KARIBU KWA UWEKEZAJI UFUATAO€¦ · ujenzi wa viwanda vya kusindika matunda (parachichi na nanasi)...

Post on 18-Oct-2020

16 views 0 download

Transcript of KARIBU KWA UWEKEZAJI UFUATAO€¦ · ujenzi wa viwanda vya kusindika matunda (parachichi na nanasi)...

HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE

FURSA ZA UWEKEZAJI

KARIBU KWA UWEKEZAJI UFUATAO:UJENZI WA VIWANDA VYA CHAIUJENZI WA VIWANDA VYA KUSINDIKA MATUNDA(PARACHICHI NA NANASI)UJENZI WA SHOPPING MALL , OFISI NA KUMBI ZA MIKUTANO.UJENZI WA VIWANDA VYA KUTENGENEZA SAMANI ZITOKANAZO NA MAZAO YA MISITUUJENZI WA KIWANDA CHA MAJI, USINDIKAJI ASALI PAMOJA NA UFUGAJI WA KISASA WA NG’OMBE WA MAZIWA

Mawasiliano: S.L.P 547 Njombe Simu: 026 2782111 Tovuti:www.njombedc.go.tz Email:ded@njombedc.go.tz