoka BRACKutokana na kipengele C2, C3, na C4, ni kiasi gani cha fedha unaomba kutoka BRAC– Ikijumuisha

ruzuku + kiasi cha mkopo? ………………………………...... (Ainisha kama kiwango ni kwa USD au TSh)

Kiasi kinachoombwa kiwe USD 5,000 au Tsh 8,000,000 na kisizidi USD 30,000 au Tsh 50,000,000

KUMB. Kiasi kinacho ombwa kisizidi asilimia 50 ya thamani ya fedha uliyowekeza sasa kwenye biashara yako (Jumuisha mali ulizonazo na thamani ya biashara).

C6

.

Mikopo ya Awali

Kampuni yako imepokea mkopo wowote ndani ya miaka mitano iliyopita?

Ndio☐ Hapana☐

Page 17: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 16 hadi 16

Kama ndio, taja jina la mkopeshaji, kiasi cha fedha ulichopokea, mwaka ambao mkopo uliidhinishwa, na tarehe iliyopangwa kumaliza deni la mkopo.

Mkopeshaji Na 1

Mkopeshaji Na 2

Mkopeshaji Na 3

Jina la mkopeshajiKiasi (ainisha kama ni dollah au shilingi)Akiba ya iliyopo (ainisha kama ni dollah au shilingi)Mwaka ulioidhinishwaTarehe ya kumaliza deni la mkopo

C7.

Hesabu za Kifedha

Kuna viashiria vya kuonyesha kwamba kuna usimamizi wa fedha katika biashara yako?

Ndio☐ Hapana☐

Ni nani anahusika na utunzaji wa kumbukumbu?

Jina lake: …………………………………………………………………………………

Cheo chake: …………………………………………………………………………………..

Hesabu za kifedha Maandalizi ya taarifa za kifedha kwa robo mwaka na mwaka

Mfumo wa kutunza fedha

(chagua kimojawapo tu) Taslimu☐ Salio☐

(chagua kimojawapo tu) Wa ndani☐

☐Mhasibu wa kujitegemea

(chagua kimojawapo tu) Kuandika☐

☐ Kwa kompyuta

KUMB: TAARIFA ZILIZOTOLEWA KWENYE MCHAKATO WA MAOMBI HAYA ZITAKUWA NI ZA SIRI NA HAYATA TOLEWA KWENYE MAMLAKA NYINGINE YOYOTE ZAISI YA BRAC.

Nathibitisha kuwa taarifa zilizotolewa katika maombi haya ni sahihi kulingana na uelewa wangu.

Tarehe: ………………………………. Jina: ………………………………………

Saini: ....…………………………………

Page 18: - LEAD... · Web viewWateja gani unaowalenga (pia jumuisha taarifa ni miji na mikoa ipi wanapatikana) na una mipango ipi ya kuwavutia (yaani kujitangaza na mikakati ya kimasoko)?

Tuma barua pepe na fomu ya maombi iliyokamilika na nyaraka ambatanishi kwa;-

[email protected] kabla ya tarehe 13 Mei, 2015 saa 9 mchana kwa muda wa Afrika Mashariki

Tafadhari andika kichwa cha habari “MAOMBI YA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD” katika barua pepe yako.

BRAC MAENDELEO TANZANIA MFUKO WA UWEKEZAJI WA MRADI WA LEAD, FOMU YA MAOMBI AWAMU YA KWANZA Kurasa na 17 hadi 16

SEHEMU D: NYARAKA ZA KUAMBATANISHA Tafadhari ambatanisha nyaraka zifuatzo unapowasilisha maombi yako.

Kivuli cha usajili au leseni ya biashara yako☐

Kivuli cha Nambari ya mlipa kodi au cheti cha Usajili cha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ☐

Kivuli cha nyaraka ya kisheria (Hati ya makubaliano ya ushirika/makubaliano ya umiliki wa ☐pamoja/Nyaraka za chama cha ushirika/cheti cha Taasisi ya uwekezaji Tanzania)

Taarifa za mauzo ya mwaka au mizania (balance sheet)☐

Taarifa za kibenki kwa muda wa miaka mitatu ya karibuni☐

Hesabu za kifedha za mwisho au jedwari la mapato na matumizi☐